#COVID19 Wimbi jipya la COVID 19 limethibitishwa kwa Majirani ila siyo kwetu

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,823
35,828
Labda itakuwa ni siri ya ile dawa iliyotufikia kutokea Madagascar:

IMG_20210806_053407_437.jpg

Ila si Uganda:

Serikali ya Tanzania na magonjwa ya changamoto

Wala Kenya:

New wave of Covid-19 and influenza hit Kisumu schools

Huko kote kumethibitishwa uwepo wa wimbi jipya, ila siyo kwa wale vichwa ngumu, wana maombi kindaki ndaki.

Majirani washauriwe wanaweza kuwa wana cha kujifunza kutokea kwetu ambako vifo ni kwa mapenzi ya Mola:

Tanzania na vifo tata vya watu bila Postmortem Wala kumhusisha Coroner
 
Labda itakuwa ni siri ya ile dawa iliyotufikia kutokea Madagascar:

View attachment 2639676

Ila si Uganda:

Serikali ya Tanzania na magonjwa ya changamoto

Wala Kenya:

New wave of Covid-19 and influenza hit Kisumu schools

Huko kote kumethibitishwa uwepo wa wimbi jipya, ila siyo kwa wale vichwa ngumu, wana maombi kindaki ndaki.

Majirani washauriwe wanaweza kuwa wana cha kujifunza kutokea kwetu ambako vifo ni kwa mapenzi ya Mola:

Tanzania na vifo tata vya watu bila Postmortem Wala kumhusisha Coroner

Covid out break is similar to the thunder and lightning phenomenon--- they strike at the same time but the first to be seen is the lightning and the thunder is heard later, When you hear a report of Covid in a neighbouring country it may, possibly, have stricken already in our midst like the lightning, we are unwary.
 
Wapumzike kwa amani wote wanaotolewa kafara Serikali ikiendelea kufanya uchunguzi usiokuwa na mwisho.

Hivi na Ile tuliyoambiwa Marburg siyo Ebola, uthibitisho wa kuwa ilikwisha au ipo uko wapi?

Karibu nyumbani kwa wagagikoko ambako milango ipo lakini hupitia madirishani.
 
Itakuwa kila nikiona dege lililochorwa kikatuni, na linashusha watu, nakimbia. Hata kama Uviko haupo!

Ukiwa huna haki lazima korona ipo.
 
Rejea usome ulichoandika kujiridhisha kama hujanena kwa lugha
 
Wapumzike kwa amani wote wanaotolewa kafara Serikali ikiendelea kufanya uchunguzi usiokuwa na mwisho.

Hivi na Ile tuliyoambiwa Marburg siyo Ebola, uthibitisho wa kuwa ilikwisha au ipo uko wapi?

Karibu nyumbani kwa wagagikoko ambako milango ipo lakini hupitia madirishani.
Kwan hata wakitangaza unafikir utafanya nini? Kama wimbi la kwanza ambako lilikuwa kali kuliko tuliweza kulihimili japo baadhi walipoteza maisha kwann uhofie sasa hivi?
 
Wimbi jipya la COVID 19 limethibitishwa kwa Majirani ila siyo kwetu​

#################>>>>>>>uthibitisho👇

Rejea usome ulichoandika kujiridhisha kama hujanena kwa lugha
Ulitaka uthibitishiwe nini? toka lini Brazaj akawa daboyuhechhoo
 
Back
Top Bottom