Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati wa kuwasilishwa na kujadiliwa kwa hoja ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, moja kati ya mambo yaliyochangiwa na wabunge wengi hasa wanaotoka maeneo ya wafugaji ni suala la HERENI ZA...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakati wa uwasilishwaji wa bajeti ya Kilimo leo Bungeni, Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe alielezea maendeleo ya sekta ya kilimo nchini na kusema sekta ya kilimo imetoa wastani wa asilimia 65...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Bashe anataka kuleta Mapinduzi ya Kilimo Ya Tanzania ambayo hayapo kokote kule Duniani. Dunia nzima Mapinduzi yao ya kilimo yalianzia Darasani na baadae kutoka nje, na huko nje wakaanza kuzalisha...
5 Reactions
6 Replies
751 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Magdalena Sakaya (kushoto) akifanya mahojiano na mwandishi wa gazeti la Mwananchi katika mahojiano maalumu jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu...
7 Reactions
7 Replies
2K Views
Familia zimekumbushwa kujadili masuala ya maadili ili kujiepusha na changamoto ya mmomonyoko wa maadili inayotajwa kukithiri ndani ya jamii katika siku za hivi karibuni Wito huo umetolewa mkoani...
1 Reactions
0 Replies
472 Views
Ni furaha kila kona wapinzani wamejaa furaha CCM wamejaa furaha watanzania wote tumejaa furaha. Mama katangaza mchakato wa katiba mpya uanze. Aliyenuna sisi hatuna cha kumsaidia. Mwisho wa siku...
7 Reactions
54 Replies
5K Views
Kuna kijisauti nakisikia na kinaniambia niwafikishie sauti hiyo wote wenye kutamani Udiwani na Ubunge wawe ni kutoka CCM au Upinzani. Sauti inaniambia na imenihakikishia mambo makubwa matatu...
0 Reactions
3 Replies
783 Views
Tundu Antipas Lissu wa 2015 -2020 sio huyu wa Leo 2023. Lissu wa Sasa ameporomoka hata hoja anazojenga hazina nguvu tena. Labda ni kwa sababu mara nyingi amekuwa akirudia hoja zile zile...
3 Reactions
16 Replies
945 Views
WILAYA YA USHETU HAINA JENGO LA KITUO CHA POLISI WALA NYUMBA ZA ASKARI Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga, Emmanuel Cherehani amesema Wilaya yake haina jengo lolote la Kituo cha Polisi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna wabunge wanatoa mawazo ya hila hadi wanakera!! Ni unafiki mkubwa sana!! Lengo lao ni kutaka kuwapitisha watu wao kwenye ajira ya utumishi wa umma kwa mlango wa nyuma wa "kujitolea". Hii...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Nchi yetu watumishi wengi WA umma wanaishi Kwa kuwaza namna yakuwakwamisha wafanyabiashara na watendaji WA sekta binafsi. Umekwenda bar ukakuta sauti IPO juu, badala uwaelimishe wapunguze sauti...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Mazuri ya sekretarieti ya ajira kwenye utumishi wa umma: 1. Imejitahidi kuweka uwanja sawa kwa wote wanaotafuta ajira. Kama ni ugumu basi huo ugumu uko kwa wote!! Kinachotafutwa kwa sasa ni kutaka...
8 Reactions
20 Replies
3K Views
Haiwezekani chama ni Kimoja lakini kila mtu anaibuka na Utaratibu wake. CHADEMA heshimuni Maridhiano. CHADEMA mheshimuni mwenyekiti Mbowe. Jumatatu Mbarikiwe sana!
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ninaomba kutoa ushauri kuwa, Wanachama wengi wa CCM wanaonyesha kutaka kutia nia kugombea Urais kupitia CCM mwaka 2025. Ili kuwa wana-CCM uhuru na haki ya kuchagulia ninashauri fomu za kugombea...
0 Reactions
3 Replies
616 Views
Watunzi wa vitabu na waandishi wa habari wametaki wa kuandika uhalisia kwa kufanya utafiti.na uchunguzi wa kuto sha ili kupata ukweli wa mambo badala ya kuandika kwa mihemko, jazba na visasi hali...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Mke wa Rais wa zamani Marekani na Mgombea Urais wa Marekani mwaka 2016, Hillary Clinton, anafurahishwa na Kazi Kubwa inayofanywa na Rais Dkt. Samia Sulunu Hassan ya kuwaletea watanzania maendeleo...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Hizo Ndio kumbukumbu za kipekee Kabisa Katika historia ya Bunge letu na kwingineko duniani alizotuachia Spika mstaafu mh Ndugai Kiufupi mzee Ndugai ndiye aliyeuwa Demokrasia ya vyama vingi na...
12 Reactions
43 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hatimaye kauli ya kijasiri kutoka kwa kiongozi Jasiri na mwenye maono mh Rais Dr Mama Samia Suluhu Hassan imeshika mizizi na kumea katika mioyo ya watanzania,kauli hii...
4 Reactions
8 Replies
525 Views
Nikuulize swali Profesa, Umesema Tanzania inaagiza tani 68.7 Za nyama ya Kitimoto kwa mwaka. Hiyo kitimoto mnaagiza kutoka nchi gani? Je, Zanzibar na Pemba ni Sehemu ya Tanzania, walipokea tani...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…