Kikwete atua Dar na moja kwa moja ameelekea Karimjee kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Membe!

Attachments

  • IMG-20230514-WA0056.jpg
    IMG-20230514-WA0056.jpg
    68.9 KB · Views: 2
Siku akienda nje tena, anaangushwa mwingine .

sidhani kama hii ni sifa... unafikiri kama kweli ni sifa BCM ndio the right payback ya JPM..?

JPM alikuwa head of state na kama kweli aliangushwa maana yake ni ufalme umenyang'anywa na waliochukua ndio wanatamba and the right payback ni kuurudisha ufalme..

BCM he was more than 70yrs na hana madaraka yeyote just hohehahe analiyekuwa anaishi kupitia ustaafu wake hana ulinzi wowote wa maana zaidi ya kuwa mtu tu wa kawaida ambaye hata mimi ningeweza kumuangusha kama ningekuwa ma issue naye.

Kama kweli JPM aliangushwa basi tambua waliomuangusha ndio magangwe maana wameangusha head of state mwenye ulinzi na resources zooote.

La msingi ni kumuomba Mungu na kupambania Taifa letu lipate viongozi sahihi kwa manufaa ya Taifa letu na si huu ushabiki maandazi.
 
Najua una uchungu na huo mzoga,ila kiukweli Membe kunamatamshi baada ya hayati Magufuli kufariki aliyatoa hakutumia busara hata kidogo,ndilo linafanyika juu yake kwa sasa,acha inyeshe tuone panapovuja,the list is big unknown
 
Back
Top Bottom