Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo amekutana na kuzungumza na mabalozi wa China, Kenya, Denmark, Italia na Sudan kwa nyakati...
0 Reactions
0 Replies
557 Views
Nimeona mambo ambayo yameeainishwa kwenye mtaala mpya, lakini sijaona somo la kilimo ambalo lina ajiri 80% ya watanzania. Somo hili la kilimo ambalo lina beba kilimo kwa maana ya mashamba...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na Serikali ya Uingereza katika sekta za biashara pamoja na uwekezaji. Dhamira hiyo imeelezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na...
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Kuchekelea na kufurahia anapokufa mtu hata kama huyo mtu alikuwa adui yako, bado ni ujinga! Kauli ya wazuri hawafi, ilikuwa ni kauli moja Wapo kutoka kwa mtu mjinga aliyesahau kuwa naye iko siku...
2 Reactions
12 Replies
912 Views
Mbunge wa Masasi aliyewahi kuwa Waziri wa Biashara na Uwekezaji mh Mwambe amesema mifumo ya sasa ya TRA siyo rafiki, imejaa Uonezi na ni Sumbufu. Mwambe amesema hii inatokana na kila mmoja pale...
4 Reactions
5 Replies
858 Views
Chadema ni wazi kwamba wanajinasibu kwamba wanapenda saaana katiba na utawala wa sheria, na wamekaza shingo na meno wakitaka katiba mpya. Kwa nini wanataka kuingilia Uhuru wa mahakama...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Nashauri tusiishie kuomboleza kifo Cha Magufuli na Membe ila tusogeze fikra zetu na kujitafakari sisi kama Tanzania na watanzania wake Kwa ujumla. Kuna Nini kati ya Tanzania na Muumba wetu wa...
2 Reactions
11 Replies
989 Views
Sioni tena namna mtu yeyote atakejiliwa katika masuala ya afya kama alivyokejeliwa Edward Lowassa kuanzia 2014-2015 katika harakati za kusaka madaraka makubwa ya nchi. Sioni tena mwanasiasa...
3 Reactions
4 Replies
495 Views
Kuna matukio yanatokea Tanzania yanasikitisha Sana Katika mazingira ya Tanzania ambaye aliweza kuutafuta urais na akaupata ni Hayati baba wa TAIFA na Rais Kikwete born town the rest hawakutafuta...
2 Reactions
3 Replies
583 Views
Kila nikitafakari kauli ya "watu wazuri hawafi haraka" inanichanganya maana ninaiona kama blackmail kwa utawala
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Binadamu siku zote hufanya mahesabu kabla ya kufanya jambo lolote lile. Hakuna binadamu anayefanya jambo ilimradi tu, ukiona binadamu anafanya jambo ujue ana mategemeo fulani. Kuna dalili zote...
5 Reactions
117 Replies
15K Views
Nimemtazama Lowassa akiwa kwenye harakati za kusaka wadhamini 30 kila mkoa, nimemuhurumia sana. Nikajiuliza, let's say chama chake kimpitishe kugombea jambo ambalo sio rahisi sana. Je, ataiweza...
2 Reactions
151 Replies
26K Views
Watanzania tuache unafiki. Wakati Musiba anamtukana membe watu wote tulisikia na hao maaskofu walisikia. Wananchi tulinyamaza hakuna aliyesimama kumkaripia au kumkataza musiba asimtukane membe na...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Tunakumbushana tu hayo ndio majina 5 yaliyopitishwa na Kamati Kuu ya CCM kugombea Urais wa JMT Ni kwamba hao wote Wana sifa za kuwa Rais wa JMT Waliokosa sifa Kamati Kuu ya CCM iliwatema...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Mahakama kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kesi ya kuchafuliwa jina iliyokuwa ikimkabili mkurugenzi mkuu wa gazeti la Tanzanite na mwanaharakati huru, ndugu Musiba dhidi ya aliyekuwa Waziri wa...
24 Reactions
236 Replies
25K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi. Pamoja na uzoefu wake ktk siasa...
10 Reactions
71 Replies
6K Views
Salaam Wakuu, Mwanadiplomasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais...
31 Reactions
242 Replies
26K Views
KISHINDO CHA MEMBE KUREJEA CCM,SHAKA AONGOZA MAPOKEZI. ALIYEKUWA mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Bernard...
4 Reactions
58 Replies
5K Views
Membe pamoja na porojo zote ulizonazo mdomoni za kuchafua aliyekuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania DR.JOHN POMBE MAGUFULI kamwe huwezi kuwa saizi yake katika utendaji wala ushawishi...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom