BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,513
- 14,136
Hizi ni hofu au ndio protocal mpya? Tulishuhudia awamu ya mwendazake msafara wake ukiwa na Anti-ballistic missile sasa awamu hii naona Mama anazunguka na kiti chake haamini viti vya ugenini?