Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo hii ni siku ambayo tunakumbuka Kuzaliwa kwa Mpigania Haki muhimu wa Tanzania Askofu Emmaus Mwamakula , ambaye wapenda haki wengi wanamuita Desmond Tutu , huku wengine wakimuita Malcom X ...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
SHIRIKISHO la Vyama Vya Wafanyakazi (TUCTA), limempongeza Rais Dk. Samia Suluhu. Hassan kwa mabadiliko na maboresho makubwa kwa wafanyakazi wa sekta binafsi na umma, ikiwemo kuogeza kiwango cha...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
nionavyo Mimi ,muungano wa kweli na usio na maswari ni kuwa na serikali moja,hii itatoa utata uliopo Sasa ya mala,Tanganyika imetawaliwa ,mala zbar inawanyonya wa bara,mala bara inawadumaza wa...
2 Reactions
4 Replies
392 Views
Naona yale maridhiano sasa yanapata mbawa, na Lissu kaja Bongo kimya kimya kuchafua hali ya hewa Morogoro mjini tarehe 7/5/2023. USSR
7 Reactions
39 Replies
2K Views
MIAKA MIWILI YA MAMA, YENYE KUJALI NA KUTHAMINI JAMII: [emoji307] ============= Na James Yustar / Kijana wa Mtaani. - Nikiwa kijana ninayewakilisha kundi kubwa la vijana na watoto wanaoishi...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
,,,,,,,,,,,
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Makampuni yanatoka nje ya nchi yanakuja Tanzania na kufanya utafiti kuna uhaba katika sekta gani, wanapata majibu kuna uhaba katika sekta ya kilimo na ufugaji wa Nguruwe. Wanaifanya fursa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Unaweza kushangaa kuona wengine wakinunua Umeme wa 9,150 Wanapata Unit 75 wew ukinunua Umeme wa 10,000 unapata Unit 28.1 Iko hivi Watumiaji wadogo wa Umeme ambao kwa mwezi Matumizi yao hayazidi...
29 Reactions
42 Replies
15K Views
Kwanini wataka urais wengi wanamuogopa sana mh majaliwa? Japo yeye yupo kimya busy na kazi ila kina hatua zake wanamfuatilia
0 Reactions
10 Replies
928 Views
Jana niliishiwana umeme nyumbani kwangu. Kila nikijaribu kununua kwa simu kama nilivyosmzoea ilishindikana. Leo nikaamua kwenda TANESCO kuulizia tatizo ni nini. Baada ya kuwapa namba ya mita...
2 Reactions
1 Replies
757 Views
MKULIMA aliyewaburuza kortini baadhi ya mawaziri, wakuu wa mashirika na Kampuni binafsi waliotajwa na ahofia mashahidi wa CAG wanaweza kupoteza maisha ikawa nguvu kushungulikia suala hilo Novemba...
1 Reactions
1 Replies
879 Views
HABARI WAPENDWA! Tumeshuhudia kauli za Mbunge wa Mbeya ambaye pia ni Spika wa Bunge akiomba jimbo lake ligawanywe, na bado kwenye jimbo la REMA nako Mrisho Gambo naye anakilio na hitaji hilo hilo...
2 Reactions
5 Replies
496 Views
WIKI iliyopita Bunge lilichemka baada ya mvutano baina ya Jenister Mhagama na Spika wa Bunge kuhusu kauli ya Luhaga Mpina kwamba maagizo ya Waziri Mkuu kuhusu wafugaji hayajatekelezwa na...
0 Reactions
1 Replies
452 Views
Mbunge wa Jimbo la Geita Joseph Kasheku Musukuma amehoji Bungeni faida ya kuweka hereni kwenye ng’ombe na amemtaka Waziri wa Mifugo na Uvuvi kujinasua kwenye mtego huo. Musukuma amesema hayo...
10 Reactions
48 Replies
6K Views
Mara baada ya Rais Samia kufanya mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri na kumtumbua aliyekuwa waziri wa mifugo na uvuvi ambaye ni mbunge wa jimbo la Maswa mashariki bwana Mashinda Ndaki kilio...
4 Reactions
37 Replies
5K Views
Kuna taarifa zinaenea sana mitandaoni zikimhusisha Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kufadhili vitendo vya uvuvi haramu ili waweze...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amemjibu Rais Samia Suluhu Hassan kuwa agizo lake la kutaka kufutwa kwa vitalu vya Ranchi za Taifa NARCO vinavyomilikiwa kisheria na wawekezaji mbalimbali...
5 Reactions
61 Replies
7K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo Mei 6, 2023 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, amepokea taarifa ya Kamati aliyoiunda kuchunguza tukio la kukatika umeme katika...
0 Reactions
7 Replies
661 Views
Tafakari Kuna umuhimu wowote wa Mbunge kula kiapo huku ameshikilia Kitabu kitakatifu Biblia au Qur'an Mikononi mwake? Nimeona kiapo cha King Charles III na Maneno aliyokuwa anatamkiwa na...
1 Reactions
1 Replies
463 Views
Back
Top Bottom