Kamishna wa PPP, David Kafulila asifiwa na Rais Samia kuhusu ripoti yake ya PPP

Pfizer

JF-Expert Member
Mar 25, 2021
305
519
Salaam Wakuu,

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo June 09,2023 amefungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Biashara (TNBC), Ikulu Dar es salaam ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba Davidi Kafulila ambaye ni Kamishina wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) chini ya Wizara ya Fedha na Mipango.

Rais kasema amesoma Ripoti ya Kafulila na kusema ni nzuri sana. Hiyo Ripoti inahusu PPP.

Nimevutiwa kuisoma hiyo ripoti, je nitaipataje?
 
kafulila ni mchapakazi hodari, mzalendo wa kweli anaye jituma kwa bidiii bila kuchoka, hakika atafika mbali.
 
Back
Top Bottom