Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Masoud Othman Masoud ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo upande wa Zanzibar anatarajiwa kuongoza timu ya ACT katika majadiliano ya kukamilisha mageuzi ya kisheria ili kuimarisha...
1 Reactions
0 Replies
704 Views
Nimeona Wafanyabiashara wa Kariakoo wakihojiwa na kituo Makini cha Al jazeera na nimegundua Wafanyabiashara bado hawajamjua mchawi wao Ni hadi siku watakapomjua na kufanya maamuzi sahihi ndio...
1 Reactions
5 Replies
797 Views
Mafisadi na mabeberu mpaka leo wanajiuliza Hayati Magufuli alikuwa anatoa wapi hela na kujenga miradi mingi sana kwa wakati mmoja, kila kijiji, kata, wilaya nchini Tanzania ilikuwa na mradi wa...
7 Reactions
141 Replies
6K Views
Ni dhahiri Lissu ni mwanasiasa wa matukio, na huwa anapata nguvu panapokuwa na misuguano kati yake na viongozi wa juu. Na yeye amegundua hilo, kwamba ana thrive kisiasa katika mazingira ya ugomvi...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana Jamvi, Naomba kupewa elimu kuhusu maslahi na personal gain kwa mtu kuwa diwani ni sawa na posho an mishahara wanayopata wabunge?
3 Reactions
47 Replies
11K Views
Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar. Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi. Uwezo wa fikra ni mdogo mno. Bora hata...
10 Reactions
122 Replies
9K Views
Serikali sijui kama inajua ama haijui na ninaamini kabisa Magufuli angekuwa hai hii barabara ingekuwa imeshapigwa lami. Barabara ya kuanzia Kibo (Ukumbi wa Safina) nenda mpaka Olasiti standa nenda...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
NDG. EDNA AWAKARIBISHA WANACHI KATIKA UZINDUZI WA IKULU YA CHAMWINO DODOMA MEI 20, 2023. [emoji625]UVCCM HQ, DODOMA [emoji1001] Mei 19, 2023. Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
kwa malalamiko ya wafanyabiashara ambayo nimesikiliza kariakoo nimeamini hii nchi kuna ombwe la uongozi kwa sasa ni kauli moja tu chukua chako mapema, ndiyo maana nasema ukiwa na uongozi wa hovyo...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Maonesho ya Sabasaba kuja na ‘Expo Village’ Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade), yatangaza uwepo wa jukwaa maalum (Expo village), litakalowawezesha wafanyabiashara kushiriki na...
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema yeye binafsi halijui sana deni ambalo Membe anamdai Musiba zaidi ya kulisikia sikia tu. Hata hivyo Nape anesema kuna wakati alimtania Membe kwamba, "Nasikia...
11 Reactions
72 Replies
6K Views
Mapato ya milioni 4 kwa mwaka ni sawa na kama 11000 tu kwa siku, kumlipisha kodi mtu kama huyu ni kumfanya aendele kubaki kwenye kuganga njaa maisha yake yote biashara yake ikue mwendo wa kobe...
0 Reactions
2 Replies
586 Views
Nimepitia Kila kona nimeona Huyu kijana anafaa kuwa mbunge wa Jimbo la Hai. Tutaweka picha yake hapa na majukumu makubwa aliyoyafanya jimboni Hai.
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, Wafanyabiashara Wameonyesha kuwa na Imani kubwa Sana na uongozi na serikali ya Rais Samia licha ya changamoto ndogo ndogo katika biashara zao,Ambazo serikali kupitia...
2 Reactions
77 Replies
3K Views
Wakuu. Ukitizama vizuri hii picha ya Ikulu, ambayo naamini ilipigwa jana tarehe 18 May 2023, kuna bidhaa fulani ya biashara ya mtu binafsi inaonekana. Je, hii ni sahihi kwa kiasi gani?
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mheshimiwa Mhandisi Geoffrey Kasekenya amesema barabara Mianzini hadi Ngaramtoni Juu inafunguliwa upya kwani kuna maeneo ya km 8 hayakuwa na barabara kabisa...
0 Reactions
5 Replies
972 Views
Watoto Milioni 1.5 wapatiwa chanjo Wizara ya Afya imesema hadi kufikia mwezi Machi mwaka huu jumla ya watoto 1,596,951 sawa na asilimia 98.6 walikuwa wamechanjwa chanjo ya Penta3 kwa ajili ya...
5 Reactions
19 Replies
5K Views
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kujenga kwa kiwango cha lami miradi mitatu mikubwa ya barabara mkoani Manyara ambayo itaunganisha mkoa huo na mikoa ya Jirani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema huko tunapoenda tuweke utaratibu kuwa mtu akichaguliwa kuwa waziri, mtoto wake asome shule za serikali. Amesema hii itasaidia kufanya mawaziri wasimame...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Hii ni Kata ya Kumsenga leo tarehe 19/5/2023 , Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe akifundisha somo la WAJIBU WA MWANANCHI kwenye Mapambano ya Katiba mpya . Usiondoke JF Sent from my SM-J500H using...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom