Nini kimempata mbunge Musukuma? Nashangaa jambo nyeti la bandari kageuka

Hennes kolon

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
673
1,287
Musukuma ni Kati ya waheshimiwa wachache pale mjengoni waliokuwa makini hasa linapokuja suala la kulinda Mali za umma, ikiwemo miradi kadhaa ambayo utekelezaji wake haueleweki.

Mfano tu suala la hereni na tenda aliyopewa kuendesha hilo zoezi jamaa alipiga kelele Sana na ni kweli alikuwa sahihi, likaja sakata la kampuni ya ku print stika, alipiga kelele Sana na alikuwa sahihi. Ila nashangaa kwenye Jambo nyeti la bandari kageuka, kama sio Yule msukuma niliyekuwa namsikiliza siku zote, yaani msimamo wake kwa Sasa Yuko pamoja na Dubai.

Nini kimempata huyu mh. au ni ile tour ya huko Dubai alikoenda imemtoa nje ya reli. Sio Tena Yule msukuma ninayemjua.
 
Anaona hata yeye anatamani ng'ombe zake achunge mwekezaji maana kila ng'ombe ikizaa wanasema imekufa

Jamaa ana machungu mwacheni
Hakuna kitu tunaweza bila kuiba
Hata hiyo kampuni watakimbia tu
 
Yaani alilkuwa ni mojowapo ya wabunge ambao niliona ni watetezi wa rasilimali za nchi, mwenye kuchukia rushwa na ufisadi. lakini kwa jinsi alivyojipambanua kwenye hili la bandari nimegundua kwamba alikuwa ana pretend ni kondoo kumbe ni mbwa mwitu tu
 
v8 na 10% akili ya kawaida imetekwa pale yupo utumwani haelewi mawimbi mpaka yatulie. Hela ya jasho la watanzania wavuja jasho ndo laana zenyewe zinawarudi mapema.
 
Yaani alilkuwa ni mojowapo ya wabunge ambao niliona ni watetezi wa rasilimali za nchi, mwenye kuchukia rushwa na ufisadi. lakini kwa jinsi alivyojipambanua kwenye hili la bandari nimegundua kwamba alikuwa ana pretend ni kondoo kumbe ni mbwa mwitu tu
inasikitisha Sana.
 
Musukuma ni Kati ya waheshimiwa wachache pale mjengoni waliokuwa makini hasa linapokuja suala la kulinda Mali za umma, ikiwemo miradi kadhaa ambayo utekelezaji wake haueleweki.

Mfano tu suala la hereni na tenda aliyopewa kuendesha hilo zoezi jamaa alipiga kelele Sana na ni kweli alikuwa sahihi, likaja sakata la kampuni ya ku print stika, alipiga kelele Sana na alikuwa sahihi. Ila nashangaa kwenye Jambo nyeti la bandari kageuka, kama sio Yule msukuma niliyekuwa namsikiliza siku zote, yaani msimamo wake kwa Sasa Yuko pamoja na Dubai.

Nini kimempata huyu mh. au ni ile tour ya huko Dubai alikoenda imemtoa nje ya reli. Sio Tena Yule msukuma ninayemjua.
Wakati mwingine shule inasaidia! Anaongea kulingana na uwezo wa akili zake! Jambo la bandari ni kubwa kuliko uwezo wake wa kufikiri!
 
Musukuma ni Kati ya waheshimiwa wachache pale mjengoni waliokuwa makini hasa linapokuja suala la kulinda Mali za umma, ikiwemo miradi kadhaa ambayo utekelezaji wake haueleweki.

Mfano tu suala la hereni na tenda aliyopewa kuendesha hilo zoezi jamaa alipiga kelele Sana na ni kweli alikuwa sahihi, likaja sakata la kampuni ya ku print stika, alipiga kelele Sana na alikuwa sahihi. Ila nashangaa kwenye Jambo nyeti la bandari kageuka, kama sio Yule msukuma niliyekuwa namsikiliza siku zote, yaani msimamo wake kwa Sasa Yuko pamoja na Dubai.

Nini kimempata huyu mh. au ni ile tour ya huko Dubai alikoenda imemtoa nje ya reli. Sio Tena Yule msukuma ninayemjua.
PESA ZA WAARABU MKUU
 
Amepewa Vx V8 km000000,unalijua?umewahi kulipanda?Kuna mwana family yoyote analo?
 
Nyie majizi acheni mboyoyo DP world lazima waje wachape kazi, nyie wapinga maendeleo tushawazoea
 
Musukuma ni Kati ya waheshimiwa wachache pale mjengoni waliokuwa makini hasa linapokuja suala la kulinda Mali za umma, ikiwemo miradi kadhaa ambayo utekelezaji wake haueleweki.

Mfano tu suala la hereni na tenda aliyopewa kuendesha hilo zoezi jamaa alipiga kelele Sana na ni kweli alikuwa sahihi, likaja sakata la kampuni ya ku print stika, alipiga kelele Sana na alikuwa sahihi. Ila nashangaa kwenye Jambo nyeti la bandari kageuka, kama sio Yule msukuma niliyekuwa namsikiliza siku zote, yaani msimamo wake kwa Sasa Yuko pamoja na Dubai.

Nini kimempata huyu mh. au ni ile tour ya huko Dubai alikoenda imemtoa nje ya reli. Sio Tena Yule msukuma ninayemjua.
Musu ku.ma
 
Wala hajabadilika, ni maagizo kutoka kwa mkuu wake
 
Back
Top Bottom