Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akishangiliwa na abiria wa ndege yetu Boeing 787-8 Dreamliner ya Air Tanzania (ATCL) kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza asubuhi ya leo Agosti 18, 2018. Amepata...
Kwa mwaCCM halisi aliyekuzwa na chama ni lazima aujue utaratibu, utamaduni na mila za CCM za kuachishiana vijiti na kuendeleza kijiti cha uongozi. Licha ya kwamba kikanuni ni lazima kuwe na...
Kama kuna aliyefikiria hata kwa dakika moja kwamba Mwenyekiti wa chadema ni Mpinzani wa Serikali iliyopo ajitafakari tena, Mbowe kama Tundu Lisu tu hawajawahi kuwa kuwa Wapinzani bali walikuwa...
Habari WanaJF,
Binafsi ninaamini Bunge lijalo litakuwa ni Bunge la kufurahisha sana na lenye changamoto kuliko bunge lenye wabunge wengi Wa upinzani ndani yake. Ni bunge litakalojadili na...
Rais Samia leo ameongelea ushauri ambao anaweza kuwapa wanawake viongozi wa sasa. Rais Samia amesema wasijikite kwenye misingi ya uongozi ya chuoni pekee. Ni muhimu kutambua na kujua lengo na ni...
Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kulilinda taifa letu dhidi ya maadui wa ndani na nje ambao mara zote wamekuwa mstari wa mbele kuhahakikisha taifa hili halipo...
Wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama Machinga wamemsifu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na uamuzi wake wa kusitisha utaratibu uliotangazwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kuwataka...
Habari mama,
Pole sana kwa msiba wa mumeo!, alikuwa great leader na wananchi wengi wanamkumbuka kwa utumishi wake ingawa ulikuwa mfupi kuliko kiongozi yeyote aliyetawala nchi yetu.
Hiyo Pole...
Upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara hadi Kiluvya ulihusisha ubomoaji mkubwa wa majumba, nyumba, vituo vya mafuta, nyumba za ibada, hospitali, zahanati na biashara mbali mbali ikiwemo...
Jibu: kwani wao hawaibi?
Viongozi wetu wakiwa na uchungu sana na hii nchi hata walio chini hawataiba watakuwa wazelendo. Kutwa kiongozi mkubwa ananazunguka kulinda pesa za nchi hii ataweza peke...
Ukiangalia safu ya wasaidizi wa Rais utagundua ni wale wenye utata utata tupu yaani hao ndio wasaidizi wake wa sasa, angalia makamo Mwenyekiti wake wa chama yule huwezi mtenganisha na uwindaji wa...
Msemaji kutoka Umoja wa Mataifa amesema Tanzania ni nchi ya 11 duniani kwa Ndoa za Utoto.
Amezungumza hayo kwenye kongamano la maendeleo ya sekta ya habari 2022 ambapo amesema suala la kuhusu...
Alhamisi, Desemba 15, 2022
JamiiForums, UTPC kunoa waandishi 500 wa habari-uchunguzi
Mkurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo na Mkurugenzi wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (...
Mzee wetu Ysufu Makamba, Katibu Mkuu mstaafu wa CCM alitoa kauli yenye ukakasi mkubwa Sana kwenye Mkutano Mkuu uliopita, kuwa eti viongozi wema huwa hawafi na akatolea mfano wa JK na Kinana, kuwa...
Tuna vitu vingi Tanzania tumebarikiwa ila kutokana na siasa mbovu ndio mtaji unaotumika kuzoretesha au kuchelewesha maendeleo.
Watawala na viongozi utumia mbinu hii kama mtaji wao upate...
Hizi shangwe sio za bure,
Mkutano Mkuu wa CCM umekwisha, mengi tumeyaona na mengi tumeyasikia. Sasa tunafahamu ni nani kasema nini na nani anataka nini.
Tumejitoa ufahamu watanzania wote...
Migogoro ya wakulima na wafugaji: Kauli za viongozi wa Serikali zinaweza kuhatarisha umoja wa makundi haya kuliko kumaliza tatizo.
Utangulizi
Hivi karibuni kumejitokeza kauli za viongozi wa nchi...
Daraja la kitengule ambalo linaunganisha misenyi na biharamulo ujenzi wake umegharibu billion 31 za kitanzania.
Naamini hizi zitakuwa bil 31 za Zimbabwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.