Hakuna kitu kinaitwa uungwana au huruma katika kuongoza Taifa

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Kama Taifa lingeongozwa kwa ungwana na huruma basi Taifa Hilo lazima liwe ktk hali dhoofu na kutowajibika kwa viongozi. Taifa linaongozwa kwa amri na taratibu Taifa linaongozwa kwa codes na nje ya hizo codes tunakula kichwa Taifa haliongozwi kama unavyo mlea mtoto hapana Taifa linaongozwa kwa mkono wa chuma kwa sababu wapo wanakitamani kiti kwahiyo ukikikalia kwa hey u know my friend wanakunyang'anya kiti. Lazima uwe mbabe na uwamini kile una kiamini lazima uwatoe jasho watu sio uwachekee watakupoteza hao lazima ufukuze ubadilishe ukemee Yani hakuna mtu kujiona salama...

Ukiona mtu anakuja ofisini na mikakati mitam na kucheka Cheka Yani mtumie kunguni, Chawa, viroboto mpaka panya Yaani akifika kwenye kiti chake ni kujikuna mwanzo mwisho halafu mwisho unampa nafasi kujitafakari... Ndio wanavyofanya viongozi wenzako Yani mtu anakuchekea Chekea halafu hali za watu wako mbaya bado unampa nafasi anakunywa chai ya Serikali huyo anakupoteza.

Najua hutaki kuwa kama wale ila sio ktk kuongoza Taifa Taifa ni taasisi nyingine kabisa kwasababu kila mtu anakitaka kiti na kama anakitaka hawezi kuwa mwema kwako kiasi Hiko yupo mtu anaweza kuleta mawazo yakijinga kwako ila same anajuwa kama yeye asinge yakubali mtu kama huyu una muachaje kwa mfano ? Kuna wanafiki wengine wanaweza kukusifia ila wana agenda yao ya Siri unazijuwaje Yani tuma kunguni, Chawa, viroboto, utitiri, panya, kunguni Yani huyo hakuna kulala na ndio formula yaku tawala.

Ona sasa wanakuletea mamiradi ya ajabu wanajua huyu ni muugwana tena amefunga hao wakimbie kama ukoma... Wanakusifia wakiwa na mabisu nyuma ya mgongo.. sisi Maraia tunaona na ukiuliza kila mtu atasema hapa Kuna shida na shida ipo kwa hawa sio huyu.

Ingekuwa mimi sikubali yaani ukiniletea upuuzi kwenye meza ya Jamuhuri kabla hujafika ofisini nahakikisha unawashwa tu na isitoshe nakutumia panya na ma snichi wakutosha nikimaliza nakutengua usiku mnene hakuna kucheka na mtu.

Historia ni mwalim mzuri na kamwe tusiache kuisoma. Mzee alikuwa muungwana ila muulize mwembe chai ilivyo mfanya akaita Vyombo vya Habari nakuongea kwa ukali ambapo hakuwahi kuongea namna ile na ndio ikawa mwisho wa Habari za mwembe chai.. kama historia sio mwalim tumuulize muungwana mwingine alie kutana na vuguvugu la wanavyuo mpaka akasema naomba mnisaidie ndio ikawa mwisho wake lile vuguvugu. Unataka niambia wale sio hawa? Ndio hawa fungua macho... Uwone jaman huku nyumba nyumba

Hakuna asie ona hakuna asie tazama ila safari hii notofauti Sana
Nawatakia Mfungo mwema.
Update

Update
Je huu ulikuwa Utabiri ama kitu gani leo mmeona wenyewe ama?
 
Hii mbona ipo wazi, Duniani koteee, hata huyo US anayewadanganya kuhusu uungwana na kubembelezana, once linapokuja suala lenye interest kwake, anaitumia Amri na hata Nguvu .

Huo ndio Uongozi !!.

Samia anaongea kama mama mwenye nyumba na watoto wake, akiongea, huoni kama ni RAIS ndio kaongeaa... Hana mamulaka kwenye mazungumzo!!

Kabakia kutafuta umaarufu mwepesi mwepes!!.

Yaan KATIBA, IMEJUA KUTUPIGA NA IMETUPIGA KWELIKWELI!!.
 
Mtu ambaye hana uzoefu wa kuongoza hata kijiji anatoa ushauri jinsi ya kuongoza nchi.

Uongozi ni hekima, siyo maguvu.

Kwa waumini, wanafahamu habari hii:

Usiku ule Mungu akamtokea Sulemani, akamwambia, Omba utakalo nikupe. Sulemani akamwambia Mungu, Umemfanyia baba yangu Daudi fadhili kuu, nawe umenimilikisha mimi badala yake. Basi sasa, Ee BWANA Mungu, na limyakinie baba yangu Daudi neno lako; maana umenitawaza niwe mfalme juu ya watu wengi kama mavumbi ya nchi. Basi sasa nipe hekima na maarifa, nijue kutoka na kuingia mbele ya watu hawa; kwa kuwa ni nani awezaye kuwahukumu watu wako hawa walio wengi? Naye Mungu akamwambia Sulemani, Kwa sababu neno hili lilikuwamo moyoni mwako, wala hukujitakia mali, wala utajiri, wala utukufu, wala maisha za wakuchukiao, wala hukujitakia maisha ya siku nyingi; bali umejitakia hekima na maarifa, upate kuwahukumu watu wangu, niliokutawaza juu yao; basi hekima na maarifa umepewa; nami nitakupa mali, na utajiri, na utukufu, kupita walivyokuwa navyo wafalme wote waliokuwa kabla yako, wala baada yako hapatakuwa na mtu atakayekuwa kama wewe.
 
Jamaa kazikwa lakini watu wake bado wako usingizini wanaota.....hawaamini sheria, wanakuja humu kuandika "taifa linaongozwa na mkono wa chuma", hajui taifa linaongozwa na sheria, sio mikono sijui ya nini.

Kama una mikono ya chuma kaombe kazi TRC ushughulike na mataruma ya reli.

Hata kuandika hujui, mbw wewe
 
Hii mbona ipo wazi,Duniani koteee , hata huyo US anayewadanganya kuhusu uungwana na kubembelezana, once linapokuja suala lenye interest kwake, anaitumia Amri na hata Nguvu .

Huo ndio Uongozi !!.

Samia anaongea kama mama mwenye nyumba na watoto wake, akiongea, huoni kama ni RAIS ndio kaongeaa... Hana mamulaka kwenye mazungumzo !!

Kabakia kutafuta umaarufu mwepesi mwepes!!.

Yaan KATIBA, IMEJUA KUTUPIGA NA IMETUPIGA KWELIKWELI !!.
Jaribu uone makali ya dola, kakojoe tu pale lango la ikulu ndio utajua kwamba Simba kaingiza kucha ndani tu, anaweza kuzitoa na kukurarua.
 
Mtu ambaye hana uzoefu wa kuongoza hata kijiji anatoa ushauri jinsi ya kuongoza nchi.

Uongozi ni hekima, siyo maguvu.

Kwa waumini, wanafahamu habari hii:

Usiku ule Mungu akamtokea Sulemani, akamwambia, Omba utakalo nikupe. Sulemani akamwambia Mungu, Umemfanyia baba yangu Daudi fadhili kuu, nawe umenimilikisha mimi badala yake. Basi sasa, Ee BWANA Mungu, na limyakinie baba yangu Daudi neno lako; maana umenitawaza niwe mfalme juu ya watu wengi kama mavumbi ya nchi. Basi sasa nipe hekima na maarifa, nijue kutoka na kuingia mbele ya watu hawa; kwa kuwa ni nani awezaye kuwahukumu watu wako hawa walio wengi? Naye Mungu akamwambia Sulemani, Kwa sababu neno hili lilikuwamo moyoni mwako, wala hukujitakia mali, wala utajiri, wala utukufu, wala maisha za wakuchukiao, wala hukujitakia maisha ya siku nyingi; bali umejitakia hekima na maarifa, upate kuwahukumu watu wangu, niliokutawaza juu yao; basi hekima na maarifa umepewa; nami nitakupa mali, na utajiri, na utukufu, kupita walivyokuwa navyo wafalme wote waliokuwa kabla yako, wala baada yako hapatakuwa na mtu atakayekuwa kama wewe.
Hana uzoefu wa kuongoza kijiji wewe unamfahamu mtoa mada ni nani?
 
Jamaa kazikwa lakini watu wake bado wako usingizini wanaota.....hawaamini sheria, wanakuja humu kuandika "taifa linaongozwa na mkono wa chuma", hajui taifa linaongozwa na sheria, sio mikono sijui ya nini.

Kama una mikono ya chuma kaombe kazi TRC ushughulike na mataruma ya reli
Wasiojua chochote kuhusu uongozi wanapojifanya wanajua.

Kwenye uongozi, tunachohitaji ni mifumo mizuri na imara ya kiutawala, inayozuia waovu kupenya kwenye uongozi, walio viongozi wakitenda uovu wanaondolewa na kuwajibishwa, wahalifu wanaadhibiwa kwa wakati na kwa haki, na viongozi hawatumii nafasi zao kujinufaisha au kuwakomoa walio na fikra tofauti na zao.
 
Kama Taifa lingeongozwa kwa ungwana na huruma basi Taifa Hilo lazima liwe ktk hali dhoofu na kito wajibika kwa viongozi.
Taifa linaongozwa kwa amri na taratibu Taifa linaongozwa kwa codes na nje ya hizo codes tunakula kichwa Taifa haliongozwi kama unavyo mlea mtoto hapana Taifa linaongozwa kwa mkono wa chuma kwa sababu wapo wanakitamani kiti kwahiyo ukikikalia kwa hey u know my friend wanakunyang'anya kiti. Lazima uwe mbabe na uwamini kile una kiamini lazima uwatoe jasho watu sio uwachekee watakupoteza hao lazima ufukuze ubadilishe ukemee Yani hakuna mtu kujiona salama...
Ukiona mtu anakuja ofisini na mikakati mitam na kucheka Cheka Yani mtumie kunguni, Chawa, viroboto mpaka panya Yani akifika kwenye kiti chake ni kujikuna mwanzo mwisho alafu mwisho unampa nafasi kujitafakari... Ndio wanavyo fanya viongozi wenzako Yani mtu anakuchekea Chekea alafu hali za watu wako mbaya bado unampa nafasi anakunywa chai ya serikali huyo anakupoteza.

Najuwa hutaki kuwa kama wale ila sio ktk kuongoza Taifa Taifa ni taasisi nyingine kabisa kwasababu kila mtu anakitaka kiti na kama anakitaka hawezi kuwa mwema kwako kiasi Hiko yupo mtu anaweza kuleta mawazo yakijinga kwako ila same anajuwa kama yeye asinge yakubali mtu kama huyu una muachaje kwa mfano ? Kuna wanafiki wengine wanaweza kukusifia ila wana agenda yao ya Siri unazijuwaje Yani tuma kunguni, Chawa, viroboto, utitiri, panya, kunguni Yani huyo hakuna kulala na ndio formula yaku tawala.
Ona sasa ona sasa wanakuletea mamiradi ya ajabu wanajuwa huyu ni muugwana tena amefunga hao wakimbie kama ukoma... Wanakusifia wakiwa namabisu nyuma ya mgongo.. sisi Maraia tunaona na ukiuliza kila mtu atasema hapa Kuna shida na shida ipo kwa hawa sio huyu.
Ingekuwa mm sikubali Yani ukiniletea upuuzi kwenye meza ya jamuhuri kabla hujafika ofisini nahakikisha unawashwa tu na isitoshe nakutumia panya na ma snichi wakutosha nikimaliza nakutengua usiku mnene hakuna kucheka na mtu
Nawatakia Mfungo mwema.
Unatetea ujingaujinga.Ben Saanane yuko wapi?
 
Jaribu uone makali ya dola, kakojoe tu pale lango la ikulu ndio utajua kwamba Simba kaingiza kucha ndani tu, anaweza kuzitoa na kukurarua.
Sasa kukojoa na Mada hiii wapi na wapi..

Maana yako nikwamba inahitajika kwanza uwe Kichaa ndio ukojoe pale

Na kama ni Kichaa, Moja Kwa Moja hawawezi kufanya kitu.

Hoka hapa ni Uungwana wa Kiongozi ,hali inayofanya watu wakupigee.

Wee huoni Samia anapigwa Kwa kuletewa Miradi ichwara??.
 
Hana uzoefu wa kuongoza kijiji wewe unamfahamu mtoa mada ni nani?
Huyo anafahamika.

Ni yule ambaye amekuwa akitajwa kuwa ni mtuhumiwa katika kumpoteza Ben Sanane. Ni miongoni mwa wale wasiojulikana. Ukisoma maandishi yake mengi, utagundua hata uandishi wake unaashiria mapungufu makubwa upande wa elimu. Huwa hawezi kuandika hata aya 1 kwa Kiswahili au Kiingereza sahihi.
 
Alikuwepo mwenye tamaa kama wewe ,kujiona mbabee ,kujiona yeye ndio yeye anataka kukalia kiti cha uraisi milele ...

Alikuwepo alitaka mpaka kujiongezea miaka ya uraisi ...

Alikuwepo alikuwa anatuma kunguni ,viroboto na chawa ...

Alikuwepo alikuwa anatuma Hadi nyoka kumaliza watu kabisa ili akalie kiti milelel ....

UNAJUA SAIZI YUKO WAPI ?... TAYARI KASHAZIKWA .......!!

Hii dunia sio yako bwana mdogo na hicho kiti sio cha kung'ang'ania kama ruba hata siku moja ....uking'ang'ania Hiko kitu kama ulizaliwa nacho dunia itakufunza na kukuonesha kuwa wewe ni mtu mdogo Sana mpumbavu wewe ....
 
Huyo anafahamika.

Ni yule ambaye amekuwa akitajwa kuwa ni mtuhumiwa katika kumpoteza Ben Sanane. Ni miongoni mwa wale wasiojulikana. Ukisoma maandishi yake mengi, utagundua hata uandishi wake unaashiria mapungufu makubwa upande wa elimu. Huwa hawezi kuandika hata aya 1 kwa Kiswahili au Kiingereza sahihi.
Jibu nililolipata hapa ni kua humfahamu. Uandishi wake yawezekana ni mbinu ya kimedani tu. Ni vizuri kua na break kidogo hapa jukwaani maana ni ngumu kujua unajibizana na nani.
 
Alikuwepo mwenye tamaa kama wewe ,kujiona mbabee ,kujiona yeye ndio yeye anataka kukalia kiti cha uraisi milele ...

Alikuwepo alitaka mpaka kujiongezea miaka ya uraisi ...

Alikuwepo alikuwa anatuma kunguni ,viroboto na chawa ...

Alikuwepo alikuwa anatuma Hadi nyoka kumaliza watu kabisa ili akalie kiti milelel ....

UNAJUA SAIZI YUKO WAPI ?... TAYARI KASHAZIKWA .......!!

Hii dunia sio yako bwana mdogo na hicho kiti sio cha kung'ang'ania kama ruba hata siku moja ....uking'ang'ania Hilo kitu kama ulizaliwa nacho dunia kuwa wewe ni mtu mdogo Sana mpumbavu wewe ....
Hakuna serikali ambayo haiui, ukienda kinyume na serikali yoyote ile lazima udhibitiwe.

Freedom has it's limits kama hamjui.
 
Kama Taifa lingeongozwa kwa ungwana na huruma basi Taifa Hilo lazima liwe ktk hali dhoofu na kito wajibika kwa viongozi.
Taifa linaongozwa kwa amri na taratibu Taifa linaongozwa kwa codes na nje ya hizo codes tunakula kichwa Taifa haliongozwi kama unavyo mlea mtoto hapana Taifa linaongozwa kwa mkono wa chuma kwa sababu wapo wanakitamani kiti kwahiyo ukikikalia kwa hey u know my friend wanakunyang'anya kiti. Lazima uwe mbabe na uwamini kile una kiamini lazima uwatoe jasho watu sio uwachekee watakupoteza hao lazima ufukuze ubadilishe ukemee Yani hakuna mtu kujiona salama...
Ukiona mtu anakuja ofisini na mikakati mitam na kucheka Cheka Yani mtumie kunguni, Chawa, viroboto mpaka panya Yani akifika kwenye kiti chake ni kujikuna mwanzo mwisho alafu mwisho unampa nafasi kujitafakari... Ndio wanavyo fanya viongozi wenzako Yani mtu anakuchekea Chekea alafu hali za watu wako mbaya bado unampa nafasi anakunywa chai ya serikali huyo anakupoteza.

Najuwa hutaki kuwa kama wale ila sio ktk kuongoza Taifa Taifa ni taasisi nyingine kabisa kwasababu kila mtu anakitaka kiti na kama anakitaka hawezi kuwa mwema kwako kiasi Hiko yupo mtu anaweza kuleta mawazo yakijinga kwako ila same anajuwa kama yeye asinge yakubali mtu kama huyu una muachaje kwa mfano ? Kuna wanafiki wengine wanaweza kukusifia ila wana agenda yao ya Siri unazijuwaje Yani tuma kunguni, Chawa, viroboto, utitiri, panya, kunguni Yani huyo hakuna kulala na ndio formula yaku tawala.
Ona sasa ona sasa wanakuletea mamiradi ya ajabu wanajuwa huyu ni muugwana tena amefunga hao wakimbie kama ukoma... Wanakusifia wakiwa namabisu nyuma ya mgongo.. sisi Maraia tunaona na ukiuliza kila mtu atasema hapa Kuna shida na shida ipo kwa hawa sio huyu.
Ingekuwa mm sikubali Yani ukiniletea upuuzi kwenye meza ya jamuhuri kabla hujafika ofisini nahakikisha unawashwa tu na isitoshe nakutumia panya na ma snichi wakutosha nikimaliza nakutengua usiku mnene hakuna kucheka na mtu
Nawatakia Mfungo mwema.
Baada ya kuona umeandika "ktk" badaya ya Katika Nikakupuuza na kudharau
 
Back
Top Bottom