Hizi picha za Odinga na Ruto leo msibani ziwe fundisho kwa vijana kujihusisha na ghasia za kisiasa

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Ukizitizama na kama umefuatilia hotuba za wanasiasa hawa utajua tu kuwa ilikuwa ni siasa wala sio unga wala mafuta kubwa na bei juu.

Wote wameonesha kama walikuwa wanakutana usiku vile mchana wanajifanya rivals tu.

Vijana hasa hao BAVICHA na Act wazalendo wawe makini na wanasiasa, kule Segeraa kuna vijana walivunjwa kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 wakimtetea Mwita Waitara leo yuko CCM.

USSR
20230513_210636.jpg
IMG-20230513-WA0014.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwamba Ruto amepoteza Nuru ni kwamba yupo kwenye mfungo. He is Kingdom ambassador.
No one will stop Ruto he has power and authority from above.
 
Ukizitizama na kama umefuatilia hituba za wanasiasa hawa utajua tu kuwa ilikuwa ni siasa wala sio unga wala mafuta kubwa na bei juu

Wote wameonesha kama walikuwa wanakutana usiku vile mchana wanajifanya rivals tu

Vijana hasa hao BAVICHA na Act wazalendo wawez makini na wanasiasa,kule Segeraa kuna vijana walivunjwa kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 wakimtetea Mwita waitara leo yuko CCM

USSR View attachment 2620727View attachment 2620732

Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga na wasiojitqmbua ndio Huwa wanashikwa akili na Wanasiasa..

Kuna wengine Jana nimesikia eti wamefanya maandamano ya kumsindikiza Lisu Hotelini huko Kahama 😁😁
 
Sijui nisema umeandika ukweli au uongo but kwa hotuba ya mzee RAO hapo umekosea na hata Ruto hakuna kitu utasikia kwa wote na ukahisi huwa wanakutana NO!.

Mfano RAO kampiga sana dongo Ruto tena kavu kavu kuhusu hali halisi ya maisha na mzee kasema ukweli, gharama ya maisha imependa, Ruto asiongeze ushuru zaidi, asiongeze mzigo juu maana Punda amechoka.

Kwa upande wa William Ruto: Alisema; yupo tayari kukubaliana chama cha Azimio but waache fujo, waungane kwa yale mambo yanayo iendeleza Kenya kusonga mbele.
 
Ukizitizama na kama umefuatilia hituba za wanasiasa hawa utajua tu kuwa ilikuwa ni siasa wala sio unga wala mafuta kubwa na bei juu

Wote wameonesha kama walikuwa wanakutana usiku vile mchana wanajifanya rivals tu

Vijana hasa hao BAVICHA na Act wazalendo wawez makini na wanasiasa,kule Segeraa kuna vijana walivunjwa kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 wakimtetea Mwita waitara leo yuko CCM

USSR View attachment 2620727View attachment 2620732

Sent using Jamii Forums mobile app
Na iwe fundisho kwa nyie Chawa na Haters kwa Upinzani
 
Ukizitizama na kama umefuatilia hituba za wanasiasa hawa utajua tu kuwa ilikuwa ni siasa wala sio unga wala mafuta kubwa na bei juu

Wote wameonesha kama walikuwa wanakutana usiku vile mchana wanajifanya rivals tu

Vijana hasa hao BAVICHA na Act wazalendo wawez makini na wanasiasa,kule Segeraa kuna vijana walivunjwa kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 wakimtetea Mwita waitara leo yuko CCM

USSR View attachment 2620727View attachment 2620732

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuwepo ningewauliza kati yenu hapa nani aliona mwenzake amekatwa na mwingine hajakatwa
 
Too encouraging that they smiled together, licha ya kwamba moyo wa kila mmoja wao kimsingi una nia tofauti dhidi ya mwingine.
 
Ukizitizama na kama umefuatilia hotuba za wanasiasa hawa utajua tu kuwa ilikuwa ni siasa wala sio unga wala mafuta kubwa na bei juu.

Wote wameonesha kama walikuwa wanakutana usiku vile mchana wanajifanya rivals tu.

Vijana hasa hao BAVICHA na Act wazalendo wawe makini na wanasiasa, kule Segeraa kuna vijana walivunjwa kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 wakimtetea Mwita Waitara leo yuko CCM.

USSR View attachment 2620727View attachment 2620732

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni matokeo ya ziara ya Israel, mji Ule Ulio Mbinguni na duniani JERUSALEM.
 
Ukizitizama na kama umefuatilia hotuba za wanasiasa hawa utajua tu kuwa ilikuwa ni siasa wala sio unga wala mafuta kubwa na bei juu.

Wote wameonesha kama walikuwa wanakutana usiku vile mchana wanajifanya rivals tu.

Vijana hasa hao BAVICHA na Act wazalendo wawe makini na wanasiasa, kule Segeraa kuna vijana walivunjwa kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 wakimtetea Mwita Waitara leo yuko CCM.

USSR View attachment 2620727View attachment 2620732

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kwenda msibani kubadilisha nini kwenye ideologies??
 
Ndugu USSR,

Unataka kututambia zile Risasi zilizomkosakosa Odii majuzi yalikuwa maigizo?
 
Sijui nisema umeandika ukweli au uongo but kwa hotuba ya mzee RAO hapo umekosea na hata Ruto hakuna kitu utasikia kwa wote na ukahisi huwa wanakutana NO!.

Mfano RAO kampiga sana dongo Ruto tena kavu kavu kuhusu hali halisi ya maisha na mzee kasema ukweli, gharama ya maisha imependa, Ruto asiongeze ushuru zaidi, asiongeze mzigo juu maana Punda amechoka.

Kwa upande wa William Ruto: Alisema; yupo tayari kukubaliana chama cha Azimio but waache fujo, waungane kwa yale mambo yanayo iendeleza Kenya kusonga mbele.
Kiazi kama wewe nikujibu nini sasa !

USSR
Screenshot_20230513-223505.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukizitizama na kama umefuatilia hotuba za wanasiasa hawa utajua tu kuwa ilikuwa ni siasa wala sio unga wala mafuta kubwa na bei juu.

Wote wameonesha kama walikuwa wanakutana usiku vile mchana wanajifanya rivals tu.

Vijana hasa hao BAVICHA na Act wazalendo wawe makini na wanasiasa, kule Segeraa kuna vijana walivunjwa kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 wakimtetea Mwita Waitara leo yuko CCM.

USSR View attachment 2620727View attachment 2620732

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG-20230320-WA0091.jpg
 
Back
Top Bottom