Jukwaa Kitu gani Chadema wanatoa Elimu ya Maendeleo ya WATU siyo Vitu kwenye Katiba Mpya!

..Mikutano ya Chadema mkoani Kigoma imenifumbua macho kuhusu hali ya uchumi na kijamii mkoani humo.

..Kigoma kuna umasikini mkubwa sana.

..Madai kwamba CCM imeutenga mkoa wa Kigoma yana ukweli ndani yake.
 
Nchi zilizoendelea zimeendelea sababu uchumi wa mtu 1,1 ni mkubwa hivyo serikali hukusanya kodi kubwa ambazo zinasaidia kwenye miundombinu ya maeneo husika
 
Back
Top Bottom