Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mungu ni mwema wakati wote. Kwa wale wale wabobezi wa masuala ya uchumi na fedha naomba kujua tafsiri sahihi ya deni la taifa kuwa "Himilivu" Kila zama na kitabu chake!
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Pongezi kwako Mh Rais wetu kwa mageuzi yenye tija ktk nyanja kadhaa. Maendeleo ni mchakato endelevu na wenye kuhitaji dira imara na maamuzi thabiti ya kimapinduzi. Tunajenga miundombinu...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe amewataka Watanzania Kutoka majumbani kwao na kuipambania nchi hii wakiwa mstari wa mbele Mbowe anesema wakati Huu ambapo CCM wamelalia Magodoro ya Sponji " Vono"...
0 Reactions
7 Replies
449 Views
Chadema huko Ifunda Jimboni Kalenga Mkoani Iringa wamelalamika bendera zao katika vijiwe Vyote zimeshushwa usiku ili kupisha mapokezi ya Katibu mkuu wa chama Komredi Chongolo Ifunda maeneo ya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa mpya iliyopatikana leo kutoka huko Iringa kwenye Jimbo la Kalenga , kwamba kwa vile Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo anafanya ziara Kwenye Jimbo la Kalenga basi ikaamriwa bendera...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Hili suala la kuchangisha walimu mchango wa mwenge limekuwa endelevu Kwa sababu Kila mwaka walimu wanakuwa wakichangia Kwa kulazimisha. Mbaya zaidi Kila mwaka fedha inakuwa ikiongezeka...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
BILIONI 7.2 KUPELEKA MAJI SAFI NA SALAMA VIJIJI 8 HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA MBUNGE wa Jimbo la Momba Mhe. Condester Sichalwe (CCM) amesema matamanio yake ni kuona Vijiji vyote 72 vya...
0 Reactions
0 Replies
497 Views
Akihitimisha Ziara ya Operesheni +255 Mkoani Tabora mwenyekitu wa Chadema Mh. Mbowe anesema katika ukaguzi waliofanya Kigoma, Katavi na Tabora wamegundua hakuna Serikali ya Kijiji wala Mtaa...
0 Reactions
3 Replies
422 Views
WIZARA YA TAMISEMI INAKUSAIDIA KUTENGA FEDHA KWA AJILI YA UJENZI WA STENDI YA HALMASHAURI YA MOMBA Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma Mbunge wa Jimbo la Momba Mhe...
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Baraza la Biashara la Afrika Mashariki limemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukabidhi ardhi kwa baraza hilo yenye ukubwa wa hekta tatu. Hati miliki ya ardhi hiyo namba 4/2 iliyopo eneo la...
0 Reactions
2 Replies
553 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule wa Nigeria Mhe. Bola Tinubu katika Eagle Square Abuja chini Nigeria leo tarehe 29...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Kile Chama Pekee cha Kisiasa Nchini Tanzania chenye uwezo wa kufanya mikutano ya hadhara , leo kimeingia Mkoani Tabora na kutoa elimu Kabambe kuhusu Umuhimu wa Watanzania kuhakikisha katiba mpya...
11 Reactions
61 Replies
4K Views
Uzi huu utakuwa maalumu kwa kupeana taarifa za miradi mbalimbali inayosuasua au iliyokwama kumalizika ujenzi wake ili kusaidia kuiamsha serikali iweze kutupia jicho kwenye hiyo miradi iweze kuisha...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Hapa ni kauli tokea katika kile chama ambacho wapuuzi hawapendi kusikia kwamba ni tegemeo la wengi: Lissu: Tusipopata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi tunyamaze milele Ameyatamka TAL rais wa...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
MHE. JANEJELLY NTATE AFANYA KONGAMANO LA WALIMU WA SANYANSI NA HISABATI MKOA WA DAR KUTAFUTA CHANZO CHA WANAFUNZI KUTOKUWA NA UFAULU MZURI KATIKA MASOMO HUSIKA HASA WANAFUNZI WA KIKE Mhe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika hatua ya ushirikishwaji wa makundi yote ili kuratibu mchakato wa Katiba mpya ndio CHADEMA wamegoma kuhudhuria. Makundi yote yaliyoalikwa yameitikia Wito. Swali: CHADEMA ni special sana...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Baraza la Sanaa la Taifa BASATA badala ya kuwapa elimu sahihi Wasanii kama Sheria inavyo wataka, wao wanawadanganya na kuwapoteza eti NEMC inazima Muziki. NEMC haizimi Muziki, imeweka viwango...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Jumla ya masanduku 191,885 ya kupigia kura yameundwa kwa ajili ya wapiga kura nchini. / Picha: TRT World Rais wa sasa wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametangaza ushindi katika duru ya pili ya...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
MORRISON ALITAKIWA KUINGIA MAPEMA BAADA YA AZIZ KI KUSHINDWA MCHEZO. Leo Jioni 18:30hrs 28/05/2023 Mzee wa kuzama katikati ya msitu wa mabeki,Mzee wa kugima kwenye utelezi,akianguka anainuka...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…