Wakati kundi moja likipambana na Legacy ya Marehemu Magufuli ili kuizuia isiendelee kusambaa!Lakini imeshindikana na...
Huko Duniani inasambaa kama moto wa msituni
R.I.P Jemedari John Joseph Pombe Magufuli.
Hata mtumie vifaru,Magufuli atabaki msafi kuliko kundi lote la mafisadi mliorundikana nchi hii pamoja na na vimada wao,na vyeti feki wao na uozo wao wote.Hata litumike dodoki gani,JPM NI NDULI MLA NYAMA ZA WATU
Hahahaha...hatari sana.SAWA sawa tena legacy inawaua HADI watesi wake au sio!!?
KWA vihoro na pressure au!!?
Mungu ibariki Tanzania nchi yetu niipendayo SANA!