MKULIMA aliyewaburuza kortini baadhi ya mawaziri, wakuu wa mashirika na Kampuni binafsi waliotajwa na ahofia mashahidi wa CAG wanaweza kupoteza maisha ikawa nguvu kushungulikia suala hilo Novemba...
HABARI WAPENDWA!
Tumeshuhudia kauli za Mbunge wa Mbeya ambaye pia ni Spika wa Bunge akiomba jimbo lake ligawanywe, na bado kwenye jimbo la REMA nako Mrisho Gambo naye anakilio na hitaji hilo hilo...
WIKI iliyopita Bunge lilichemka baada ya mvutano baina ya Jenister Mhagama na Spika wa Bunge kuhusu kauli ya Luhaga Mpina kwamba maagizo ya Waziri Mkuu kuhusu wafugaji hayajatekelezwa na...
Mbunge wa Jimbo la Geita Joseph Kasheku Musukuma amehoji Bungeni faida ya kuweka hereni kwenye ng’ombe na amemtaka Waziri wa Mifugo na Uvuvi kujinasua kwenye mtego huo.
Musukuma amesema hayo...
Mara baada ya Rais Samia kufanya mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri na kumtumbua aliyekuwa waziri wa mifugo na uvuvi ambaye ni mbunge wa jimbo la Maswa mashariki bwana Mashinda Ndaki kilio...
Kuna taarifa zinaenea sana mitandaoni zikimhusisha Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kufadhili vitendo vya uvuvi haramu ili waweze...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amemjibu Rais Samia Suluhu Hassan kuwa agizo lake la kutaka kufutwa kwa vitalu vya Ranchi za Taifa NARCO vinavyomilikiwa kisheria na wawekezaji mbalimbali...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo Mei 6, 2023 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, amepokea taarifa ya Kamati aliyoiunda kuchunguza tukio la kukatika umeme katika...
Tafakari
Kuna umuhimu wowote wa Mbunge kula kiapo huku ameshikilia Kitabu kitakatifu Biblia au Qur'an Mikononi mwake?
Nimeona kiapo cha King Charles III na Maneno aliyokuwa anatamkiwa na...
TEKELEZENI MAJUKUMU KUINUFAISHA SERIKALI
Watumishi wapya wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) wametakiwa kutumia elimu waliyoipata na fursa ya ajira ya Serikali kutekeleza majukumu yao kwa...
Daah!
Kweli imekuwa kimya kwa upotevu wa matrilion tarifa za CAG?
Kisa wahusika wakuu ni viongozi wa mawizara na Idara mbalimbali??
Kweli kabisa? Siamini nachokiona na kukisikia kwa masikio...
02 May 2023
Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB) iameahidi kuendeleza ushirikiano na Bodi ya Usajili wa Wahandisi ya Kenya (EBK), katika mkataba wa makubaliano ya pamoja waliyoweka ili...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo, amekiomba Chama hicho kumhoji na kumchukulia hatua za kinidhamu Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa kile alichokiita kwenda kinyume na maadili...
Baada ya Taarifa ya Shehe Ponda kuonekana mitandaoni, ikieleza kwamba kuna mashehe wamewekwa rumande huko Arusha kwa miaka 10 kwa tuhuma za ugaidi, na kwamba hawapelekwi Mahakamani kwa vile Bajeti...
Jaji Mkuu mstaafu, Chande Othman amewataka majaji wa Mahakama Kuu kumaliza haraka kesi wanazopangiwa, ili kuondoa wasiwasi kwa jamii na wao kujiweka huru.
Amesema ucheleweshaji wa kesi zikiwamo...
Binafsi kama mpenda maendeleo. Mimi ningekuwa Mama ningependekeza katiba ya warioba iongezewe vitu vichache tu. Tutengeneze Mtandao ambao raia watatoa maoni yao kwa kuna AI sasa hivi tunazichakata...
Hili pendekezo ni kiki, kwasababu binafsi sijawahi enda ofisi ya umma nikaacha kuhudumiwa eti mtu anachati.
===
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
Moja ya ya vipande ambayo vinasheeni makazi katika tazam road ni dsm to morogoro km 195na mbeya to makambako km 172 vina fanana ni vipande ambayo baada ya miaka mitano makazi yatakuwa yameungana...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Nabii Lema amesema wananchi wafanye Kazi wasitegemee miujuza
Lema ameonya wale wanaotoa Fedha kwa Manabii wakiamini watavuna mafanikio kimiujiza wajue Wao ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.