Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Albert Chalamila akiandaliwa vizuri, anaweza kuwa Katibu wa Uenezi mzuri sana wa CCM. Anahitaji mentorship kumuondolea mambo madogo madogo yanayomkwaza kiuongozi. CCM inaweza kumuweka karibu na...
2 Reactions
5 Replies
990 Views
Wadau nipo hapa nimetulia nikasema niwachokoze kidogo Dar sasa hivi ipo chini ya himaya ya wahehe baada ya chalamila kuwa mkuuu wa mkoa wahehe wanajidai sana nimeona kwenye magroup yao...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Katika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana...
37 Reactions
404 Replies
33K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema Viongozi wetu wa sasa tumeletewa tu kama tulivyoletewa Viongozi wa kikoloni na tukihoji kitu mapolisi wanatupiga virungu kama Wazee Wetu...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Natumaini mko poa. Binafsi nashindwa kuelewa nini kimewapata CHADEMA kiasi kwamba kwenye vyombo vya habari hawasikiki kabisa kwenye mambo nyeti ya kitaifa. Angalau wiki hii wamekuja na ishu ya...
0 Reactions
15 Replies
976 Views
Waziri wa Biashara, Ashatu Kijaji amewajibu wafanyabishara wa Kariakoo kuwa kilichotokea ni sehemu ya hatua za kimaendeleo na kwamba biashara sio Vita. Kupitia ukurasa wake wa Instragram Waziri...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Sijasikia jambo lolote la CHADEMA au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana. Kipaumbele cha CHADEMA ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Masoud Othman Masoud ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo upande wa Zanzibar anatarajiwa kuongoza timu ya ACT katika majadiliano ya kukamilisha mageuzi ya kisheria ili kuimarisha...
1 Reactions
0 Replies
704 Views
Nimeona Wafanyabiashara wa Kariakoo wakihojiwa na kituo Makini cha Al jazeera na nimegundua Wafanyabiashara bado hawajamjua mchawi wao Ni hadi siku watakapomjua na kufanya maamuzi sahihi ndio...
1 Reactions
5 Replies
797 Views
Mafisadi na mabeberu mpaka leo wanajiuliza Hayati Magufuli alikuwa anatoa wapi hela na kujenga miradi mingi sana kwa wakati mmoja, kila kijiji, kata, wilaya nchini Tanzania ilikuwa na mradi wa...
7 Reactions
141 Replies
6K Views
Ni dhahiri Lissu ni mwanasiasa wa matukio, na huwa anapata nguvu panapokuwa na misuguano kati yake na viongozi wa juu. Na yeye amegundua hilo, kwamba ana thrive kisiasa katika mazingira ya ugomvi...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana Jamvi, Naomba kupewa elimu kuhusu maslahi na personal gain kwa mtu kuwa diwani ni sawa na posho an mishahara wanayopata wabunge?
3 Reactions
47 Replies
11K Views
Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar. Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi. Uwezo wa fikra ni mdogo mno. Bora hata...
10 Reactions
122 Replies
9K Views
Serikali sijui kama inajua ama haijui na ninaamini kabisa Magufuli angekuwa hai hii barabara ingekuwa imeshapigwa lami. Barabara ya kuanzia Kibo (Ukumbi wa Safina) nenda mpaka Olasiti standa nenda...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
NDG. EDNA AWAKARIBISHA WANACHI KATIKA UZINDUZI WA IKULU YA CHAMWINO DODOMA MEI 20, 2023. [emoji625]UVCCM HQ, DODOMA [emoji1001] Mei 19, 2023. Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
kwa malalamiko ya wafanyabiashara ambayo nimesikiliza kariakoo nimeamini hii nchi kuna ombwe la uongozi kwa sasa ni kauli moja tu chukua chako mapema, ndiyo maana nasema ukiwa na uongozi wa hovyo...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Maonesho ya Sabasaba kuja na ‘Expo Village’ Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade), yatangaza uwepo wa jukwaa maalum (Expo village), litakalowawezesha wafanyabiashara kushiriki na...
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema yeye binafsi halijui sana deni ambalo Membe anamdai Musiba zaidi ya kulisikia sikia tu. Hata hivyo Nape anesema kuna wakati alimtania Membe kwamba, "Nasikia...
11 Reactions
72 Replies
6K Views
Mapato ya milioni 4 kwa mwaka ni sawa na kama 11000 tu kwa siku, kumlipisha kodi mtu kama huyu ni kumfanya aendele kubaki kwenye kuganga njaa maisha yake yote biashara yake ikue mwendo wa kobe...
0 Reactions
2 Replies
586 Views
Nimepitia Kila kona nimeona Huyu kijana anafaa kuwa mbunge wa Jimbo la Hai. Tutaweka picha yake hapa na majukumu makubwa aliyoyafanya jimboni Hai.
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom