Mashirika ya Kimataifa ya Fedha IMF na Benki ya Dunia WB zimekadiria Ukubwa wa Uchumi wa Tanzania kuwa Dola za Marekani Bilioni 85.4 mwaka 2023..
Uchumi umeongezeka Kwa Dola Bilioni 15.4 kutoa...
Kumekuwa na mtirirko wa matukio yasiyofaa kwenye jamii zetu kila kukicha.
Kuna suala la mapenzi ya jinsia moja, watu kuuawa kila kukicha, watoto kuharibia kila siku.
Nimekuwa nikijiuliza sana...
Waziri wa Tehama na Habari mh Nape Nnauye ameliagiza jeshi la polisi kuchunguza ajali zinazosababishwa na madereva wa magari ya serikali hususani ajali ikiyouwa waandishi 6 mkoani Simiyu.
Naye...
Akizungumza Bungeni Dodoma , Festo Sanga ambaye ni Mbunge wa Makete kupitia CCM , amedai kwamba , Kwa vile Rais wa Nchi anafanya Maridhiano na vyama vya siasa vya upinzani , basi na vyama hivyo ni...
Mheshimiwa Rais tunakuomba uteue bodi ya Contractors Registration Body.
Kuna kazi nyingi zimesimama kutokana na bodi kufutwa. Kuna makampuni yanasubiri update, mengine mapya yanasubiri...
Nianze kuwapongeza ndugu zetu wa dini ya kiislamu kwa kuadhimisha sikukuu yao vizuri na kwa amani kama tuliivyoadhimisha na sisi wakiristu nchini kote.
Baada ya pongezi hizi, nitumie fursa hii...
Prof. Shivji ametoa maoni yake kuhusu kadhia ya Law School. Anasema Shivji:
“Pasipo mijadala au ubunifu huwezi kuendeleza fikra, na hii inakwenda moja kwa moja kuathiri usomaji na ufundishaji.”...
Pongezi nyingi ziende kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Zanzibar Mh. Hussein Mwinyi kwa kuratibu "kibingwa" moja ya jukumu muhimu katika...
Ni haki yako! Ulitukanwa sana na ukadhalilishwa mno! Tafadhali timiza hukumu halali ya Mahakama na chukua fidia dhidi ya udhalimu uliotendewa na Cyprian Musiba.
Kumbuka kuwa sio wewe peke yako...
Huwa siwezi amini kuna kipindi Nape alikuwa anaonekana shujaa, smart. Huwa naogopa kukumbuka hilo. Kuna kipindi naye Makamba akasingiziwa kuwa ni smart.
Nlikuwa nawaambia. Ukikuta nyoka...
Ndugu zangu Watanzania,
Hakika Tanzania ni kama imebahatika sana kuwa na Rais Samia katika kiti cha Urais, maana Rais Samia ni zaidi ya kiongozi, ni zaidi ya Rais, ni zaidi ya mkuu wa nchi na...
Nilimsikia Rais akihutubia Baraza la Eid alisikika akisema alipoingia madarakani tu Mufti alimjia na lundo la mafaili ya migogoro ya mali za Waislamu.
Akasema kwa bahati mbaya alipochunguza...
Akiwa waziri alipambana kulinda rasilimali za umma.
Akazuia wizi wa pesa za umma na barabara zikajengwa.
Alipokuwa rais ni kwa miaka mitano tu aliweza kufanya makubwa . Ili kuenzi makubwa...
UJUMBE WA WOTE WALIOUMIZWA NA TANZANIA KUFIKIA PATO LA TRILLION 200, NA WANAOTESEKA BAADA YA WIZARA YA FEDHA KUKOSA KASHFA KATIKA REPORT YA CAG.
● Ujumbe huu ufike kwa ndugu yetu mroho wa...
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kukakasha taarifa iliyoandikwa katika mtandao huu leo ikiwa na kichwa cha Habari kisemacho "AFISA NIDA ASHTAKIWA KWA KUPOKEA HONGO KUTOA...
Majizi yote sasa hivi mmegeuza jina "Magufuli" kuwa kichaka cha kujifichia pale mnapobanwa na ripoti ya CAG 2021-2022. Mmekosa pa kufichia sura zenu za kilafi,sasa mnatapatapa ovyo kujinusuru bila...
Nikimbie moja kwa moja katika hoja husika, nimeona na kusikia Dege la hapa kazi tu limeokoa watu uko Sudani. Je limebagua watu waliokuwa wanatukana?
Cc Pascal Mayalla kwa msaada kama limebagua...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imempandisha kizimbani aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Igunga (Iguwasa), Hussein Nyemba (34) akikabiliwa...
MHE. DANIEL SILLO AKIWA NA MWANARIADHA GABRIEL GEAY BUNGENI
Wanariadha Gabriel Geay na Alphonce Simbu Watinga Bungeni
Mbunge wa Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Bunge Mhe. Daniel Baran Sillo...
Huyu Mtu anaishi, Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.
Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa.
Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM, Channel zote maarufu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.