Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 943
- 1,989
Mimi ni Mtanzania wa kuzaliwa, Nina haki ya kutoa maoni yangu kama ilivyowekwa katika katiba yetu na tamko la Haki za Binadamu. Kwanini nasema unafaa kwasasa?
1. Nimekufuatilia nimeona una uthubutu,
2. Ni mjamaa mbepari, falsafa nzuri kuongoza taifa kama letu.
3.Ni mzalendo na mwadilifu
4. Unapenda kuona kila mtumishi akiwajibika kwa nafasi aliyoaminiwa na serikali.
5. Ni mwepesi kutatua kero kwa wakati sahihi,hutaki kuchelewa.
6. Unasikiliza watu hata wenye kipato cha CHINI, Sifa ambayo wengi hawana.
7. Ni mnyenyekevu wa kuzaliwa na si wakuomba kura. Wengi Sifa hii hawana.
8. Una ndoto ya kuona nchi inajitegemea kwa kutumia raslimali watu na vitu kukwepa mtego wa nchi za magharibi wa misaada na mikopo kandamizi.
9. Unachukia kutoka moyoni ufisadi na viongozi wabadhirifu.
10. Una uwezo wa kujenga hoja pamoja na ushawishi wa kumfanya mtu atamani kukusikiliza na asichoke. Hii Sifa nimeifuatilia kwa muda kidogo. Watu wengi hawana pia.
Sasa ushauri wangu kama itakupendeza 2025, chukua fomu kupitia chama kingine na si hiki cha sasa unachofanya nacho kazi kwasasa kwani wenye chama Chao wana mipango Yao ya ndege wafananao huruka pamoja.
Kwa uwezo na fikra zako nionavyo unafanya kazi na watu wasio sahihi kwako. Hebu nenda chama kingine na mtengeneze alliance na vyama vyenye nia thabiti na nchi yetu. Na pia uwe na watu sahihi.
Usiogope tafadhali kupima ubavu wa CCM, haijaandikwa popote kwamba CCM wata tawala milele. Kwa Hali ilivyomtaani, Watanzania wakipata mtu makini 2025 watafanya kile kisichotarajiwa. Mwingine atabeza na atakejeli hili lakini hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
Naipenda Tanzania kwani ndiyo nchi yenye udongo pekee utakao nizika, napenda kuona ikipiga hatua kwa Kasi na kuwaondolea Watanzania unyonge huu. Tumechezewa Sana.
Viva Tanzania