Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwanasiasa mkongwe wa Taifa Mzee Wassira amesema Tukiruhusu Utawala wa Majimbo kama ilivyo Sera ya Chadema tutajuta Wassira amesema hapo Kenya Nusu ya Mapato yao wanalipa mishahara ya Wabunge na...
3 Reactions
76 Replies
4K Views
Hii ndio Taarifa ya sasa kwenda kwa jamii yote Duniani, kwamba hivi ninavyoandika hapa Bendera ya CHADEMA imepandishwa na kusimikwa rasmi kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro, yaani hivi sasa...
16 Reactions
59 Replies
4K Views
Watanzania sio kama tunapinga nchi yetu kukopa, kinachowafanya wananchi waonekane kuogopa nchi kukopa ni uwezo mdogo wa watendaji wetu wa kusimamia miradi mikubwa na pia ufisadi mkubwa wa fedha...
2 Reactions
2 Replies
881 Views
Habari za wakati huu ndugu watanzania Kazi iendeleeiendelee Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana...
42 Reactions
243 Replies
15K Views
Hivi wakati huyu Msiba anatukana, kukashfu na kutishia watu, wao walikuwa wapi? Maaskofu wa Kanisa Katoliki waliwahi kuandika Waraka kukemea maovu wakati wa Magufuli lakini Pengo aliukana waraka...
39 Reactions
119 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , Ambaye pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Vyama vya Kidemokrasia vya bara la Africa , amepewa heshima ya kufungua kongamano kubwa la vyama hivyo Jijini Johannesburg...
12 Reactions
46 Replies
3K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mh Joseph Mbilinyi Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini na Mwekezaji wa Kimataifa , leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania ...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Mashirika ya Kimataifa ya Fedha IMF na Benki ya Dunia WB zimekadiria Ukubwa wa Uchumi wa Tanzania kuwa Dola za Marekani Bilioni 85.4 mwaka 2023.. Uchumi umeongezeka Kwa Dola Bilioni 15.4 kutoa...
7 Reactions
179 Replies
8K Views
Kumekuwa na mtirirko wa matukio yasiyofaa kwenye jamii zetu kila kukicha. Kuna suala la mapenzi ya jinsia moja, watu kuuawa kila kukicha, watoto kuharibia kila siku. Nimekuwa nikijiuliza sana...
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Waziri wa Tehama na Habari mh Nape Nnauye ameliagiza jeshi la polisi kuchunguza ajali zinazosababishwa na madereva wa magari ya serikali hususani ajali ikiyouwa waandishi 6 mkoani Simiyu. Naye...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Akizungumza Bungeni Dodoma , Festo Sanga ambaye ni Mbunge wa Makete kupitia CCM , amedai kwamba , Kwa vile Rais wa Nchi anafanya Maridhiano na vyama vya siasa vya upinzani , basi na vyama hivyo ni...
23 Reactions
65 Replies
6K Views
Mheshimiwa Rais tunakuomba uteue bodi ya Contractors Registration Body. Kuna kazi nyingi zimesimama kutokana na bodi kufutwa. Kuna makampuni yanasubiri update, mengine mapya yanasubiri...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nianze kuwapongeza ndugu zetu wa dini ya kiislamu kwa kuadhimisha sikukuu yao vizuri na kwa amani kama tuliivyoadhimisha na sisi wakiristu nchini kote. Baada ya pongezi hizi, nitumie fursa hii...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Prof. Shivji ametoa maoni yake kuhusu kadhia ya Law School. Anasema Shivji: “Pasipo mijadala au ubunifu huwezi kuendeleza fikra, na hii inakwenda moja kwa moja kuathiri usomaji na ufundishaji.”...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Pongezi nyingi ziende kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Zanzibar Mh. Hussein Mwinyi kwa kuratibu "kibingwa" moja ya jukumu muhimu katika...
7 Reactions
42 Replies
3K Views
Ni haki yako! Ulitukanwa sana na ukadhalilishwa mno! Tafadhali timiza hukumu halali ya Mahakama na chukua fidia dhidi ya udhalimu uliotendewa na Cyprian Musiba. Kumbuka kuwa sio wewe peke yako...
3 Reactions
3 Replies
723 Views
Huwa siwezi amini kuna kipindi Nape alikuwa anaonekana shujaa, smart. Huwa naogopa kukumbuka hilo. Kuna kipindi naye Makamba akasingiziwa kuwa ni smart. Nlikuwa nawaambia. Ukikuta nyoka...
20 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hakika Tanzania ni kama imebahatika sana kuwa na Rais Samia katika kiti cha Urais, maana Rais Samia ni zaidi ya kiongozi, ni zaidi ya Rais, ni zaidi ya mkuu wa nchi na...
8 Reactions
90 Replies
4K Views
Nilimsikia Rais akihutubia Baraza la Eid alisikika akisema alipoingia madarakani tu Mufti alimjia na lundo la mafaili ya migogoro ya mali za Waislamu. Akasema kwa bahati mbaya alipochunguza...
19 Reactions
174 Replies
14K Views
Back
Top Bottom