TANZIA Mzee David Butinini afariki dunia

Captain 666

JF-Expert Member
Nov 5, 2021
654
1,208
Mzee huyu maarufu ndani ya mkoa wa iringa mwanachama wa chadema na bingwa wa propaganda za kisiasa ameaga dunia .

Chadema watammiss Sana hasa ukizingatia kua pia alikua campaign manager wa Msigwa .

Rest easy baba
---

1691085974528.png

Mzee David Butinini enzi za uhai wake

Mchungaji Msigwa athibitisha kutokea kwa kifo cha Mzee Butinini

Mchungaji Msigwa - Nimempoteza mzee wangu , rafiki yangu , mshauri wangu Mwalimu wangu wa siasa , muasisi wa mageuzi IRINGA.

Mbuyu umeanguka , Maktaba imetoweka . Asante sana kwa mchango wako katika maisha yangu.

R I. P David Butinini.
 
Hivi alikuwa na uhusiano wowote na aliyekuwa mshambuliaji nguli wa timu ya soka ya Reli ya Morogoro wakati ule ilipokuwa inajulikana kama kiboko ya vigogo au ni mfanano wa majina tu?
 
Back
Top Bottom