Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,229
- 12,954
Moja ya kitu cha wazi ni pale wataalamu wakina PHD Johari wanasema si bandari zote ila ni Bandari ya Dar es Salaam pekee! Hivi ni kweli waandishi wa habari wote Tanzania hawajasoma Headline ya IGA? hawakuelewa? walishindwa ata kuona ufafanuzi wanautoa upande wa Serikali una warakini?
Tumepewa utashi ila kwanini tunakubali kudanganywa kwa vitu ambavyo tunaona kabisa kesho na kesho kutwa vitakuja kupelekwa mbele ya mahakama na hayataenda maneno ya majukwaani? Tuseme sawa kwakuwa issue ni Lugha! twende kwenye Azimio la Bunge, kuna mahala wamesema uwekezaji uo utakuwa katika bandari ya Dar pekee? kwanini litumike neno "Sea and Lake Ports" na sio Dar es Salaam Port? Neno Sea and Ports limekuja kufanya nini kama hamtaki kumpa Bandari zote za Tanzania Bara?
Wahariri wote Tanzania hamna ata mmoja ambae anathubutu ata kuuliza kasoro kama hizi ambazo zitakuja kutuletea shida huko mbeleni, wote wako kimya wamejifungia alafu huko mbele yakija kutokea mtawaambia nini Watanzania na wakati nynyi wasomi mpo na mlishindwa kuionesha Serikali kasoro zao?
Kizungumti cha waitia sahihi.
Wahariri wetu bado wameshndwa kuona mapungufu yaliyopo kwenye uteuaji wa watia sahihi kwa upande wa Dubai ulivyo na mashakha! Hivi Attachment unaweza kuipeleka Mahakamani kweli kujitetea kama ulisaini mkataba na Serikali? Mbona kwa upande wa Tanzania uteuzi wa kusaini umetolewa na Rais mwenyewe ila huku kwa Dubai hajulikani nani alimteua mtia sahihi akaisani Document nyeti kama hii? Kweli wahariri wetu wameshindwa kuona haya mapungufu kimaandishi mpaka wamsubiri Johari aje kuwaelezea? Hawajui kuwa mwisho wa siku Johari hatenda kusimama kwenye mhakama huko South Africa na atakama akisimama ataomba nyaraka ambayo kiuhalisia itakuwa na mapungufu kizungumkuti?
Hivi tunauhakika kweli kuwa tumesaini mkataba na Serikali ya Dubai? au tumesaini na wajanja waliojivisha Joho la Serikali ya Dubai?
Pascal Mayalla