Freeman Mbowe aanza ziara ya Kikazi Afrika ya Kusini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,471
215,290
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , ameondoka Tanzania leo kuelekea nchini Afrika ya Kusini kwa ziara ya Kikazi .

Taarifa kutoka kwenye Chama chake inaeleza kwamba , Mbowe ambaye ni Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia barani Africa (DUA) , Ataongoza vikao vitakavyoanza April 26 - April 30 Jijini Johanesburg .

Tunamtakia kila la heri .
 
Kazi gani au huko kuna mizinga ya asali!
 
Mtu aliyepata ziro form six , akashindwa kujenga ofisi ya chama chake kwa miaka 30 atakuwa na uwezo wa kufanya ziara A. Kusini?

Acheni propaganda.

Tatizo umejifungia uvunguni mwa kitanda, na giza unayoiona uvunguni undhani hata walioko nje wanaiona. Amka toka gizani ili usichekwe na watu.

Halafu tujiulize Mbowe mwenye Division Zero Kama unavyodai bila ushahidi, ameweza kuongoza chadema kutoka kuwa Chama kidogo Cha kubezwa Hadi chama kikuu Cha upinzani ambacho kilisababisha serikali kuingiza bajeti ya kuanzisha kikundi Cha wasiojulikana ili kukishughulikia.
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom