Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Maisha ni mipango. Na kila aliyefanikiwa leo ujue alipanga na kutekeleza mipango yake vizuri siku nyingi nyuma Leo Ethiopia wametangaza kutimiza malengo yao waliyojiwekea mwaka 2019 kupanda miti...
4 Reactions
61 Replies
3K Views
Ndugu zangu Natumai nyote muwazima wa afya Tunapoelekea katika Chaguzi za Jumuiya na Chama kama Vijana na wanachama tunao wajibu wa kukisaidia Chama na Jumuiya zake kupata Viongozi wenye sifa za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je ni kweli kuwa kile kikosi kazi kilichoundwa na Msajili wa Vyama kujadili Masuala ya Katiba Tume huru na Mikutano ya Vyama vya Siasa HAKIPO KISHERIA kutokana na kutotungiwa Sheria na BUNGE na...
3 Reactions
1 Replies
786 Views
Mbunge Luhaga Mpina Kada wa CCM anashambuliwa na wana CCM wenzake hadi kufikia kukatwa jina lake kugombea nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu yA tAIFA nEC kwa kosa la kusimamamia Ilani ya...
0 Reactions
9 Replies
744 Views
Tanzania usiposifia viongozi hata uwe na madaraka makubwa kiasi gani watatokea watu watakushambulia kwa maneno na matusi na mwisho watakuambia jitathimini Tumeshuhudia kwa Spika Ndugai licha ya...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
The power Game, Anaeweza kushika madaraka ndie yupo juu zaidi, Mfano kwa Nigeria kanda ya kaskazini wapo nyuma kielimu na kibiashara lakini linapokuja suala la Power wao ndio wameikamta na kuweza...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
PANGA LA NEC LAMFYEKA LUHAGA MPINA- JINA LAKE LAENGULIWA KUGOMBEA UJUMBE WA NEC. * Mambo 11 yaliyomponza yatajwa HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi imeliengua jina la Mbunge wa...
13 Reactions
122 Replies
11K Views
Umeme unakatwa kuokoa mazingira, wanawasha Diesel Generators 24/7, hakuna kitu kinachangia CO2 emissions kwa kiasi kikubwa kama Diesel, umeme wa Tanzania kiasi kikubwa unatokana na vyanzo vya...
1 Reactions
1 Replies
457 Views
Kenan KIHONGOSI ameshindwa kuwatetea vijana katika kipindi chake chote cha uongozi akiwa Katibu Mkuu wa Vijana, leo vijana na Tanzania wanahangaika kutafuta ajira na ajira zilizopo zinachukuliwa...
1 Reactions
9 Replies
977 Views
Angalia Drc wakati wa Mobutu wa Zabanga. Pamoja na utajiri wake wote ule raia wake waliishi kwa tabu na umasikini mkubwa. Mpaka leo hii imekuwa ni kama laana. Huko Afrika ya kati mataiafa kama...
1 Reactions
0 Replies
515 Views
kiongozi yeyote anapokemea maovu ya serikali hajisemei yeye kama yeye ni wajibu wake kuelimisha umna kuhusu uovu wowote unaofanywa na serikali yao sasa kuna wimbi kubwa la vijana linapotokea swala...
3 Reactions
15 Replies
608 Views
CHAMA cha Mapinduzi kinaendelea na uchaguzi ngazi ya Mikoa na baadae Taifa kwa lengo la kupata viongozi wapya wataongooza kwa kipindi cha miaka 5 ijayo. Moja ya ahadi za Mwana CCM ni NITASEMA...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana...
56 Reactions
534 Replies
38K Views
Shalom. Ninaomba kuwe na mdahalo huru na LIVE kati ya vijana wa CCM na CDM ili tuone vijana wanaojitambua na wale wenye upeo duni wa kufikiri. Mdahalo huu wa kitaifa uwe LIVE kupitia TV 2 kubwa...
5 Reactions
26 Replies
913 Views
Bei ya vya vyakula ni mateso raia wa kawaida sasa ni mateso kuishi Tanzania kwa raia wa kipato cha chini. Maana kula imekuwa anasa. Wale mabwenyeye CCM wasio na huruna na raia wanyonge wameshika...
12 Reactions
48 Replies
3K Views
Yaani mkulu wa Bagams alipokuwa madarakani tuliteseka sana na umeme. Nchi ikawa gizani. Makelele ya jenereta yakawa komoni. Sasa najiuliza mbona ule upande mwingine wa akina Mpina uliposhika...
3 Reactions
7 Replies
617 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki kikao kazi cha Mabalozi na Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje leo tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Golden Tulip...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi hii serikali ya CCM iko madarakani kwa Uhalali upi? Miaka 60 ya Uhuru imepiga marktime na kufanya mambo mengi yasiyo ya maana na kuacha mengi ya maana. 1. Hivi Wakati Serikali ya CCM...
21 Reactions
58 Replies
3K Views
Nawasalimu katika lile Jina liyapitayo majina yote la BWANA wetu Yesu Kristo! Mzee Mkapa aliwahi kuwaonya hadharani wanaodhani kuna CCM ya Magufuli na UVCCM ya Dr Kheri James haikutoa tamko...
2 Reactions
11 Replies
557 Views
Siitamani Tena kutawaliwa ccm Tena,ni aibu sana Kwa ninayo yashuhudia yakifanywa na ccm kweli sisi wahaya wa kufia Kwa maji tulikufa ziwa Victoria Kwa meli,tumekufa Tena Kwa ndege ndani ya Ziwa...
2 Reactions
7 Replies
579 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…