USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,896
- 22,666
Hivi huyu jamaa ana atumia nini kufikiri, hajui hizo sheria zilifungwa na bunge hilo hilo.
Hajui watu walichoka na muziki mikubwa na kuwa kero kwa watu.
Leo bunge lisitishe shugli zake ili waruhusu mikilele yao ,yaani watumie pesa za serikali kuruhusu Kelele mitaani.
USSR
=================
"Nimekuwa nikimsikiliza sana Jesca akizungumzia afya ya akili. Na Watanzania tuna utaratibu wa kufanya kazi ikifika weekend tunapata burudani. Lakini mheshimiwa Spika tunavyoendelea hivi sasa kuna taharuki kubwa sana kwenye sehemu zetu za burudani weekend – ukianzia Mwanza, Dar es Salaam; club zoote ambazo watu wanaenda ku-refresh akili zao hata hapa Dodoma zimefungwa. Sasa, tunataka utupe mwongozo wako Mh. Spika na ninafikiri pia linaendana na Kariakoo ambalo limekaliwa na Mkuu wa Mkoa.
Lakini hili la sehemu za starehe ambazo zimefungwa kwa kigezo cha kuzidisha kelele, kitu ambacho si sahiihi, nipate mwongozo wako Mh. Spika maana nao ni wafanyabiashara na wanaingiza mapato makubwa sana kwenye serikali."- Musukuma