Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, 3 Mei 2023

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Mei, 2023.

FvNCwJPaIAUjQT0.jpeg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano Mei 03, 2023 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.


FB_IMG_1683119456977.jpg
FB_IMG_1683119459803.jpg
FB_IMG_1683119462126.jpg
 
Maza anapenda vikao kwelikweli?hapo wanamsikiliza wakiondoka wanayaacha hapo,wanasema hana noma bi mdashi🤣🤣🤣🤣 watupishege mwayego🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom