Ikulu haijakamilika ujenzi unaendelea,this time around ni Samia Complex
=====
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino Dodoma leo amesema baada ya...
Nimefatilia jana uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma naona hayati Magufuli hakutendewa haki.
Mimi ni miongoni mwa watu ambao sio waumuni wa Magufuli hata kidogo sikufurahishwa na utendaji wake...
Ukweli huo unaweza kupuuzwa tu na mtu mwenye kufikiria leo. Lakini kwa mwenye maono na afya ya akili, katiba iliyopo inatokana na msingi wa sheria za kikoloni na baadae kuendelea kufanyiwa...
Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana. Yuko wapi?
Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo...
Mbunge wa Jimbo la Songwe Mhe. Philip Mulugo akichangia kwenye makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2023/2924 iliyosomwa Bungeni na Mhe...
Mh Rais nakupongeza Kwa kulifungua jengo kubwa la ikulu mpya.
Mh Rais' naomba jumapili ya Leo uungane na Mimi na Taifa Kwa ujumla kumwombea Mh Rais' Dr John Joseph Magufuli Mwenyezi Mungu akapate...
Watu walikuwa wamechoka kupoteza ndugu na mali zao kwa kutekwa na kuporwa.
Watu walikuwa wamechoka kwa ubaguzi wa kisiasa. Kulikuwa na kauli za kijinga kama "mkimchagua mpizani sileti maji ama...
Gharama yake Sh280milioni, asema nchi yetu ni masikini
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameonyesha kwa vitendo kuwa yeye ni mtoto wa mkulima baada ya kukataa gari jipya ka kifahari alilonunuliwa na...
Ni kwa nia njema tu katika kulinda haki za watoto.
Kwenye picha za mikutano ya chadema utaona idadi kubwa ya watoto pengine kuliko hata watu wazima. Hii si sawa.
Akili ya watoto haina uwezo wa...
Sina sababu ya kutaja Miradi mikubwa mikubwa iliyofunguliwa na serikali chini ya Ilani ya CCM maana ni mingi mno
Kadhalika kwa upande wa Uzinduzi wa Operesheni mbalimbali Chadema ndio Mabingwa...
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi...
Hivi karibuni tu waliibuka na kihoja cha kulinganisha misiba ya wana CCM wenzao. Wakidai msiba huu haukuwa mzito kuliko ule mwingine jinga mmoja likasema eti kwanza hata watu hawakuzimia. Ooh huyu...
Rais wa Marekani, Joe Biden amejaribu kuwahakikishia Viongozi wa Ulimwengu kuwa Marekani haitoshindwa kulipa deni lake licha ya kiwingu kinachogubika mazungumzo ya kuongeza ukomo wa Serikali yake...
Miaka 62 ya utawala wa CCM, ndo wameweza kujenga Ikulu moja tu.
Sina kumbukumbu kama Kuna ofisi ya Mwenyekiti wa CCM wa Kijiji au mjumbe kumi waliwahi Jenga ofisi. Nijuavyo Mimi ofisi nyigi ni...
Ni nadra sana kuwakuta Watanzania wakijadiko Mafanikio Kwa perspective ya huduma au percentage wise ila wao wanataka vitu vya kuona Kwa macho kama structures mbalimbali.
Si ajabu mtu anakwambia...
HAYATI RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AKUMBUKWA KWENYE UZINDUZI WA IKULU MPYA DODOMA.
Leo 10:15hrs 21/05/2023
Hayati Rais John Pombe Magufuli alituonyesha na kutufundisha ya kwamba,kuwa Rais na...
Watanzania,
Kuna nguvu kubwa imetumika kuhakikisha Rais Magufuli hatajwi kwenye UJENZI WA ikulu ya CHAMWINO.
Jamaa wameziba kuanzia TBC Hadi kwa muandaaji wa makala yule mama wa BBC. Hivi...
Igunga, Tabora
Habari Picha: Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akisalimiana na Wakazi wa Kitongoji cha Mhama Mmoja Kijiji cha Itumba akiwa siku ya Pili ya Ziara ya Kikazi...
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Sengerema katika serikali ya awamu ya nne mheshimiwa WILLIAM NGELEJA huenda akachanga karata zake za ubunge katika jimbo hilo kwani viongozi wake wamerudi na wanalamba...
Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe. Amos Makalla ni shahidi mwaminifu kwenye hilo.
Kaskazini mwanzo mzuri. Hakuna kurudi nyuma. Na mkikaza inavyopaswa, pana watu vibarua vitaota nyasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.