Hatimaye utabiri wa shujaa Tundu Lissu watimia

Hatimaye utabiri wa shujaa Tundu Lissu watimia

Lituye

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
1,864
Reaction score
5,697
Wanazuoni wanasema akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa.

Tundu Lissu aliwambia CCM kuwa kwa matendo ya ukatili ambao Magufuli anawatendea wapinzani hakuna aliye salama, na wakimalizana na sisi mjue hali itahamia kwenu, lakini CCM wakawa wanakenua meno tu kufurahia ubatili.

Leo CCM wanafurahia kifo cha mwana CCM mwenzao. Wanafikiri haya yametokea kwa bahati mbaya? Huwezi panda chuki ukavuna furaha. Haya ndio mavuno ya kuwa na katiba ya hovyo. Kichaa mmoja anayo weza kuitumia vuruga nchi.

Maendeleo hayana vyama.
 
Lissu haaminiki tena hata kwa Wana Chadema wenzake!
 
Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi.
Mzee wetu BCM ametwaliwa na BWANA kwa ugonjwa kama alivyotwaliwa kipenzi chetu JPM kwa ugonjwa pia.

Mwenyezi Mungu awalaze mahala pema ,amen[emoji120]
images%20(24).jpg
 
Wanazuoni wanasema Akili ndogo haiwezi kutawala Akili kubwa.
Tundu Lissu aliwambia ccm kuwa kwa matendo ya ukatili ambao Magufuli anawatendea wapinzani hakuna aliye salama na wakimalizana na sisi mjue hali itahamia kwenu lakini ccm wakawa wanakenua meno tuu kufurahia ubatili.

Leo ccm wanafurahia kifo cha mwana ccm mwenzao wanafikiri haya yametokea kwa bahati mbaya? Huwezi panda chuki ukavuna furaha. Haya ndio mavuno ya kuwa na KATIBA ya hovyo kichaa mmoja anayo weza kuitumia vuruga nchi.
Maendeleo hayana vyamaa.
Kwanza tujikumbushe;

Wakati JK anamalizia ngwe yake, ni upinzani ndio walituaminisha kuwa nchi hii inahitaji rais dikteta asiyecheka cheka. Tena ambaye hatawaonea haya wezi, mafisadi na wala rushwa.

JPM aliwapenda mno upinzani na hoja zao maana aliona kabisa zinabeba maono ya nchi.

Alipoingia aligonga mule mule walipotaka upinzani bila kujali wenzie wa ccm wangemuonaje sababu aliamini katika maono ya kina Lisu. Kumbe kina Lissu yale maneno yalikuwa mbwembwe tu za mtazama mpira kutaka kumkosoa mpiga mpira wakati ye akipewa mpira hata danadana hawezi piga.

Akaanza Mbowe kumshtaki JPM makanisani kuwa hadi kipindi kile wafanyakazi zaidi ya mia walikuwa wamesimamishwa kazi. Wakati hawa hawa kina Mbowe walisema wafanyakazi wakiharibu waondolewe kazini badala ya kuhamishiwa maeneo mengine ambako wataendeleza uharibifu ule ule na inazalisha utamaduni wa kutowajibishwa.

Lissu alisema anahitajika rais dikteta, ila ye akaanza kumdhihaki Magu kwa kumuita diktera uchwara. Kwamba Magu hakufikia viwango vya udikteta ambao yeye Lissu alikuwa anautaka.

Hawa jamaa walijitahidi mno kuleta chokochoko za kila namma kwa JPM, mpaka pale uvumilivu ulipomuisha na kuamua ku deal nao perpendicular.
 
Wanazuoni wanasema Akili ndogo haiwezi kutawala Akili kubwa.
Tundu Lissu aliwambia ccm kuwa kwa matendo ya ukatili ambao Magufuli anawatendea wapinzani hakuna aliye salama na wakimalizana na sisi mjue hali itahamia kwenu lakini ccm wakawa wanakenua meno tuu kufurahia ubatili.

Leo ccm wanafurahia kifo cha mwana ccm mwenzao wanafikiri haya yametokea kwa bahati mbaya? Huwezi panda chuki ukavuna furaha. Haya ndio mavuno ya kuwa na KATIBA ya hovyo kichaa mmoja anayo weza kuitumia vuruga nchi.
Maendeleo hayana vyamaa.
Futa kamasi punguza kulia ni wakati wa maombolezo, 1-1, bahari imetulia
 
Back
Top Bottom