Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Gia aliyoingia nayo Zelensky kwenye kampeni ya uchaguzi huko Ukraine ni KUAHIDI KULETA AMANI kwenye majimbo mawili ya Donbass yaliyojitenga. Aliahidi kuwa atayaruhusu kuwa na uhuru wa ndani lakini...
0 Reactions
0 Replies
584 Views
Mzuka wanajamvi! Huyu mwanamama alishawahi kuwa kwenye baraza la mawaziri wakati wa Kikwete na kupelekwa Kuwa Balozi wetu Japan. Lakini rais Magufuli alipoapishwa tu na kuwa rais mara ya kwanza...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
MBUNGE NGASSA: "IGUNGA MLITUPA KURA, TUNAWALIPA MAENDELEO" Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, amefanya Ziara ya Kikazi Jimboni kwa kufanya Ziara kwenye Vijiji vinne vya Kata...
1 Reactions
0 Replies
354 Views
Utakuta tumekopa mabilioni kujenga ikulu kubwa zaidi duniani. Tumekopa hata ramani ya Mjerumani aliyotumia kujenga ikulu ya Magogoni, mwonekano ni uleule hata Zanzibari muonekano ni ule ule, nani...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam bwana Chalamila ameanza kazi kwa kasi ya ajabu huku akitumia usafiri wa Bajaj kuwafikia Wananchi ili kusikiliza kero zao. Mapema leo jioni bwana Chalamila ameonekana...
18 Reactions
87 Replies
8K Views
Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa humu Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, ninaomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kupokea na kujadili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Albert Chalamila akiandaliwa vizuri, anaweza kuwa Katibu wa Uenezi mzuri sana wa CCM. Anahitaji mentorship kumuondolea mambo madogo madogo yanayomkwaza kiuongozi. CCM inaweza kumuweka karibu na...
2 Reactions
5 Replies
990 Views
Wadau nipo hapa nimetulia nikasema niwachokoze kidogo Dar sasa hivi ipo chini ya himaya ya wahehe baada ya chalamila kuwa mkuuu wa mkoa wahehe wanajidai sana nimeona kwenye magroup yao...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Katika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana...
37 Reactions
404 Replies
33K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema Viongozi wetu wa sasa tumeletewa tu kama tulivyoletewa Viongozi wa kikoloni na tukihoji kitu mapolisi wanatupiga virungu kama Wazee Wetu...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Natumaini mko poa. Binafsi nashindwa kuelewa nini kimewapata CHADEMA kiasi kwamba kwenye vyombo vya habari hawasikiki kabisa kwenye mambo nyeti ya kitaifa. Angalau wiki hii wamekuja na ishu ya...
0 Reactions
15 Replies
976 Views
Waziri wa Biashara, Ashatu Kijaji amewajibu wafanyabishara wa Kariakoo kuwa kilichotokea ni sehemu ya hatua za kimaendeleo na kwamba biashara sio Vita. Kupitia ukurasa wake wa Instragram Waziri...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Sijasikia jambo lolote la CHADEMA au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana. Kipaumbele cha CHADEMA ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Masoud Othman Masoud ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo upande wa Zanzibar anatarajiwa kuongoza timu ya ACT katika majadiliano ya kukamilisha mageuzi ya kisheria ili kuimarisha...
1 Reactions
0 Replies
704 Views
Nimeona Wafanyabiashara wa Kariakoo wakihojiwa na kituo Makini cha Al jazeera na nimegundua Wafanyabiashara bado hawajamjua mchawi wao Ni hadi siku watakapomjua na kufanya maamuzi sahihi ndio...
1 Reactions
5 Replies
797 Views
Mafisadi na mabeberu mpaka leo wanajiuliza Hayati Magufuli alikuwa anatoa wapi hela na kujenga miradi mingi sana kwa wakati mmoja, kila kijiji, kata, wilaya nchini Tanzania ilikuwa na mradi wa...
7 Reactions
141 Replies
6K Views
Ni dhahiri Lissu ni mwanasiasa wa matukio, na huwa anapata nguvu panapokuwa na misuguano kati yake na viongozi wa juu. Na yeye amegundua hilo, kwamba ana thrive kisiasa katika mazingira ya ugomvi...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana Jamvi, Naomba kupewa elimu kuhusu maslahi na personal gain kwa mtu kuwa diwani ni sawa na posho an mishahara wanayopata wabunge?
3 Reactions
47 Replies
11K Views
Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar. Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi. Uwezo wa fikra ni mdogo mno. Bora hata...
10 Reactions
122 Replies
9K Views
Serikali sijui kama inajua ama haijui na ninaamini kabisa Magufuli angekuwa hai hii barabara ingekuwa imeshapigwa lami. Barabara ya kuanzia Kibo (Ukumbi wa Safina) nenda mpaka Olasiti standa nenda...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom