Tetesi: Njombe: Jiwe la Msingi lililowekwa na Chadema kwenye Uzinduzi wa Mradi wa Maji lavunjwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,244
Taarifa kutoka Mjini Njombe zinaelezwa kwamba Jiwe la Msingi lililokuwa na maandishi ya Uzinduzi wa mradi wa Maji Uliosimamiwa na Chadema limevunjwa na Maofisa wa Idara ya Maji Njombe.

Haijafahamika hasa sababu za kufanyika kwa jambo hilo la Kishamba , bali kuna muonekano wa jambo hilo kuwa na msukumo wa kisiasa.

Bali ifahamike wazi kwamba kila anayeshiriki kufanya uchafu huu atalipwa kwa kiasi kile kile alichowekeza.

Mungu Ibariki Chadema

FB_IMG_1684787833798.jpg

Ushahidi huu hapa

View attachment 2632392

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Taarifa kutoka Mjini Njombe zinaelezwa kwamba Jiwe la Msingi lililokuwa na maandishi ya Uzinduzi wa mradi wa Maji Uliosimamiwa na Chadema limevunjwa na Maofisa wa Idara ya Maji Njombe .

Haijafahamika hasa sababu za kufanyika kwa jambo hilo la Kishamba , bali kuna muonekano wa jambo hilo kuwa na msukumo wa kisiasa .

Bali ifahamike wazi kwamba kila anayeshiriki kufanya uchafu huu atalipwa kwa kiasi kile kile alichowekeza .

Mungu Ibariki Chadema

View attachment 2631845

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Nikishawaambia sumu ya CCM imeharibu taifa kwa kiwango kikubwa. Muafaka wanaukubali kwa sababu ni mbinu za kupata kura

Hili jiwe la msingi lilipaswa kuwa sehemu ya mafanikio ya muafaka.
 
Jengeni ofisi kwanza acheni ujinga. Jiwe baya kama ofisi yenu. Livunjwe na vipande vyake visagwesagwe vikatupwe burundi.
Nchi INA serikali ya kufanya vitu vya kiwango sio huo upupu.
Jiwe ndiyo maji? Hata ukilichoma moto kama maji hamna hamna tu. Kijiji changu nnachotokea hata chadema hawajawahi kufika lakini maji hayajawahi kufika tangu uhuru! Ni upuuzi kuamini kwamba kuna mahusiano kati ya jiwe la msingi na ofisi. Hapo lumumba kuna ofisi nzuri nzuri tu lakini mbagala wanakunywa asante mpemba. Visima vya wapemba! Wewe ni mfu!
 
Mfu ni wewe unayedhani matatizo yatamalizwa na Chadema + katiba mpya. Ukute na wewe unajiita msomi. Fakin kabhisa.
 
Taarifa kutoka Mjini Njombe zinaelezwa kwamba Jiwe la Msingi lililokuwa na maandishi ya Uzinduzi wa mradi wa Maji Uliosimamiwa na Chadema limevunjwa na Maofisa wa Idara ya Maji Njombe .

Haijafahamika hasa sababu za kufanyika kwa jambo hilo la Kishamba , bali kuna muonekano wa jambo hilo kuwa na msukumo wa kisiasa .

Bali ifahamike wazi kwamba kila anayeshiriki kufanya uchafu huu atalipwa kwa kiasi kile kile alichowekeza .

Mungu Ibariki Chadema

View attachment 2631845

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Weka picha!
 
Matatizo hayatamalozwa na chadema lwakuwa siyo waliyoyaleta! Mtu aliyezaliwa 1992 anawezaje maloza matatizo ya tangu uhuru????
Ndio muwe mnajenga vitu vya maana sio mnaweka jiwe LA msingi LA hovyo wakati mamlaka husika zipo. Pia ishirikisheni serikali kwenye baadhi ya mambo sio kutaka political mileage
 
Akili ndogo ni akili ndogo tu...

Hii ndo ina symbolise tunaishi na jamii gani

Ujinga na ushamba upo kwa kiwango cha juu....

Unavunja jiwe ? Da watu wapimwe akili
 
Taarifa kutoka Mjini Njombe zinaelezwa kwamba Jiwe la Msingi lililokuwa na maandishi ya Uzinduzi wa mradi wa Maji Uliosimamiwa na Chadema limevunjwa na Maofisa wa Idara ya Maji Njombe .

Haijafahamika hasa sababu za kufanyika kwa jambo hilo la Kishamba , bali kuna muonekano wa jambo hilo kuwa na msukumo wa kisiasa .

Bali ifahamike wazi kwamba kila anayeshiriki kufanya uchafu huu atalipwa kwa kiasi kile kile alichowekeza .

Mungu Ibariki Chadema

View attachment 2631845

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Nilihis kuwa jambo ilo litatokea.
Nawa suspect SISIEMU
Hawa SISIEMU ndo wachawi wa maendeleo ya Tanzania, na ndo wanaleta siasa za chuki.
Na wanajisema wazi kuwa wao ndo wameshika Dora. Ntakuoa futari takatifu siku Hawa watu wakija kuondoka madarakani
 
Jengeni ofisi kwanza acheni ujinga. Jiwe baya kama ofisi yenu. Livunjwe na vipande vyake visagwesagwe vikatupwe Burundi. Nchi INA serikali ya kufanya vitu vya kiwango sio huo upupu.
Wewe usiye na akili hata kidogo, MUNGU aukumue Kwa haki akuhukumu kwa maneno Yako Aya .
Watu wametaabika, hawakuwa na maji, serikari unayoiaema inajenga miundo mbinu Bora ilikua kimya, Leo watu wamepambana Kwa kuunganisha nguvu zao, bado unaona waliovunja wako sahihi. Duuh
 
Back
Top Bottom