Jukwaa la Wahariri (TEF): Uhuru wa Vyombo vya Habari Umeongezeka Nchini

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amesema uhuru wa vyombo vya habari umeongezeka nchini hivyo ni jukumu la waandishi wa habari kuwaibika na kuzingatia sheria zilizopo.

Balile amesema wanahabari hawapaswi kuchafua taaluma yao kwa kutofanya kazi kwa weledi au kutumia vibaya uhuru ulioongezeka hivi sasa baada ya miaka sita migumu na sheria ngumu.

Alitoa kauli hiyo Dares Salaam wakati Muungano wa Haki ya Kupata Habari (CoRI) wakijadili marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 iliyofanyiwa marekebisho mwezi uliopita.
"Ni ukweli usiopingika kuwa uhuru umeanza kuimarika, watu wanazungumza kwa namna wanavyotaka na wengine wamefikia hatua hata kutoa kauli zisizofaa kwa viongozi na hawakamatwi na polisi kama ilivyokuwa miaka sita iliyopita,' alisema Balile.

Katika marekebisho hayo ya hivi karibuni, serikali imekiondoa kifungu cha 5(1) kilichokuwa kikimpa mamlaka Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), kugawa matangazo kwenye vyombo vya habari, hatua ambayo ilivikwaza vyombo vya habari, lakini sasa kimeondolewa na mambo yameanza kuwa vizuri. Pia imefanya marekebisho katika Kifungu cha 38 (3) kilichokuwa kinazungumzia kashfa kugeuzwa jinai sasa kimewekwa sawasawa tofauti kilivyokuwa awali.

Aidha, Kifungu cha 50 (1), 50 (11) kilikuwa kinaruhusu mtu yeyote kudai amekashfiwa na serikali ingeweza kumfungulia mashtaka aliyemkashifu mwenzake, lakini sasa kimeondolewa.

Balile alisema pia sasa mitambo iliyotumika kuchapa gazeti lenye taarifa ya kashfa sasa itakuwa salama tofauti na mwanzo ambapo ingeweza kutaifishwa na kuwa sehemu ya washtakiwa.
 
Uhuru umeongezeka wakati karibu vyombo vyote vya habari vimekuwa vya kichawa. Angalia wanavyokwepa kuandika habari za upinzani na kusifia wizi wa viongozi walioko madarakani
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amesema uhuru wa vyombo vya habari umeongezeka nchini hivyo ni jukumu la waandishi wa habari kuwaibika na kuzingatia sheria zilizopo.

Balile amesema wanahabari hawapaswi kuchafua taaluma yao kwa kutofanya kazi kwa weledi au kutumia vibaya uhuru ulioongezeka hivi sasa baada ya miaka sita migumu na sheria ngumu.

Alitoa kauli hiyo Dares Salaam wakati Muungano wa Haki ya Kupata Habari (CoRI) wakijadili marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 iliyofanyiwa marekebisho mwezi uliopita.
"Ni ukweli usiopingika kuwa uhuru umeanza kuimarika, watu wanazungumza kwa namna wanavyotaka na wengine wamefikia hatua hata kutoa kauli zisizofaa kwa viongozi na hawakamatwi na polisi kama ilivyokuwa miaka sita iliyopita,' alisema Balile.

Katika marekebisho hayo ya hivi karibuni, serikali imekiondoa kifungu cha 5(1) kilichokuwa kikimpa mamlaka Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), kugawa matangazo kwenye vyombo vya habari, hatua ambayo ilivikwaza vyombo vya habari, lakini sasa kimeondolewa na mambo yameanza kuwa vizuri. Pia imefanya marekebisho katika Kifungu cha 38 (3) kilichokuwa kinazungumzia kashfa kugeuzwa jinai sasa kimewekwa sawasawa tofauti kilivyokuwa awali.

Aidha, Kifungu cha 50 (1), 50 (11) kilikuwa kinaruhusu mtu yeyote kudai amekashfiwa na serikali ingeweza kumfungulia mashtaka aliyemkashifu mwenzake, lakini sasa kimeondolewa.

Balile alisema pia sasa mitambo iliyotumika kuchapa gazeti lenye taarifa ya kashfa sasa itakuwa salama tofauti na mwanzo ambapo ingeweza kutaifishwa na kuwa sehemu ya washtakiwa.
Hili haya pumbavu sana,linatafuta teuzi serikalini,na serikali inavyopendaga majinga model hii soon litateuliwa
 
Balile alisema pia sasa mitambo iliyotumika kuchapa gazeti lenye taarifa ya kashfa sasa itakuwa salama tofauti na mwanzo ambapo ingeweza kutaifishwa na kuwa sehemu ya
wandishi wa bongo njaa sana, eti waliambiwa baada ya press andikeni namba, tunataka hii habari iende viral sana rafiki yangu akaandika namba, duh ni shida akatumiwa elfu thelathini, hapo ndio nilicheka, kwa njaa mliyokuwa nayo lazima uhuru uongezeke.

shida ya taaluma hii imekimbiliwa na wajinga wengi, waliofeli kidato cha nne na cha sita, ndio maana wako hivyo maskini ya Mungu.
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amesema uhuru wa vyombo vya habari umeongezeka nchini hivyo ni jukumu la waandishi wa habari kuwaibika na kuzingatia sheria zilizopo.

Balile amesema wanahabari hawapaswi kuchafua taaluma yao kwa kutofanya kazi kwa weledi au kutumia vibaya uhuru ulioongezeka hivi sasa baada ya miaka sita migumu na sheria ngumu.

Alitoa kauli hiyo Dares Salaam wakati Muungano wa Haki ya Kupata Habari (CoRI) wakijadili marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 iliyofanyiwa marekebisho mwezi uliopita.
"Ni ukweli usiopingika kuwa uhuru umeanza kuimarika, watu wanazungumza kwa namna wanavyotaka na wengine wamefikia hatua hata kutoa kauli zisizofaa kwa viongozi na hawakamatwi na polisi kama ilivyokuwa miaka sita iliyopita,' alisema Balile.

Katika marekebisho hayo ya hivi karibuni, serikali imekiondoa kifungu cha 5(1) kilichokuwa kikimpa mamlaka Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), kugawa matangazo kwenye vyombo vya habari, hatua ambayo ilivikwaza vyombo vya habari, lakini sasa kimeondolewa na mambo yameanza kuwa vizuri. Pia imefanya marekebisho katika Kifungu cha 38 (3) kilichokuwa kinazungumzia kashfa kugeuzwa jinai sasa kimewekwa sawasawa tofauti kilivyokuwa awali.

Aidha, Kifungu cha 50 (1), 50 (11) kilikuwa kinaruhusu mtu yeyote kudai amekashfiwa na serikali ingeweza kumfungulia mashtaka aliyemkashifu mwenzake, lakini sasa kimeondolewa.

Balile alisema pia sasa mitambo iliyotumika kuchapa gazeti lenye taarifa ya kashfa sasa itakuwa salama tofauti na mwanzo ambapo ingeweza kutaifishwa na kuwa sehemu ya washtakiwa.
Halafu wajinga wachache wanamtukana Rais, dawa wapigwe jela
 
Back
Top Bottom