Hivi karibuni tu waliibuka na kihoja cha kulinganisha misiba ya wana CCM wenzao. Wakidai msiba huu haukuwa mzito kuliko ule mwingine jinga mmoja likasema eti kwanza hata watu hawakuzimia. Ooh huyu...
Rais wa Marekani, Joe Biden amejaribu kuwahakikishia Viongozi wa Ulimwengu kuwa Marekani haitoshindwa kulipa deni lake licha ya kiwingu kinachogubika mazungumzo ya kuongeza ukomo wa Serikali yake...
Miaka 62 ya utawala wa CCM, ndo wameweza kujenga Ikulu moja tu.
Sina kumbukumbu kama Kuna ofisi ya Mwenyekiti wa CCM wa Kijiji au mjumbe kumi waliwahi Jenga ofisi. Nijuavyo Mimi ofisi nyigi ni...
Ni nadra sana kuwakuta Watanzania wakijadiko Mafanikio Kwa perspective ya huduma au percentage wise ila wao wanataka vitu vya kuona Kwa macho kama structures mbalimbali.
Si ajabu mtu anakwambia...
HAYATI RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AKUMBUKWA KWENYE UZINDUZI WA IKULU MPYA DODOMA.
Leo 10:15hrs 21/05/2023
Hayati Rais John Pombe Magufuli alituonyesha na kutufundisha ya kwamba,kuwa Rais na...
Watanzania,
Kuna nguvu kubwa imetumika kuhakikisha Rais Magufuli hatajwi kwenye UJENZI WA ikulu ya CHAMWINO.
Jamaa wameziba kuanzia TBC Hadi kwa muandaaji wa makala yule mama wa BBC. Hivi...
Igunga, Tabora
Habari Picha: Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akisalimiana na Wakazi wa Kitongoji cha Mhama Mmoja Kijiji cha Itumba akiwa siku ya Pili ya Ziara ya Kikazi...
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Sengerema katika serikali ya awamu ya nne mheshimiwa WILLIAM NGELEJA huenda akachanga karata zake za ubunge katika jimbo hilo kwani viongozi wake wamerudi na wanalamba...
Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe. Amos Makalla ni shahidi mwaminifu kwenye hilo.
Kaskazini mwanzo mzuri. Hakuna kurudi nyuma. Na mkikaza inavyopaswa, pana watu vibarua vitaota nyasi...
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete kwa niaba ya Wastaafu amemshukuru Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwaalika kushuhudia uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino Dodoma huku...
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amewataka Watanzania waungane Ili kuiondoa CCM madarakani.
Mbowe amesema Waliteswa, walipigwa Risasi, waliuawa na wengine wakafungwa Jela lakini walisimama imara...
Tunampongeza Rais Samia kwa sababu ameweza kuitimiliza ndoto ya mtangulizi wake Hayati Magufuli ya kujenga Ikulu kubwa zaidi Duniani.
Kukamilisha kazi iliyoachwa kunahitaji Uthubutu, Ujasiri na...
Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesifu amuzi wa serikali kujenga ikulu Dodoma. Amesifu ujenzi wa ikulu mpya na kusema kuwa ikulu hiyo ndio uthibitisho wa adhma ya serikali kuhamia Dodoma. Asema...
Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana.
Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang.
Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni...
It is a very complex issue!
Shida ilianzia kwa siasa - kukuza bunge ili kupata kura na kuunda serekali kuuubwa vyote vikitumia kiasi kikubwa zaidi cha pesa kujiendesha badala ya kufuta ujinga na...
Kuna msemo wa samaki mmoja akioza basi na wengine huwa na sifa ya kuoza.
Najua wana CCM wengi kwa sasa wanaenda na upepo wa amani kulingana na mama Samia anavyo liendesha taifa kwa weledi.
Ila...
Kama unabisha tafuta Katiba ya CHADEMA uisome yote halafu tupe mrejesho.
Wabunge wasio na chama bungeni ni zao la Katiba dhaifu ya chama cha Siasa.
Rufaa kusikilizwa inachukua zaidi ya mwaka...
Kwa ufahamisho, Dodoma ulitangazwa rasmi kuwa mji mkuu wa Tanzania na rais mwanzilishi Julius Nyerere mwaka 1973.
Uamuzi wa kuhamisha makuu makuu Dodoma ulichukuliwa na Halmashauri ya TANU chini...
Ndugu zangu watanzania,
Vijana wa Boda Boda wameonekana wakihamasishana na kupishana milangoni katika ofisi za CCM Kutaka Kupewa Kadi za Uanachama,vijana hao wamekuwa wakizungumza waziwazi kuwa...
Ndugu wapendwa JF wasalam. Hodi Jukwaani.
Darubini yangu imeona dalili na Ishara ziko wazi kwamba huyu mjamaa anaandaliwa na kwakweli he has all possible qualifications for the post. Just check...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.