Miaka miwili ya Rais Samia yenye kujali na kuthamini jamii

MwanaWA Ebrania

JF-Expert Member
Oct 6, 2017
940
1,138
MIAKA MIWILI YA MAMA, YENYE KUJALI NA KUTHAMINI JAMII:
=============
Na James Yustar / Kijana wa Mtaani.

- Nikiwa kijana ninayewakilisha kundi kubwa la vijana na watoto wanaoishi Mazingira Magumu (Mitaani).
Tunakitu kikubwa cha kusema kuhusu miaka miwili ya Uongozi wa Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassani.

Tangu Maadhimisho ya miaka miwili (2) yameanza, tumesekia na kusoma makala nyingi za watu Mashuhuri na waandishi wa Bobevu wakipongeza kwa mambo mbalimbali yanayoelezea kazi nzuri aliyoifanya Mama yetu, Wengi wa watu hao maoni na makala zao ukisoma kwa umakini unakuta zinajirudia / kufanana.

- Nikiwa kama kijana wa mtaani,
Sina taaluma ya Uandishi
Lakini nimeguswa kuandika kitu ambacho wachambuzi na waandishi wengi manguli hawajataka kukisema kwenye kalamu zao.
Inawezekana Hawajui / hawajaona ama wamejisahau.

- Mama ni Mzazi na Mlezi anayejari na Kuthamini Familia, haijarishi madhahifu na mapungufu yaliyopo kwa watoto alionao, huyu Mama Anawapenda wote kwa kipimo sawa.

Hapa nitaongea yale MAMBO MAKUBWA SANA, MAMA YETU MHESHIMIWA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN
AMEYAFANYA KWA KUNDI LETU LA VIJANA NA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU (MTAANI)

ILI NI KUNDI AMBALO KWA MUDA MREFU LILITENGWA NA JAMII PAMOJA NA SERIKALI, KUNDI AMBALO KILA KUKICHA LILIKUWA LINADIDIMIZWA KWENYE DIMBWI LA UKATILI KWA KUITWA MAJINA MENGI YA AJABU YA KUUTWEZA UTU WAO.

- MIAKA MIWILI YA UONGOZI WA MAMA, KUNDI HILI LIMEHESHIMISHWA KWA KIWANGO KIKUBWA SANA.

TAREHE 21 NOMBER 2021, VIJANA NA WATOTO WAISHIO MTAANI TULIANDAA KONGAMANO KUBWA LA UCHANGIAJI WA DAMU NA KUAMASISHA CHANJO YA UVIKO 19 TUKIO LILIFANYIKA VIWANJA VYA OCEAN ROAD HOSPITAL, MGENI RASMI ALIKUWA MHE WAZIRI WA AFYA, USTAWI WA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO DR DOROTHY GWAJIMA.
- MAMBO MBALIMBALI YALIJADILIWA KWENYE KONGAMANO HILO, LIKIWEMO WATOTO HAO KUOMBA KUPATIWA WIZARA RASMI ITAKAYOJISHUGHULISHA NA MATATIZO YA UKATILI YANAYOWAPATA KULE KWENYE FAMILIA WALIKOTOKA NA HUKU MTAANI WANAKOISHI AMBAKO UKATILI NDIO NYUMBANI KWAKE🥲, WALIOMBA KUPATIWA WIZARA MPYA KUTOKANA NA WIZARA YA AFYA WAKATI HUO ILIKUWA BUSY NA MASWALA YA COVID-19, ILI KUHAKIKISHA JAMII YETU INAKUWA SALAMA.

BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI LILIRUSHA MUBASHARA KONGAMANO HILO, AMBALO MHESHIMIWA RAIS DR SAMIA SULUHU HASSANI ALIGUSWA KWA UCHUNGU KAMA MAMA, NA KUMPIGIA SIMU MHE WAZIRI WA AFYA, AKAMWAGIZA AWAAMBIE WATOTO HAO KUWA AMESIKIA KILIO CHAO, SERIKALI YEKE ITAFANYA YALE AMBAYO WAMEYAOMBA.

HAIKUPITA MUDA MUDA MREFU, WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU ILIYOCHINI YA MHE WAZIRI DR DOROTHY GWAJIMA IKATANGAZWA.

- VIJANA NA WATOTO WAISHIO MTAANI WAKAFURAHI KUONA WANAYO SEHEMU YA KUPELEKA MATATIZO YA UKATILI WANAYOTENDEWA NA WATU WENYE FIKRA DUMAVU.

KUPITIA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU. KILA MTANZANIA AMEKUWA SHAHIDI NA MNUFAIKA WA MOJA KWA MOJA KWA MAMBO MAKUBWA YANAYOFANYWA KUPITIA WIZARA HII YA KIMKAKATI.

WIZARA IMELETA CHACHU YA KUKUZA MAENDELEO KUANZIA NGAZI YA KAYA KWA KUIMALISHA MISINGI YA UELEWA NA ELIMU YA MALEZI BORA KWA NGAZI YA FAMILIA, KUONDOA MIGOGORO ILIYOKUWA IKISABABISHA MMOMONYOKO WA MAADILI NA MAFARAKANO KWA WANANDOA AMBAYO NDIYO ILIKUWA CHANZO KIKUBWA CHA WATOTO KUKIMBIA NYUMBANI NA KUINGIA MITAANI.

MUDA MCHACHE WA UWEPO WA WIZARA HII IMEFANIKIWA KUANZISHA KAMPENI MBALIMBALI ZA KUTOKOMEZA UDUMAVU WA FIKRA KWA JAMII YETU.

KUBWA ZAIDI WIZARA IMEFANIKIWA KUUNDA KAMATI MAALUMU YA TAIFA YA KUMTENGAMANISHA MTOTO ANAYEISHI MTAANI.

KWA MARA YA KWANZA KATIKA HISTORIA YA TAIFA LETU HII IMEKUWA NI KAMATI YA KWANZA KUUNDWA NA SERIKALI YETU NA KUWASHIRIKISHA VIJANA WA MTAANI KUWA SEHEMU YA WAJUMBE WAANDAMIZI.

LENGO KUU LA KUUNDWA KAMATI HII AMBAYO NI AGIZO LA MHESHIMIWA RAIS DR SAMIA SULUHU HASSANI, NI KUHAKIKISHA TAIFA LINAMALIZA WIMBI LA WATOTO WANAOISHI MITAANI, KWA KUWAJENGEA UWEZO WATOTO WAHANGA WALIOPO MTAANI WAYACHUKIE MAISHA YA KUISHI MITAANI, PAMOJA NA KUWAPA ELIMU YA MAADILI WATOTO WALIOPO KWENYE FAMILIA ILI WASISHAWISHIKE KUINGIA MITAANI.
SERIKALI IMETOA ENEO KUBWA LENYE ZAIDI YA HEKARI 50 LILILOPO PEMBA MNAZI MANISPAA YA KIGAMBONI, ILI KUJENGWA KITUO CHA KISASA KWA AJIRI YA KUWAPA UJUZI NA TAALUMA MBALIMBALI WATOTO HAO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU.

KAMATI HIYO INAONGOZWA NA WIZARA ZAIDI YA 4 IKIWEMO MAENDELEO YA JAMII, TAMISEMI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI NA WIZARA YA AFYA.

MHESHIMIWA RAIS DR SAMIA SULUHU HASSANI
- AMEFANIKIWA KUIMARISHA HUDUMA YA AFYA KWA VIJANA NA WATOTO WAISHIO MTAANI, AMBAPO HUKO NYUMA KABLA YA UJIO WAKE WATOTO NA VIJANA WAISHIO MITAANI WALIKUWA WANAPATA SHIDA SANA WANAPOFIKWA NA MARADHI, VIFO VYA KABLA YA WAKATI VILIKUWA VINAWAANDAMA WATOTO HAO WA MITAANI.
KWA KUWA WANAPOUMWA WANASHINDWA KUGHALAMIA MATIBABU HASA VIPIMO NA UNUNUZI WA DAWA🥲

LAKINI LEO MAMA AMELETA TABASAMU NA CHEKO LILILOBEBA MATUMAINI MAKUBWA YENYE CHEMCHEMI YA UHAI KWA KUNDI HILI LA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU. WANAPATIWA HUDUMA FULL PACKAGE BURE KATIKA HOSPITAL ZOTE ZA SERIKALI.

"MHESHIMIWA RAIS DR SAMIA SULUHU HASSANI HANA MBAMBAMBA..

KAWASHIRIKISHA WATOTO WA MITAANI KWENYE SENSA YA WATU NA MAKAZI.

KUBWA ZAIDI MAMA AMEFANIKIWA KUWA JUMUISHA WATOTO, VIJANA NA WAZEE WANAOISHI MAZINGIRA MAGUMU KWENYE DAFTARI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI ILIOFANYIKA AUGUST 2022
HILI NI JAMBO MUHIMU NA KUBWA ZAIDI KWA JAMII YETU YA WATU WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU, KWA MARA YA KWANZA KATIKA HISTORIA YA TAIFA LETU TUMEUNGANISHWA KWENYE SENSA YA WATU NA MAKAZI.

HII NI SENSA YA SITA (6) KUFANYIKA TANGU TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZIMEUNGANA NA KUUNDA TAIFA MOJA LA TANZANIA MWAKA 1964,

ZIMEPITA SENSA TANO (5) BILA KUWASHIRIKISHA WATOTO NA VIJANA WAISHIO MAZINGIRA HATARISHI (MTAANI)

BINAFSI NIKIWA NAISHI MITAANI NIMESHUHUDIA SENSA MBILI (2) ZIKINIPITA BILA KUHESABIWA.
SENSA YA KWANZA NI ILE YA MWAKA 2002 NIKIWA MTOTO WA MIAKA , SENSA YA PILI MWAKA 2012 NIKIWA KIJANA WA MIAKA 20, HIZO ZOTE SIKUPATA NAFASI YA KUHESABIWA.

BAADA YA KUJUA UMUHIMU WA SENSA KUPITIA MACHAPISHO NA MATANGAZO MBALIMBALI, NDIPO NILIGUNDUA KUWA KUNA MAHITAJI NA HAKI ZETU NYINGI ZA KIMSINGI NA KIJAMII TUNAZIKOSA.

TULIANZA KUTOA MAONI ILI NA SISI TUSHIRIKISHWE KWENYE KUHESABIWA.

TUNAMSHUKURU MAMA YETU MPENDWA MHESHIMIWA RAIS DR SAMIA SULUHU HASSANI
RAIS MPENDA HAKI, RAIS MSIKIVU, RAIS MWENYE JICHO LA TAI ANAYEONA NA KUITENGENEZA KESHO NJEMA KWA WATOTO WAKE, RAIS ANAYEPOKEA NA KUYAKUMBATIA NA KUYAENDELEZA MAONO YENYE TIJA NA MASHIKO KUTOKA KILA KUNDI.

- SENSA YA MWAKA 2022 IMEVUNJA REKODI KWA KULIFIKIA KUNDI KUBWA LA VIJANA NA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU,
AMBAO WENGI WAO WANALALA SEHEMU HATARISHI KAMA MAPANGONI, JUU YA MITI, CHINI YA MADARAJA, MITARONI NA SEHEMU ZINGINE HATARISHI.
KOTE HUKO MAKALANI WA SENSA WAMEPITA KUWAHESABU WATOTO NA VIJANA HAWA WAISHIO MITAANI.

SENSA YA MWAKA 2022 IMETENGENEZA HISTORIA MPYA KWA TAIFA LETU NA DUNIA.
TANZANIA IMEKUWA KATI YA TAIFA LA MFANO AFRIKA NA DUNIANI KWA KUJALI NA KUTHAMINI KUNDI HILI LA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU.

UMUHUMU WA SENSA YA WATU NA MAKAZI.
WATOTO NA VIJANA HAO WA MITAANI WALIKUWA WANAKOSA HAKI ZAO NYINGI ZA MSINGI KWA KUTOKUSHIRIKISHWA KWENYE MAMBO MUHIMU YA KIJAMII IKIWEMO SENSA.

Umuhimu wa kipekee wa Sensa ya Watu na Makazi ni pamoja na:-

Kuisadia Serikali kupata taarifa za msingi zitakazosaidia mchakato wa utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya mwaka 2025, mageuzi ya masuala ya afya na jamii, pamoja na ufuatiliaji wa ajenda za maendeleo za kimataifa;

Taarifa za idadi ya watu husaidia katika mamlaka za wilaya katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo ambayo huakisi matakwa ya watu katika ngazi husika na kusaidia kwenye uwiano wa mgawanyo wa rasilimali;

Taarifa za msingi za hali ya kidemografia, kijamii na kiuchumi za idadi ya watu na makazi za mipango katika ngazi zote;

Kigawio katika kukokotoa viashiria vingine mfano Pato la mtu mmoja mmoja, Pato la Taifa, Ajira na ukosefu wa Ajira na kiwango cha uandikishaji wa wanafunzi;

Taarifa itakayowezesha serikali kujua ongezeko la idadi ya watu, kwa mgawanyo na viashiria vingine, ambavyo ni muhimu kwa usimamizi wa mazingira; na

Msingi wa utawala bora na ujumuishaji wa demokrasia. Takwimu sahihi za Sensa zinahitajika kwa ajili ya ugawaji wa majimbo ya uchaguzi kwa ufanisi, kurekebisha mipaka ya kiutawala katika serikali za mitaa.

-HAYA MAHITAJI YOOTE MUHIMU, YALIKUWA YANAKOSEKANA KWA WATOTO NA VIJANA WA MTAANI.
TUNAPOZUNGUMZIA MIAKA MIWILI YA MAMA, KILA MMOJA WETU ANATAKIWA KUJUA MAMBO MAKUU AMBAYO MHESHIMIWA RAIS DR SAMIA SULUHU HASSANI, AMEYATENDA KWA KUNDI HILI LILILOSAHAULIKA KWA JAMII...

MAMA ANASTAHILI KUPEWA TUZO YA KUJALI NA KUTHAMINI JAMII........ TAIFA LINAKUHITAJI MAMA - TUPO TAYALI KUTOBOA NA WEWE 2025-2030
============

Kama unateseka na ujumbe huu
tuma msg 0657579300
Sema unateseka ukiwa wapiView attachment 2608606
IMG-20220907-WA0226.jpg
 
Sema unateseka ukiwa wapiView attachment 2608620
IMG-20221012-WA0108.jpg
View attachment 2608621
 
Aiseee kwa hyo nao wamesemaa mama anaupigaa mwingii maana wakiomba omba pale mataa ya mwenge na ubungo mama Huwa anawzingatiaa au cyo mwana CCM.....
 
Hayo umesema wewe
Ila hakuna kama mama
piga makofi tafadhali
 
Kwa nini hujazungumzia ripoti ya cag anavyoichukulia huyo unayempigia debe apewe tuzo?

Ungesema apewe tuzo kwa kulea mafisadi ungekuwa msema kweli, ila wewe ni mjinga na muongo fulani, mnafiki mkubwa.
Kwa nini muongo na kwa nini mnafiki
Acha kuteseka bila hoja ndugu
 
Kuna kitu kinaitwa tozo sh 200,000 inakataa sh 4200 huu ni wizi na unyonyaji tunaendelea kumuomba Mungu asikie kilio chetu huyu Mama kashindwa kuongoza gharama za vitu zipo juu
 
Mkuu kama hujamuelewa mama, utakuwa na shida ya afya ya akili, Mama amechukua kijiti wakati taifa lipo kwenye hali mbaya ya madeni na vikwazo lkn kwa ujasili wa mama ameweza kusimama imara na kuimarisha taifa.

Sent from my SOV37 using JamiiForums mobile app
 
MIAKA MIWILI YA MAMA, YENYE KUJALI NA KUTHAMINI JAMII:
=============
Na James Yustar / Kijana wa Mtaani.

- Nikiwa kijana ninayewakilisha kundi kubwa la vijana na watoto wanaoishi Mazingira Magumu (Mitaani).
Tunakitu kikubwa cha kusema kuhusu miaka miwili ya Uongozi wa Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassani.

Tangu Maadhimisho ya miaka miwili (2) yameanza, tumesekia na kusoma makala nyingi za watu Mashuhuri na waandishi wa Bobevu wakipongeza kwa mambo mbalimbali yanayoelezea kazi nzuri aliyoifanya Mama yetu, Wengi wa watu hao maoni na makala zao ukisoma kwa umakini unakuta zinajirudia / kufanana.

- Nikiwa kama kijana wa mtaani,
Sina taaluma ya Uandishi
Lakini nimeguswa kuandika kitu ambacho wachambuzi na waandishi wengi manguli hawajataka kukisema kwenye kalamu zao.
Inawezekana Hawajui / hawajaona ama wamejisahau.

- Mama ni Mzazi na Mlezi anayejari na Kuthamini Familia, haijarishi madhahifu na mapungufu yaliyopo kwa watoto alionao, huyu Mama Anawapenda wote kwa kipimo sawa.

Hapa nitaongea yale MAMBO MAKUBWA SANA, MAMA YETU MHESHIMIWA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN
AMEYAFANYA KWA KUNDI LETU LA VIJANA NA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU (MTAANI)

ILI NI KUNDI AMBALO KWA MUDA MREFU LILITENGWA NA JAMII PAMOJA NA SERIKALI, KUNDI AMBALO KILA KUKICHA LILIKUWA LINADIDIMIZWA KWENYE DIMBWI LA UKATILI KWA KUITWA MAJINA MENGI YA AJABU YA KUUTWEZA UTU WAO.

- MIAKA MIWILI YA UONGOZI WA MAMA, KUNDI HILI LIMEHESHIMISHWA KWA KIWANGO KIKUBWA SANA.

TAREHE 21 NOMBER 2021, VIJANA NA WATOTO WAISHIO MTAANI TULIANDAA KONGAMANO KUBWA LA UCHANGIAJI WA DAMU NA KUAMASISHA CHANJO YA UVIKO 19 TUKIO LILIFANYIKA VIWANJA VYA OCEAN ROAD HOSPITAL, MGENI RASMI ALIKUWA MHE WAZIRI WA AFYA, USTAWI WA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO DR DOROTHY GWAJIMA.
- MAMBO MBALIMBALI YALIJADILIWA KWENYE KONGAMANO HILO, LIKIWEMO WATOTO HAO KUOMBA KUPATIWA WIZARA RASMI ITAKAYOJISHUGHULISHA NA MATATIZO YA UKATILI YANAYOWAPATA KULE KWENYE FAMILIA WALIKOTOKA NA HUKU MTAANI WANAKOISHI AMBAKO UKATILI NDIO NYUMBANI KWAKE🥲, WALIOMBA KUPATIWA WIZARA MPYA KUTOKANA NA WIZARA YA AFYA WAKATI HUO ILIKUWA BUSY NA MASWALA YA COVID-19, ILI KUHAKIKISHA JAMII YETU INAKUWA SALAMA.

BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI LILIRUSHA MUBASHARA KONGAMANO HILO, AMBALO MHESHIMIWA RAIS DR SAMIA SULUHU HASSANI ALIGUSWA KWA UCHUNGU KAMA MAMA, NA KUMPIGIA SIMU MHE WAZIRI WA AFYA, AKAMWAGIZA AWAAMBIE WATOTO HAO KUWA AMESIKIA KILIO CHAO, SERIKALI YEKE ITAFANYA YALE AMBAYO WAMEYAOMBA.

HAIKUPITA MUDA MUDA MREFU, WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU ILIYOCHINI YA MHE WAZIRI DR DOROTHY GWAJIMA IKATANGAZWA.

- VIJANA NA WATOTO WAISHIO MTAANI WAKAFURAHI KUONA WANAYO SEHEMU YA KUPELEKA MATATIZO YA UKATILI WANAYOTENDEWA NA WATU WENYE FIKRA DUMAVU.

KUPITIA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUMU. KILA MTANZANIA AMEKUWA SHAHIDI NA MNUFAIKA WA MOJA KWA MOJA KWA MAMBO MAKUBWA YANAYOFANYWA KUPITIA WIZARA HII YA KIMKAKATI.

WIZARA IMELETA CHACHU YA KUKUZA MAENDELEO KUANZIA NGAZI YA KAYA KWA KUIMALISHA MISINGI YA UELEWA NA ELIMU YA MALEZI BORA KWA NGAZI YA FAMILIA, KUONDOA MIGOGORO ILIYOKUWA IKISABABISHA MMOMONYOKO WA MAADILI NA MAFARAKANO KWA WANANDOA AMBAYO NDIYO ILIKUWA CHANZO KIKUBWA CHA WATOTO KUKIMBIA NYUMBANI NA KUINGIA MITAANI.

MUDA MCHACHE WA UWEPO WA WIZARA HII IMEFANIKIWA KUANZISHA KAMPENI MBALIMBALI ZA KUTOKOMEZA UDUMAVU WA FIKRA KWA JAMII YETU.

KUBWA ZAIDI WIZARA IMEFANIKIWA KUUNDA KAMATI MAALUMU YA TAIFA YA KUMTENGAMANISHA MTOTO ANAYEISHI MTAANI.

KWA MARA YA KWANZA KATIKA HISTORIA YA TAIFA LETU HII IMEKUWA NI KAMATI YA KWANZA KUUNDWA NA SERIKALI YETU NA KUWASHIRIKISHA VIJANA WA MTAANI KUWA SEHEMU YA WAJUMBE WAANDAMIZI.

LENGO KUU LA KUUNDWA KAMATI HII AMBAYO NI AGIZO LA MHESHIMIWA RAIS DR SAMIA SULUHU HASSANI, NI KUHAKIKISHA TAIFA LINAMALIZA WIMBI LA WATOTO WANAOISHI MITAANI, KWA KUWAJENGEA UWEZO WATOTO WAHANGA WALIOPO MTAANI WAYACHUKIE MAISHA YA KUISHI MITAANI, PAMOJA NA KUWAPA ELIMU YA MAADILI WATOTO WALIOPO KWENYE FAMILIA ILI WASISHAWISHIKE KUINGIA MITAANI.
SERIKALI IMETOA ENEO KUBWA LENYE ZAIDI YA HEKARI 50 LILILOPO PEMBA MNAZI MANISPAA YA KIGAMBONI, ILI KUJENGWA KITUO CHA KISASA KWA AJIRI YA KUWAPA UJUZI NA TAALUMA MBALIMBALI WATOTO HAO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU.

KAMATI HIYO INAONGOZWA NA WIZARA ZAIDI YA 4 IKIWEMO MAENDELEO YA JAMII, TAMISEMI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI NA WIZARA YA AFYA.

MHESHIMIWA RAIS DR SAMIA SULUHU HASSANI
- AMEFANIKIWA KUIMARISHA HUDUMA YA AFYA KWA VIJANA NA WATOTO WAISHIO MTAANI, AMBAPO HUKO NYUMA KABLA YA UJIO WAKE WATOTO NA VIJANA WAISHIO MITAANI WALIKUWA WANAPATA SHIDA SANA WANAPOFIKWA NA MARADHI, VIFO VYA KABLA YA WAKATI VILIKUWA VINAWAANDAMA WATOTO HAO WA MITAANI.
KWA KUWA WANAPOUMWA WANASHINDWA KUGHALAMIA MATIBABU HASA VIPIMO NA UNUNUZI WA DAWA🥲

LAKINI LEO MAMA AMELETA TABASAMU NA CHEKO LILILOBEBA MATUMAINI MAKUBWA YENYE CHEMCHEMI YA UHAI KWA KUNDI HILI LA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU. WANAPATIWA HUDUMA FULL PACKAGE BURE KATIKA HOSPITAL ZOTE ZA SERIKALI.

"MHESHIMIWA RAIS DR SAMIA SULUHU HASSANI HANA MBAMBAMBA..

KAWASHIRIKISHA WATOTO WA MITAANI KWENYE SENSA YA WATU NA MAKAZI.

KUBWA ZAIDI MAMA AMEFANIKIWA KUWA JUMUISHA WATOTO, VIJANA NA WAZEE WANAOISHI MAZINGIRA MAGUMU KWENYE DAFTARI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI ILIOFANYIKA AUGUST 2022
HILI NI JAMBO MUHIMU NA KUBWA ZAIDI KWA JAMII YETU YA WATU WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU, KWA MARA YA KWANZA KATIKA HISTORIA YA TAIFA LETU TUMEUNGANISHWA KWENYE SENSA YA WATU NA MAKAZI.

HII NI SENSA YA SITA (6) KUFANYIKA TANGU TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZIMEUNGANA NA KUUNDA TAIFA MOJA LA TANZANIA MWAKA 1964,

ZIMEPITA SENSA TANO (5) BILA KUWASHIRIKISHA WATOTO NA VIJANA WAISHIO MAZINGIRA HATARISHI (MTAANI)

BINAFSI NIKIWA NAISHI MITAANI NIMESHUHUDIA SENSA MBILI (2) ZIKINIPITA BILA KUHESABIWA.
SENSA YA KWANZA NI ILE YA MWAKA 2002 NIKIWA MTOTO WA MIAKA , SENSA YA PILI MWAKA 2012 NIKIWA KIJANA WA MIAKA 20, HIZO ZOTE SIKUPATA NAFASI YA KUHESABIWA.

BAADA YA KUJUA UMUHIMU WA SENSA KUPITIA MACHAPISHO NA MATANGAZO MBALIMBALI, NDIPO NILIGUNDUA KUWA KUNA MAHITAJI NA HAKI ZETU NYINGI ZA KIMSINGI NA KIJAMII TUNAZIKOSA.

TULIANZA KUTOA MAONI ILI NA SISI TUSHIRIKISHWE KWENYE KUHESABIWA.

TUNAMSHUKURU MAMA YETU MPENDWA MHESHIMIWA RAIS DR SAMIA SULUHU HASSANI
RAIS MPENDA HAKI, RAIS MSIKIVU, RAIS MWENYE JICHO LA TAI ANAYEONA NA KUITENGENEZA KESHO NJEMA KWA WATOTO WAKE, RAIS ANAYEPOKEA NA KUYAKUMBATIA NA KUYAENDELEZA MAONO YENYE TIJA NA MASHIKO KUTOKA KILA KUNDI.

- SENSA YA MWAKA 2022 IMEVUNJA REKODI KWA KULIFIKIA KUNDI KUBWA LA VIJANA NA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU,
AMBAO WENGI WAO WANALALA SEHEMU HATARISHI KAMA MAPANGONI, JUU YA MITI, CHINI YA MADARAJA, MITARONI NA SEHEMU ZINGINE HATARISHI.
KOTE HUKO MAKALANI WA SENSA WAMEPITA KUWAHESABU WATOTO NA VIJANA HAWA WAISHIO MITAANI.

SENSA YA MWAKA 2022 IMETENGENEZA HISTORIA MPYA KWA TAIFA LETU NA DUNIA.
TANZANIA IMEKUWA KATI YA TAIFA LA MFANO AFRIKA NA DUNIANI KWA KUJALI NA KUTHAMINI KUNDI HILI LA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU.

UMUHUMU WA SENSA YA WATU NA MAKAZI.
WATOTO NA VIJANA HAO WA MITAANI WALIKUWA WANAKOSA HAKI ZAO NYINGI ZA MSINGI KWA KUTOKUSHIRIKISHWA KWENYE MAMBO MUHIMU YA KIJAMII IKIWEMO SENSA.

Umuhimu wa kipekee wa Sensa ya Watu na Makazi ni pamoja na:-

Kuisadia Serikali kupata taarifa za msingi zitakazosaidia mchakato wa utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya mwaka 2025, mageuzi ya masuala ya afya na jamii, pamoja na ufuatiliaji wa ajenda za maendeleo za kimataifa;

Taarifa za idadi ya watu husaidia katika mamlaka za wilaya katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo ambayo huakisi matakwa ya watu katika ngazi husika na kusaidia kwenye uwiano wa mgawanyo wa rasilimali;

Taarifa za msingi za hali ya kidemografia, kijamii na kiuchumi za idadi ya watu na makazi za mipango katika ngazi zote;

Kigawio katika kukokotoa viashiria vingine mfano Pato la mtu mmoja mmoja, Pato la Taifa, Ajira na ukosefu wa Ajira na kiwango cha uandikishaji wa wanafunzi;

Taarifa itakayowezesha serikali kujua ongezeko la idadi ya watu, kwa mgawanyo na viashiria vingine, ambavyo ni muhimu kwa usimamizi wa mazingira; na

Msingi wa utawala bora na ujumuishaji wa demokrasia. Takwimu sahihi za Sensa zinahitajika kwa ajili ya ugawaji wa majimbo ya uchaguzi kwa ufanisi, kurekebisha mipaka ya kiutawala katika serikali za mitaa.

-HAYA MAHITAJI YOOTE MUHIMU, YALIKUWA YANAKOSEKANA KWA WATOTO NA VIJANA WA MTAANI.
TUNAPOZUNGUMZIA MIAKA MIWILI YA MAMA, KILA MMOJA WETU ANATAKIWA KUJUA MAMBO MAKUU AMBAYO MHESHIMIWA RAIS DR SAMIA SULUHU HASSANI, AMEYATENDA KWA KUNDI HILI LILILOSAHAULIKA KWA JAMII...

MAMA ANASTAHILI KUPEWA TUZO YA KUJALI NA KUTHAMINI JAMII........ TAIFA LINAKUHITAJI MAMA - TUPO TAYALI KUTOBOA NA WEWE 2025-2030
============

Kama unateseka na ujumbe huu
tuma msg 0657579300
Sema unateseka ukiwa wapiView attachment 2608606View attachment 2608607
Nimeshindwa kusoma ila inawezekana una kitu kama hamna uchawa ndani yake
 
Sema unateseka ukiwa wapiView attachment 2608620View attachment 2608622View attachment 2608621
Screenshot_20230503-234020.jpg
 
Back
Top Bottom