Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu Ummy Mwalimu leo tarehe 02 Juni 2023 akiwa Bukoba Mkoani Kagera ametangaza kuwa mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
“Kwa mujibu wa miongozo ya...
Ni mwananchi au pia serikali ya Tanganyika?
Tangu nimezaliwa sikuwahi kufahamu achilia mbali kufahamu, hata ile kusikia tu jambo hilo kwamba Zanzibar ina maeneo yake Bagamoyo huko Razaba,
Ni...
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu ya SMZ ndugu Charles Hillary ametoa tangazo kwa umma ambalo clip yake inatrend kwamba eneo la shamba la Makurunge Razaba lililopo Wilaya ya Bagamoyo Kata ya...
Katika ziara za viongozi wa chama Mh.Zitto Zuberi Kabwe , Mwenyekiti Babu Duni na Makamu Mwenyekiti Dorothy Semu moja ya jambo ambalo limeelezewa kwa unyeti ni suala la mabadiliko ya sheria ya...
Makamba jr siyo waziri wa kwanza ktk wizara ya nishati kuundiwa zengwe na mafisadi. Mafisadi ya nchi hii yamekuwa yakiparurana na kila waziri wa wizara hii. Hiki ndiyo chanzo cha kelele zote hizi...
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bi. Leyla Mohamed, leo amewasilisha bajeti ya wizara yake na kuomba kuidhinishiwa kias cha shilingi 457B.
Wakati hapo nyuma Kidogo Wazir wa Elimu...
Tanzania imepokea msaada wa paundi milioni tano sawa na takribani Tsh. bilioni 15 kutoka Serikali ya Uingereza kwa ajili ya awamu ya pili ya Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF).
Makabidhiano...
Mbunge Geita, Joseph Musukuma amelilalamikia Jeshi Usu kupiga watu na kufanya ubakaji. Musukuma amesema kuna makosa yamefanyika katika kulitengeneza Jeshi Usu.
Musukuma pia ameongelea Maliasili...
Kiukweli 2015 mzee Lowassa alijipatia kura nyingi tu sema Mzee Mkapa alikuwa hatakagi Ujinga
Sina hakika na Uwezo wa Tundu Lisu Kwenye kushawishi Wapiga kura ila tuombee tu apate ile ile 13% au...
Mtafiti yupo kule NIMR Center. Anakesha kuandika tafiti mbalimbali ili apate ufadhili, pasipo msaada wowote toka NIMR HQ. Kwa jasho na damu anapata ufadhili na kupeleka pesa kituoni kwake ambazo...
Haya yananifaya imani yangu kwake iwe haba;
1. Kauli ya kila mtu ale kwa kamba yake, najua mnapatapata kwenye maeneo yenu, msivimbiwe!
2. Ripoti ya CAG amemeza pini as if hakuna kilichotokea na...
Kuna mambo mengi sana yanahitaji wazalendo pekee kuipeleka hii nchi hatua inayostahili. Ninamuomba Mungu awasaidie Watanzania kutambua hili na mwaka 2025 watumie uwezo wao wote wa akili, hekima na...
Nchi au taifa kwa ujumla idara ya usalama wa taifa ni taasisi huru,kwa muijbu wa kuanzishwa kwake, duniani kokote.
Japo siku na muda ulivyozidi kujongea taasisi hiii ilianza kuingiliwa na...
Video Credit: Nipashe
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kampuni za maegesho barabarani zimeajiri vijana wasio waaminifu ambao wananyanyasa wananchi.
Ameyasema hayo leo...
Baada ya tukio la jana na juzi kwenye vyombo vya habari kuhusiana mgogoro wa ardhi kati ya Mpina na wananchi huko Morogoro, Waziri wa Nishati, Januari Makamba na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba...
Kila nikitafakari hatma yetu sisi vijana naumia kutoiona kesho yetu katika nchi ya ahadi. Kiuchumi tunakabiliwa na ukosefu wa ajira na kisiasa tunaambiwa ni taifa la kesho. Ingawa tuna hussle na...
Ndugu zangu watanzania,
Mtu kufikia hatua ya ukomandoo anakuwa amepitia mafunzo mengi Sana magumu,yenye kuhitaji nguvu na akili,maarifa na upeo,ufahamu na utambuzi,uvumilivu na ujasiri,ukakamavu...
KUNA TAARIFA ZINASAMBAA KWA KASI SANA ZINAZOMHUSISHA WAZIRI WA NISHATI, JANUARY MAKAMBA KUWAPA RUSHWA WABUNGE YA SHILINGI MILIONI 10 PAMOJA NA RUSHWA NYINGINE YA MAJIKO 300 YA GESI KWA KILA MBUNGE...
"Watu wanapigapiga kelele huko ngoja niwaambie, CCM ndiyo chama kiongozi na ndiyo chama kitakachoongoza mchakato wa Katiba ya kisasa, iliyoandaliwa kisasa,na itatengenezwa kupitia mikono, uongozi...