Desemba 22,2022 Mhe. Rais Samia Suluhu alizindua zoezi la kuanza ujazwaji maji kweny Bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere. Hadi sasa mradi umebakiza asilimia 18 kukamilika huku ujazo wa...
Kama kuna kitu cha kumfanya Rais yoyote akumbukwe Daima basi ni kuwasaidia Wananchi kupata Katiba iliyo Bora
Sanaa nyingine zote zitapita lakini saini yako kwenye Katiba Bora itadumu
Mlale Unono!
Serikali ipo mbioni kujenga chanzo kikubwa cha kuzalisha umeme ndani ya Hifadhi ya Seleou.Ni kwamba 1/3 ya eneo lote litatumika.Naunga mkono serikali kujiamulia namna nzuri ya kujiletea maendeleo...
Mbunge wa Moshi Mjini, Priscus Tarimo amesema wameendelea kushauriana na Serikali ili ikiwezekana mikopo itokanayo na asilimia 10 ya mapato ya halmashauri inayotolewa kwa wanawake, vijana na watu...
MGODI WA SHANTA SINGIDA USIWABAGUE WAZAWA.
BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA MADINI DOTO BITEKO
Na: Suphian Juma Nkuwi
Mheshimiwa Waziri,
Nakusalim kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pole...
Habari JF,
Inasikitisha sana kwa sana kuona Watanzania tumegawanyika na huu mgawanyiko umekaa kishabiki kiasi kwamba hata wale waliokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri huo uwezo haupo tena.
Kwa...
Wananchi wa Kaliua - Kazaroho Wala Kiapo cha Kumlinda Rais Samia Mbele ya DC ChuaChua
Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Mhe. Dkt. Rashid ChuaChua amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
Wanachama zaidi wa Chadema waliotokea CUF wamejiondoa kwenye chama hicho
Kati ya Wanachama 604 waliopokelewa kwa Sherehe na mh Mbowe wamebaki 2 tu
Source: Mwananchi
Hello Home of Great Thinkers!
Nipo hapa Bahari Beach Mtaa wa Simba ukitokea Jambo Super Market.
Ipo baa imefunguliwa hapa tena kwenye maeneo ya makazi. Mpaka muda huu inapiga muziki ukiwauliza...
Usione Mchungaji Msigwa na Mr.Sugu wamechakazwa mno na wakina mama kule Iringa na Mbeya ambako wanachukuliwa kama wafalme ukaona ni tukio la kawaida.
Jesca Msambatavangu ambaye ni mbunge wa...
Jaji aliyemaliza muda wake wa kuitumikia Mahakama, Jaji John Mgeta amesema katika kazi yake ya utumishi kama Jaji hatasahau namna ambavyo kigogo wa Serikali alichana hukumu mbele yake.
Jaji Mgeta...
Angalia leo hii wanavyosifia na kueneza namna rais Samia anavyopiga kazi
Kuanzia kuongeza mishahara watumishi wa umma, kutimiza mahitaji ya wananchi kama kununua vifaa tiba na madawa. Wanasifia...
Bima kwa Wanafunzi
Overview
NHIF offers health insurance services to students of higher or any other learning institutions. A student who is a member of NHIF will access medical services with...
Ndugu zangu watanzania,
Rais Samia mama wa shoka,Hodari ,imara madhubuti,shupavu,Jasiri muongoza njia , shujaa wa Uchumi,nguli wa Diplomasia, komando wa Vita ya maendeleo, mzalendo wa...
Merdad Matogolo Kalemani aliyewahi kuwa waziri wa nishati na akawa anapeleka umeme kwa wasitani wa vijiji elfu 2 kila mwaka hivyo kupelekea vijiji zaidi ya elfu 10 kupata umeme ndani ya miaka yake...
Taasisi ya Kitanzania ya Miss Jungle International leo Mei 06, 2023 imepokea ujumbe wa Taasisi ya Kimataifa ya nchini India iitwayo International Iconic Awards wenye lengo kuu la kuja kutoa tuzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.