Waziri Mkuu apewe maua yake changamoto ya wafanyabiashara Kariakoo

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
Leo Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa amefanya jambo Kubwa sana namna alivyotatua Mgomo wa wafanyabiashara.

Mambo makubwa nimejifunza kupitia mgogoro wa Leo Moja amekuwa sehemu ya wenye Tatizo, amekuwa mwalimu mzuri katika kufundisha namna ya kutatua migogori katika Jamii na Kubwa ameshirikisha hadhira katika utatuzi wa CHANGAMOTO iliyojitokeza kariakoo ya Wafanyabiashara

Kubwa kushinda yote ameifanyakazi aliyotumwa na Mhe. RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN Kwa mafanikio makuu huku ndio kumuwakilisha RAIS kunavyotakiwa Kwa Wananchi

TUMPE MAU YAKE KATIKA KULINDA SOKO LA KIMATAIFA LA KARIAKOO

20230515_194205.jpg
 
Waziri mkuu sio mwanamke hadi apewe mauwa mauwa wanapewa wanawake

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jambo jema

Halafu kuna Wajinga Wajinga wanautamani upm wakati Migogoro iko kwenye Wizara zao lakini wanakimbia!
 
Kuna aki na mama wawili huko mjengoni walikanusha kuwepo kwa mgomo sijui kesho nani atatoa hoja kuwataka wajivue madaraka
 
Huijui siasa wewe. Mwanasiasa huwa na ndimi mbili siku zote.

Hayo kawaambia machinga lakini Kamishna wa TRA ataambiwa mengine sirini.
 
Back
Top Bottom