Kuibwa kwa silaha ofisi za TAKUKURU Handeni Maswali ni mengi kuliko majibu

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,526
13,013
Habari za mapumziko wana jamvi

Mapema wiki hii palitokea wizi wa silaha za moto kwenye ofisi za PCCB Huko Handeni Tanga. Kama kawaida jambo limepita na hakuna kilichotokea. kwa mujibu wa gazeti la mwananchi silaha zilizoibwa ni mbili na zenye risasi ndani. hatujui zimeenda wapi na zinaenda kufanyiwa nini? Handeni kuna kipindi kuliripotiwa kuwepo na Alshaba eneo la Songe walishawahi kushambulia.

Kuna maswali mengi juu ya wizi huu

1. Nani alihusika na wizi huu? bila shaka watu wa ndani ya Wanahusika kwa asilimia kubwa, kubwa tu.
2. Nani anapaswa kuzilinda ofisi hizi? taarifa zinasema ni mlinzi tena mgambo? aliajiriwa na nani na alipatikana vipi?
3. Wakati ofisi zinavyunjwa maafisa wake walikuwa wapi? inasemekana ilikuwa usiku nani sawa kwanini wezi watupe makufuli karibu na ofisi?
4. Nani anapaswa kukaa na funguo za ofisi? akiwa nje ya kazi anaziweka wapi? anakaa na nani? isije ikawa anakaa nazo bar na watu wamezichonga akiwa hajui?
5. Je aliyekabidhiwa funguo ndiyo mamlaka hasa ya kukaa na funguo. ndiye anayepaswa kukaa nazo? (huyu bila shaka ni muhusika mkuu)
6. Nani alitoa taarifa kuwa ofisini kuna silsha? katika muktadha wa kawaida wengi hatujui kuwa PCCB wanakaa na silaha ofisini kwao.
7. Afisa anayekaa na funguo ni mwadilifu, kiasi gani? alipatikanaje? hajawahi kuwa na makandokando yoyote?
8. Afisa aliyekuwa na funguo yupo wapi? akiwa nje ya kazi anakuaje, anakaa na nani, wapi wakifanya nini na kupanga nini? (huyu anajua mpango wote)
9. Kwanini makufuli yalitupwa nje na karibu ya ofisi? pingu je?
10. simu iliyotupwa galax ni ya nani? kwanini ilitupwa.
11. Kabati la silaha lilivunjwa ? wezi walijuaje kwamba silaha zinakaa pale?
ongezea ya kwako
 
Haya maswali wape polisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom