Nimependa Utatu Mtakatifu wa CCM, hili ni fumbo la Imani Katika ubatizo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,949
141,930
Ni Jambo jema kuona CCM inaamini Katika Mungu mmoja Nafsi Tatu

Mungu ni Mwema wakati Wote

Basi, Àkubarikini Mungu Mwenyezi Baba na Mwana na Roho Mtakatifu

Nawatakia Sabato yenye Baraka
 
Yohana, fuatilia siasa na tawala za uingereza ili uzichukie siasa zetu za viwango vya shule za msingi zinazoifanya nchi isiendelee. Kusifu mambo yasiyo na tija kwako na taifa kumeifanya nchi kuwa nyangarakasha, wenzetu wanajenga nchi zao sisi tunajenga CCM! Matahira kweli.
 
Dah
Anyways Mungu huwanyeshea mvua wema na wabaya
 
Yohana, fuatilia siasa na tawala za uingereza ili uzichukie siasa zetu za viwango vya shule za msingi zinazoifanya nchi isiendelee. Kusifu mambo yasiyo na tija kwako na taifa kumeifanya nchi kuwa nyangarakasha, wenzetu wanajenga nchi zao sisi tunajenga CCM! Matahira kweli.
Pweinti

Huwa nafuatilia Maswali ya papo kwa hapo kwa PM wao kiukweli Jamaa wako mbali sana kisiasa

Siasa za bongo zina upuuzi mwingi
 
Back
Top Bottom