Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,540
- 46,080
Kukabiliana na hali ngumu na ukali wa maisha napendekeza wafanyakazi wote walio katika mfumo rasmi wa ajira Tanzania walipwe kwa awamu mbili(2) kwa mwezi badala ya moja kama wanavyolipwa sasa.
Mshahara wa mfanyakazi ugawanywe alipewe katikati ya mwezi na mwisho wa mwezi. Hii itasaidia kuwakoa wafanyakazi wa ngazi za chini kama walimu ambao ndio wengi zaidi kujiingiza katika mikopo ya kinyonyaji. Pia ulipaji kwa awamu mbili utachochea sana shuguli za uchumi kwa kuongeza kasi ya mzunguko wa pesa kupkatika uchumi.