Crocodile tears za Viongozi sakata la Kariakoo

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,496
Reaction score
14,113
Naona waziri mkuu analalamika ohoo TRA wana dharau, mara hivi mara vile, Kama kuna kuna sheria wamevunja kwa ninin wasiwajibiswe? Hizi hadaa ni wajinga pekee wanao weza kuzinunua hizi hadaa.

Haiingii akilini Waziri mkuu anaanza kulalamika na Mic mara wana mdharau Raisi, mara Makamo wa Raisi mara sijui nani,

Swala ni je wanayo yafanya TRA yako nje ya sheria au ndani ya sheria zao?;

Pia nasikia vikao vya ndani huwa hawa hawa TRA wanaambiwa watumie kila njia pesa ipatikane ya kuendesha nchu ikiwemo na kulilipana posho. Hawa TRA huwa wanapewa target tena kubwa sana.

Huku nje Viongozi wanaonekana kama wako na wananchi na hawawapendi TRA ila ukwelu ni tofauti kabisa, wakiwa wenyewe na Maofisa wa TRA ni full target na kuambiwa wafanye kila njia pesa ipatikane.

Hizi ni hadaaa kubwa sana
 
Baada ya pale Viongozi wa TRA warapihiwa simu waambiwe waendelee kubana waty watoe kodi, hiu ncni asikuambie mtu bila ubabe hakuna kodi inalipwa labda ile ya mishara pekee. Hao viongozi wenyewe wanajua fika kabisa kodi inakusanywa kwa ubabe tofauti na hapo nchi itasimama
 
Actually wanaeaonea Maafisa wa TRA tu. Sheria na utaratibu waliowekewa ndo unaotumika. Inshu ni kwamba serikali ya watoza tozo imeishiwa pesa. Miradi inakwama na hawajui pesa za kujilipa maposho watoe wapi.

Walichokuwa wakikiponda kuwa serikali ya Magufuli ilikosea sasa ndio wanachokifanya. Aibu yao.
 
Unazania pale Waziri mkuu ana manisha? Hahaa pale ni Hadaaa tupu, wanajua kucheza na akili za watu
 
Naona waziri mkuu analalamika ohoo TRA wana dharau, mara hivi mara vile, Kama kuna kuna sheria wamevunja kwa ninin wasiwajibiswe? Hizi hadaa ni wajinga pekee wanao weza kuzinunua hizi hadaa.

Haiingii akilini Waziri mkuu anaanza kulalamika na Mic mara wana mdharau Raisi, mara Makamo wa Raisi mara sijui nani,

Swala ni je wanayo yafanya TRA yako nje ya sheria au ndani ya sheria zao?;

Pia nasikia vikao vya ndani huwa hawa hawa TRA wanaambiwa watumie kila njia pesa ipatikane ya kuendesha nchu ikiwemo na kulilipana posho. Hawa TRA huwa wanapewa target tena kubwa sana.

Huku nje Viongozi wanaonekana kama wako na wananchi na hawawapendi TRA ila ukwelu ni tofauti kabisa, wakiwa wenyewe na Maofisa wa TRA ni full target na kuambiwa wafanye kila njia pesa ipatikane.

Hizi ni hadaaa kubwa sana
Mtu anakukamata na mzigo, unamwambia hili shati nimenumua elfu 10, yeye anakwambia umenumua laki, hapo unafanyeje? Kwamba tuanze kuburizana mahakamani? Kuna mtu ana mida wa mchezo hivyO?
 
Back
Top Bottom