Rais mmoja wa Marekani wakati wa mradi wa Tenesee Dam Construction aliwahi kukumbwa na upingwaji mkubwa sana na watu mbalimbali juu ya mradi ule, lakini wengi ya walio ukosoa ilikuwa ni uwoga tu...
Jumla ya Watanzania 200 wanatarajiwa kuwasili leo asubuhi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakitokea Sudan kufuatia mapigano yanayoendelea nchini humo baina ya kikosi cha...
Njozi ya Zitto Kabwe kugombea urais mwaka 2030 iko wazi baada ya mitandao ya kijamii kumnukuu akiweka wazi nia yake hiyo. Hata hivyo ili ashinde mbele yake ana kazi kubwa kwa kuwa anahitaji kupata...
LEO ni siku ambayo nchi mbili huru kwa maana ya Tanganyika na Zanzibar ziliungana na kuzaa nchi moja Tanzania lakini nchi hiyo ikiwa na muundo wa Serikali mbili. Serikali ya Jamhuri ya Muungano na...
CHADEMA ni chama chenye nguvu na ushawishi mkubwa Tanzania bara, ACT ni chama chenye ushawishi mkubwa Zanzibar na baadhi ya maeneo ya pwani Tanzania bara. Muungano wa vyama hivi viwili...
Kati ya Vijana wa CCM ambao wanaweza kuupata Urais mwaka 2030 bila kelele basi ni PhD Lameck Mwigulu Nchemba pekee yake!
PhD MWIGULU angekuwa na akili kubwa tayari ana ngazi ya kupandia kuelekea...
Serikali imewekeza fedha nyingi sana kutoa huduma bora kwa wananchi hasa kwenye secta ya usafiri..
Ila Halmashauri ambazo zimepewa jukumu la kuzisimamia stand za mabasi zimekua zikichukua fedha...
Freeman Mbowe ni miongoni mwa Watu mashuhuri waliopaswa kuhudhuria Ibada ya Shukrani Kule Himo Moshi jana lakini akatoa udhuru.
Wengine waliotoa udhuru ni mama Anna Mkapa aliyekuwa safarini...
Katika kipindi cha Medani za Siasa kilichorushwa hivi karibuni Star TV nilishuhudia Ado Shaibu, Katibu mkuu wa ACT akijibu swali la umilikaji wa Ofisi zao kijanja na kwa kona kona nyingi sana...
Yule Mwamba Mramba pamoja na kwamba alishwa twaliwa ila jamaa walipiga pesa enzi zao, yule mzee nina uhakika ana pesa ya ambayo hata vitukuu vya vitukuu vyake vitakula. Mramba walikuwa na...
Ningali ninaisaka ripoti kamili ya Dr. Mwakyembe kuhusiana na Law School nipate kuibukua kifungu kwa kifungu. Aliye nayo tafadhali itapendeza aki I share.
Hata hivyo nimefuatilia extracts kadhaa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani...
MHE. BAHATI NDINGO AIWEZESHA VIFAA VYA TEHAMA NA SARUJI MADIBIRA SEKONDARI
Mbunge wa Viti Maalum CCM (UWT) Mkoa wa Mbeya Mhe. Bahati Keneth Ndingo na Mwazilishi wa Bahati Ndingo Foundation &...
Ikiwa leo ni maadhimisho ya miaka 59 muungano wa Tanganyika na Zanzibar, tunatambua kazi kubwa inayofanywa na viongozi wetu Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu na Rais Dkt. Hussein Mwinyi katika kuleta...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini na Mjumbe wa kamati kuu mh Godbless Lema amesema ataendelea kuwapenda na kuwaheshimu Halima Mdee na Esther Bulaya kwa sababu ni dada zake lakini pia ni...
Kesho Mbunge mmoja asimame amtake waziri wa ulinzi na Jeshi la kujenga taifa Innocenti Bashungwa awaeleze watanzania usalama wa ndugu zao waliopo Darfur wakilinda amani maana tangu mchana vyombo...
Habari....
Natamani kujua kuhusu Umoja wa Afrika (AU) hivi utendaji kazi wake upoje maana migogoro mingi ya kisiasa na matatizo mengine ni mengi sana kwenye bara letu la Afrika ila uhusikaji wake...
Katika kuadhimisha miaka 59 ya Muungano wa Tanzania Bara tarehe 26 Aprili, 2023 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Ibara 45(1)(d) ya Katiba ya...
Nukuu kama hizi zinazofundisha ni nadra sana kuzisikia yule Kwa Rais wa Wanyonge ,Samia ni zaidi ya Kiongozi.
"Mbali na kuwa kufunga kunarekebisha hali afya ya mwanadamu kwa kupunguza uzito...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.