Diwani ajigalagaza akililia maji

Diwani ajigalagaza akililia maji

101 East

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
1,057
Reaction score
2,259
Diwani wa Kata ya Kamsamba Wilayani Momba, Kyalambwene Joshua Kakwale amejilaza chini kama ishara ya msisitizo kumuomba Waziri wa Maji Jumaa Aweso afanikishe Kata hiyo kupata maji kwani Wakazi wake wanateseka ikiwemo baadhi ya Watu kuliwa na mamba wakati wakichota maji mtoni.

Waziri Aweso ambaye alikuwa kwenye ziara ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maji katika mkoa wa Songwe aliahidi kuwa Serikali itapeleka TSh500 milioni ndani ya wiki mbili kwa ajili ya ujenzi wa visima vitakavyosaidia kupunguza changamoto hiyo.

Screenshot 2023-08-03 114007.png
 
Hii nchi cjui kuna tatizo gan kwa viongoz, yaan issue ya maji ni wajibu wa serikali na sio ombi lkn imagine huyu tipwa alichofanya!!
 
Diwani wa Kata ya Kamsamba Wilayani Momba, Kyalambwene Joshua Kakwale amejilaza chini kama ishara ya msisitizo kumuomba Waziri wa Maji Jumaa Aweso afanikishe Kata hiyo kupata maji kwani Wakazi wake wanateseka ikiwemo baadhi ya Watu kuliwa na mamba wakati wakichota maji mtoni.

Waziri Aweso ambaye alikuwa kwenye ziara ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maji katika mkoa wa Songwe aliahidi kuwa Serikali itapeleka TSh500 milioni ndani ya wiki mbili kwa ajili ya ujenzi wa visima vitakavyosaidia kupunguza changamoto hiyo.

Jitu limenenepeana hivyo kama kiboko lina shida ya maji kweli? CCM ni laana kwa nchi!
 
Tatizo siyo kugalagala, kwenye kuinuka ndo msala lazima itafutwe winchi
 
Ni sehemu ya madiwani waliopita kwa kura za miujiza enzi zile za mwenda zake,anajifanya ana huruma na wananchi wake,siku akikubananisha kwenye kona zako utaomba Mungu ashuke akuokoe ni jambazi la kufa magereza ni kama nyumbani kwake.
 
Ukute lenyewe ndio Mamba.
Limenenepa kwa kuwala wananchi wake.
 
Vibonge tunanyanyapaliwa sana, jamaa hapa anasema eti diwani alivunja jukwaa alipokua anagalagala uzito haukubalance.
 
Diwani wa Kata ya Kamsamba Wilayani Momba, Kyalambwene Joshua Kakwale amejilaza chini kama ishara ya msisitizo kumuomba Waziri wa Maji Jumaa Aweso afanikishe Kata hiyo kupata maji kwani Wakazi wake wanateseka ikiwemo baadhi ya Watu kuliwa na mamba wakati wakichota maji mtoni.

Waziri Aweso ambaye alikuwa kwenye ziara ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maji katika mkoa wa Songwe aliahidi kuwa Serikali itapeleka TSh500 milioni ndani ya wiki mbili kwa ajili ya ujenzi wa visima vitakavyosaidia kupunguza changamoto hiyo.

1691065612729.png

=
1691065658091.png

=
1691065710672.png

Najaribu kuwaza kwa sauti! kwa nja ya picha
1691065751863.png
 
Back
Top Bottom