TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 995
- 1,508
Makampuni yanatoka nje ya nchi yanakuja Tanzania na kufanya utafiti kuna uhaba katika sekta gani, wanapata majibu kuna uhaba katika sekta ya kilimo na ufugaji wa Nguruwe. Wanaifanya fursa, wanaitumia kwa kuingiza nyama ya nguruwe maelfu ya kilo na kufanya biashara.
Tuna wizara ya kilimo na ufugaji haijui hili? Hawanafungu la kufanya tafiti kugundua? Wamekazana kupiga marufuku watu kula kiti moto ati kuna ugonjwa wa homa ya nguruwe badala yakuleta namna bora ya kudhibiti ugonjwa huo watu waendelee kufuga kwa ubora.
Nchi imerogwa hii na aliyeiroga alikufa, kweli nimeamini bora upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga.