Waitara: Mkuu wa mkoa amenitukana Mpumbavu na Mshenzi mbele ya Waziri Mabula. Kama hamnitaki semeni Nitajiuzulu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,000
142,027
Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara amelalamika kutukanwa " Mpumbavu na Mshenzi" na mkuu wa mkoa wa Mara mbele ya Waziri wa Ardhi mh Mabula

Mwita Waitara amewaambia waandishi wa habari endapo kuna Watu hawamtaki Tarime Vijijini wamwambie tu ataachia ngazi wamweke mtu wanayemtaka wao

Source Jambo TV

Mlale Unono!
 
Hili jambo kuna siku tukijirudi tutashikiana visu na marungu. Haya matusi Waafrika hatujazoea. Hayazoeleki.

Lugha-Hazitakikani kuingiliwa kwa kigezo cha maendeleo.

Mila-Hazitakikani kuingiliwa kwa kigezo cha maendeleo.

Maadili-Hayatakikani kuingiliwa kwa Kigezo cha maendeleo.

Lazima tufikie sehemu tusimame kama Taifa na kukemea Udhalimu unaofanyika.

Demokrasia sio Maendeleo

Aluta Continua
 
Kumtukana mtu mwingine ni kosa kisheria..

Mkuu wa mkoa hana kinga ya kutoshitakiwa...

Kama ana uhakika na ushahidi, hapaswi kusema na kulalamika tu. Aende mahakamani kushitaki...
Uko sahihi Mkuu.
Kwa mtazamo ule wa nkuki kwa nguruwe, utaona unafiki uliopo. Nina imani hata humu jamvini ukatoa maneno hayo hayo kwa moderators au kwa Viongozi wa Jamvii hili unaweza ukadhulumiwa pasipo kutegemea. Ila wakitukanwa Jamii wanasea ni "Uhuru wa Maoni" haya mambo ya kuigiza-copy and paste-ni lazima yaangaliwe kwa mapana.
 
Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara amelalamika kutukanwa " Mpumbavu na Mshenzi" na mkuu wa mkoa wa Mara mbele ya Waziri wa Ardhi mh Mabula

Mwita Waitara amewaambia waandishi wa habari endapo kuna Watu hawamtaki Tarime Vijijini wamwambie tu ataachia ngazi wamweke mtu wanayemtaka wao

Source Jambo TV

Mlale Unono!
Leo hajaliaa
 
Huyu jamaa kaikosea nini awamu hii?....mbona wanamnyanyasa mno ?
 
Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara amelalamika kutukanwa " Mpumbavu na Mshenzi" na mkuu wa mkoa wa Mara mbele ya Waziri wa Ardhi mh Mabula

Mwita Waitara amewaambia waandishi wa habari endapo kuna Watu hawamtaki Tarime Vijijini wamwambie tu ataachia ngazi wamweke mtu wanayemtaka wao

Source Jambo TV

Mlale Unono!
1 Kando ya mito ya Babeli ndiko tulikoketi, Tukalia tulipoikumbuka Sayuni.
Zaburi 137:1

2 Katika miti iliyo katikati yake Tulivitundika vinubi vyetu.
Zaburi 137:2

3 Maana huko waliotuchukua mateka Walitaka tuwaimbie; Na waliotuonea walitaka furaha; Tuimbieni baadhi ya nyimbo za Sayuni.
Zaburi 137:3

4 Tuuimbeje wimbo wa Bwana Katika nchi ya ugeni?
Zaburi 137:4

Haha huko ugenini ccm wimbo wa nyumbani upinzani...haufai😂😂😂😂
 
Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara amelalamika kutukanwa " Mpumbavu na Mshenzi" na mkuu wa mkoa wa Mara mbele ya Waziri wa Ardhi mh Mabula

Mwita Waitara amewaambia waandishi wa habari endapo kuna Watu hawamtaki Tarime Vijijini wamwambie tu ataachia ngazi wamweke mtu wanayemtaka wao

Source Jambo TV

Mlale Unono!
Amekuwa mbunge wangu Ukonga....tunamjua vyema....bogus!

#SiempreJMT
 
Back
Top Bottom