Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge Lupembe atoa pikipiki 12 za thamani ya Mil 30 kwa Makatibu Kata CCM. MAKATIBU Kata kumi na mbili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Nsimbo Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi wamefanikiwa...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Pamoja na Wabunge wa CCM kuuza bandari zetu zote bwerere na kutukejeli sisi ni vilaza tunaohitaji darasa kutoka kwao huku wakijipandishia mishahara na posho kimya kimya wakati ya wengine...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Atupele Mwakibete (MB), amekipongeza Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kwa kuendelea kutoa mafunzo ya Ubaharia kwa maendeleo ya Uchumi wa Bluu. Mhe...
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Rais Samia akihutubia wakati wa uapisho wa viongozi, akizungumzia kuhusu Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji ameonesha namna ya kuweza kuzitambua fursa mbalimbali na kuzifanyia kazi kama nchi ili...
12 Reactions
189 Replies
20K Views
Igweeeeeeeee! Tetesi ni kwamba Watanzania tujiandae kisaikolojia na kama vile wahenga walivyowahi sema "Ukiona mwenzako ananyolewa basi wewe zako tia maji". Ndugu za Watanzania, hapo nchi jirani...
26 Reactions
98 Replies
11K Views
Kuna taarifa ukizisikia unaishia kuumia na kushangaa Sana sana. Kuna mengi nyuma ya pazia yakutisha. Kama haya yamefanyika Kwa CCM wenyewe Kwa wenyewe, ilikuaje Kwa Upinzani?
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Maji Umeme Shule, Madarasa, Madawati Hospitali Barabara n.k. Hivi ni vitu ambavyo hadi leo hii vijiji vingi sana bado wanakwama. Ajabu ni kwamba uchagani hivi vitu tangu 70, 80's huko...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga Dkt Emmanuel Cherehani amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
UVCCM ni taasisi kubwa mnapotoa tamko ni Lazima muwe na uhakika nalo. Sasa mitandaoni Tundu Lissu ndio anatrend akiwa Chato na anaongea na Wananchi nanyi mlituahidi hatatia hatua hata moja...
19 Reactions
40 Replies
4K Views
Wachumi habari! Mimi nakuja kwenu nahitaji muongozo wa biashara au shughuli yoyote ile inayoweza kuingiza faida ya Shilingi 70 za Tanzania kwa kila dakika, kwa masaa 14, siku 7 za wiki. Ni...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Akiandika kwa kuchafua wengine "tarnishing image" amewaita UVCCM jina baya la wale waasi wa kule Sudan. Mkuu Elvis nianze kwa kukueleza kuwa kazi ya UVCCM ni kusimamia, kueneza, kulinda na...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amesema uhuru wa vyombo vya habari umeongezeka nchini hivyo ni jukumu la waandishi wa habari kuwaibika na kuzingatia sheria zilizopo. Balile...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi, Anne Makinda amesema baadhi ya wanaume wakijua wake zao ni watafutaji, hawahudumii familia. Makinda alisema hayo juzi, katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake...
1 Reactions
6 Replies
932 Views
Mambo ya kijinga huwa yanaanza hivi hivi kiutani. Kilichofanyika Chato na UVCCM kwa mtu asiyeona mbali, utafikiri ndio siasa zenyewe lakini mambo yanaweza kulipuka beyond control. Siasa za vyama...
12 Reactions
35 Replies
3K Views
Gari lililokuwa linatumika kufanya matangazo (PA) ya mikutano ya Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, lenye namba za usajili T 658 DQL limenusurika kuteketea...
6 Reactions
105 Replies
13K Views
Kumbe Watanzania tuna woga na siyo amani, hoja ndogo tu tena ya nia njema ya kutukwamua mahali tulipo DP world tunatukanana mpaka mapovu yanatutoka. Hivi katika Dunia hii walioweza kufanikiwa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Diwani wa Kata ya Kamsamba Wilayani Momba, Kyalambwene Joshua Kakwale amejilaza chini kama ishara ya msisitizo kumuomba Waziri wa Maji Jumaa Aweso afanikishe Kata hiyo kupata maji kwani Wakazi...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Hospitali ya Taifa Muhimbili na Amana zimesema upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwa sasa ni asilimia 97. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam Mfamasia wa Hospitali ya Muhimbili, Nelson Faustine...
0 Reactions
7 Replies
724 Views
Mzee huyu maarufu ndani ya mkoa wa iringa mwanachama wa chadema na bingwa wa propaganda za kisiasa ameaga dunia . Chadema watammiss Sana hasa ukizingatia kua pia alikua campaign manager wa Msigwa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Djbouti 26- DP WORLD Berbera 144- DP WORLD, DSM 312- DP WORLD (analetwa), Mombasa 326-wabia wanatafutwa === President William Ruto's announcement of a raft of measures to improve efficiency...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom