Mkuu wa Mkoa Shinyanga ataifisha Mali ya Wafanyabiashara wa Choroko

Ogwalumapesa2008

New Member
Feb 21, 2021
2
7
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr Philemon Senguti anakwamisha uwekezaji wa ndani

Bunge liliagiza Wakulima wa Dengu kuhuza dengu katika Soko huria ( Free Market) Nje ya Mfumo wa AMCOs lakini cha kusikitisha Mkuu wa Mkoa Senguti anawalazimisha wakulima wa dengu kuhuza dengu AMCOs kwa Tzs 900 badala ya Tzs 1200 wanayouza katika Soko huria.

Cha kusikitisha zaidi Mkuu wa Mkoa Senguti ametaifisha Dengu za kutoka Simiyu ,Mwanza na Geita zinazopita Njia kuu ya Shinyanga, Mimi ni Mmoja waaathirika wa udhalimu huu wa Mkuu wa Mkoa Senguti nimenunua Dengu tani 30 kutoka Simiyu katika Wilaya ya Bariadi zilipofika Shinyanga zimetaifishwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Senguti Pamoj Na kufuata Taratibu zote za ununuzi wa dengu ikiwa Pamoja Na Kulipa ushuru zote za Serikali kuu Na Serikali za Mitaa.

Mkuu wa Mkoa Senguti ana Rekodi ya kuhua Zao la Dengu akiwa Mkuu wa Wilaya ya Magu 2019 aliendesha Operation kuzuhia Dengu kuhuzwa katika soko huria Mwisho wa Siku uzalishaji wa Dengu umeshuka kwa asilimia 96% katika wilaya ya Magu,

Sasa hivi magari yote yanayopita Njia kuu ( High way) ya Shinyanga yanayosafirisha Dengu yanakamatwa Na kutaifishwa yakifika Shinyanga na Na Tinde, Tarehee 21 Julai 2021 Driver wa gari aliyekuwa anasafirisha dengu kutoka Baridi alikamatwa tinde Na kupigwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Senguti Baada ya kuoji ni Sheria hipi inazuhia Kusafirisha dengu nje ya Mkoa .

Mimi mwaka 2019 Senguti alitaifisha tani 30 za dengu akiwa Mkuu wa Wilaya ya Magu Na Kunisababishia hasara ya Tzs 9 Milion

Tunalipa tozo za Luku,tunakatwa makato ya Miamala ya Simu , tunalipa Kodi ya Majengo , Kodi ya Mafuta kuendesha Mitambo na Nauli ya kusafirisha Mazao imepanda ,bado tunalazimishwa kuhuza Mazao katika Amcos, hii ni Sahii?

Tumeenda Mahakamani hukumu imetoka tukabidhiwe Mali zetu , Bunge lilitoa maelekezo zao la Dengu isiwepo
Katika mazao ya kuhuzwa kwa Mfumo wa stakabadhi ghalani huyu mkuu wa Mkoa anafanya haya kwa Manufaa ya Nani? kama Bunge Liliagiza dengu isiuzwe kwa Mfumo wa Stakabadhi ghalani? Dr. Senguti anamsidia nani ? aoni Kama anakwamisha uwekezaji wa ndani?
 
Wanasiasa walisha mgeuza mkulima punching bag kwa nchi hii. Mara utasikia kufunga mipaka chakula kisitoke nche kuzuia njaa, Mara pap kuuza korosho hadi uonyeshe shamba, Mara tena mavuno ni mengi tunawaomba watanzania kuchangamkia soko la nje kama Kenya, Congo na Namibia. Yaani tupo tupo tu hatujielewi na hatuna Sera ya kumkomboa mkulima wetu.
 
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr Philemon Senguti anakwamisha uwekezaji wa ndani

Bunge liliagiza Wakulima wa Dengu kuhuza dengu katika Soko huria ( Free Market) Nje ya Mfumo wa AMCOs lakini cha kusikitisha Mkuu wa Mkoa Senguti anawalazimisha wakulima wa dengu kuhuza dengu AMCOs kwa Tzs 900 badala ya Tzs 1200 wanayouza katika Soko huria.

Cha kusikitisha zaidi Mkuu wa Mkoa Senguti ametaifisha Dengu za kutoka Simiyu ,Mwanza na Geita zinazopita Njia kuu ya Shinyanga, Mimi ni Mmoja waaathirika wa udhalimu huu wa Mkuu wa Mkoa Senguti nimenunua Dengu tani 30 kutoka Simiyu katika Wilaya ya Bariadi zilipofika Shinyanga zimetaifishwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Senguti Pamoj Na kufuata Taratibu zote za ununuzi wa dengu ikiwa Pamoja Na Kulipa ushuru zote za Serikali kuu Na Serikali za Mitaa.

Mkuu wa Mkoa Senguti ana Rekodi ya kuhua Zao la Dengu akiwa Mkuu wa Wilaya ya Magu 2019 aliendesha Operation kuzuhia Dengu kuhuzwa katika soko huria Mwisho wa Siku uzalishaji wa Dengu umeshuka kwa asilimia 96% katika wilaya ya Magu,

Sasa hivi magari yote yanayopita Njia kuu ( High way) ya Shinyanga yanayosafirisha Dengu yanakamatwa Na kutaifishwa yakifika Shinyanga na Na Tinde, Tarehee 21 Julai 2021 Driver wa gari aliyekuwa anasafirisha dengu kutoka Baridi alikamatwa tinde Na kupigwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Senguti Baada ya kuoji ni Sheria hipi inazuhia Kusafirisha dengu nje ya Mkoa .

Mimi mwaka 2019 Senguti alitaifisha tani 30 za dengu akiwa Mkuu wa Wilaya ya Magu Na Kunisababishia hasara ya Tzs 9 Milion

Tunalipa tozo za Luku,tunakatwa makato ya Miamala ya Simu , tunalipa Kodi ya Majengo , Kodi ya Mafuta kuendesha Mitambo na Nauli ya kusafirisha Mazao imepanda ,bado tunalazimishwa kuhuza Mazao katika Amcos, hii ni Sahii?

Tumeenda Mahakamani hukumu imetoka tukabidhiwe Mali zetu , Bunge lilitoa maelekezo zao la Dengu isiwepo
Katika mazao ya kuhuzwa kwa Mfumo wa stakabadhi ghalani huyu mkuu wa Mkoa anafanya haya kwa Manufaa ya Nani? kama Bunge Liliagiza dengu isiuzwe kwa Mfumo wa Stakabadhi ghalani? Dr. Senguti anamsidia nani ? aoni Kama anakwamisha uwekezaji wa ndani?
Imekula kwake huyo mkuu wa mkoa sasa alichokitafuta amepata tayari katumbulia sasa tuna Sophia mjema
 
Tayari na yeye wameshamtaifisha na sasa alipaswa ashtakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi
 
Pole mkuu sasa hivi huyo Sengati anakula jeuri yake.
 
Hayo ndiyo matunda ya kuruhusu chama dhalimu na ambacho hakina uwezo wa kuongoza kupora chaguzi na kuchukua nchi kwa mabavu.Ulifikiri kuwa hutalipa gharama ya kuruhusu udhalimu huo?
 
Back
Top Bottom