Sumaye: Nimehamia Chadema kwa faida ya CCM

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
Mnakumbuka siku Rais alikutana na Mawaziri Wakuu wastaafu? Walisimama kuongea machache, Lakini kilichonishtua kwenye mkutano ule ni kauli ya Sumaye ya kusema nimehamia Chadema kwa faida ya CCM.

Je ni faida gani ataifaidisha CCM akiwa Chadema? Kugombea uongozi wa juu ili kukiua Chadema au alikuwa anamaanisha faida gani? Na kwanini malalamiko mengi ya kuanguka kwake Pwani yanatoka CCM?

Chadema kuweni macho, huyo ni mpango wa CCM. Yupo Chadema kwa faida ya CCM, na Ndio maana anguko lake Pwani wanaolalamika ni CCM.
 
Sasa ni wakati wa kusafisha chama, hamahama ya kuunga mkono imetufundisha mengi
 
Muuuuuh kwa umakini huu waliouonyesha Chadema wamenifurahisha saaana.
Hiyo clip pia imenipa mshangao mkubwa sana.
 
Natamani mhenga Pascal Mayalla aisikilize hii
Asante nimeisikiliza, kumhusu Sumaye, mimi niliishaongelea trends zake

P
 
Mnakumbuka siku Rais alikutana na Mawaziri Wakuu wastaafu? Walisimama kuongea machache, Lakini kilichonishtua kwenye mkutano ule ni kauli ya Sumaye ya kusema nimehamia Chadema kwa faida ya CCM.

Je ni faida gani ataifaidisha CCM akiwa Chadema? Kugombea uongozi wa juu ili kukiua Chadema au alikuwa anamaanisha faida gani? Na kwanini malalamiko mengi ya kuanguka kwake Pwani yanatoka CCM?

Chadema kuweni macho, huyo ni mpango wa CCM. Yupo Chadema kwa faida ya CCM, na Ndio maana anguko lake Pwani wanaolalamika ni CCM.
Hao wanaolalamika wote ina maana walishiriki na kuujua huo mpango? Huo sasa ni mpango au utoto!. Sio kila msomaji humu ni mjinga.
 
Sumaye anataka kuwa mwenyekiti wa chadema kupitia msajiri ..

Baada ya uchaguzi wa mwenyekiti, atalalamika kwa msajiri na msajiri atamkataa mbowe na kumkubali sumaye.

Chadema wanatakiwa kuweka washindaji wengi ili asiwe nafasi ya pili wala ya tatu.
 
Uko sahihi umeona mbali wasikoona wengi
 
Sumaye anataka kuwa mwenyekiti wa chadema kupitia msajiri ..

Baada ya uchaguzi wa mwenyekiti, atalalamika kwa msajiri na msajiri atamkataa mbowe na kumkubali sumaye.

Chadema wanatakiwa kuweka washindaji wengi ili asiwe nafasi ya pili wala ya tatu.
Msajiri kajichimbia arusha anaandaa Bomu LA kuisambaratisha CDM
 
Back
Top Bottom