Titho Philemon
Member
- Nov 15, 2019
- 35
- 113
HABARI WAPENDWA!
Tumeshuhudia kauli za Mbunge wa Mbeya ambaye pia ni Spika wa Bunge akiomba jimbo lake ligawanywe, na bado kwenye jimbo la REMA nako Mrisho Gambo naye anakilio na hitaji hilo hilo. Hili linatoa taaswira gani kisiasa?
Binafsi naona ujio mpya wa demokrasi nchini umewaamusha wapinzani na hivyo wananchi kujua kile wanachopaswa kukifanya kwa usahihi. Katika maeneo mengi ya vijijini kwasasa yanashuhudiwa mengi sana na siyo tu kwa viongozi bali pia katika mfumo wa kiserikali.
Imefikia sehemu baadhi ya viongozi wa kata wa chama tawala kuanza kuwalazimisha wananchi kukata kadi ili waweze kwenda kupatiwa huduma za kijamii - it's worse at all yaani hali imewawea ngumu.
Naleta kwako mwana JF, kufuatia maombi haya ya kugawaywa kwa majimbo hapa nchini nini maoni yako?