Rais Samia, ya sirini yabaki sirini na ya hadharani yabaki hadharani. Wezi walisomwa hadharani watumbue hadharani

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,368
Yaani mkaguzi alikagua na kukupatia ripoti ya ukaguzi iliyoshiba Kila aina ubadhilifu, na mkaguzi aliyasemayote mbele yako nasi wanaanchi tukifatilia mubashara.

Leo tunasikia yakuwa unachunguza tena? Wanaochunguza nmeambiwa ni vijana wetu wa idarani ambao nao Wana watu wao wanausika katika wizi huo wadhan nini kitajili huko?

Kwakuwa wezi walitajwa hadharani vyema nawe uwapasue hadharani.
 
Kuna siku baba wa jirani alipiga kichapo na maneno kibao nyumbani kwake kisa hela yake imepotea. Sasa kurudi mama baba akamuelezea mother house kama watoto wame muibia. Mama akasema yeye alichukuwa ile hela kwa matumizi ya mbogamboga ya nyumbani. Baba akanyamaza kimya watoto wamebakia kutoa mimacho tu, na kichapo kimewapata kumbe hela kachukuwa mama.(wazee wanajuana wanavyo chukuwa hela zao)
 
Back
Top Bottom