Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu, Kwa sasa ni wakati wa muda muafaka kwa nchi kurudi mfumo wa chama kimoja, mfumo huu utaipa mafanikio makubwa nchi yetu kiuchumi kwani utamfanya Rais wetu afanye kazi bila bughudha na...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Uchaguzi wa kuziba nafasi ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, marehemu Augustine Mrema, umeshindwa kufanyika leo Machi 6, 2023 kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa viashiria vya rushwa, maelewano...
0 Reactions
2 Replies
799 Views
Naiona CHADEMA ikimfia Freeman Mbowe mkononi. Namuona Zitto Kabwe akiitelekeza ACT na kutimkia CCM. Namuona James Mbatia akistaafu siasa huku akiiacha NCCR Mageuzi bila kuwa na mrithi. Namuona...
16 Reactions
235 Replies
16K Views
Swali langu ni hilo tu, kwa nini Watanzania hawaupiganii Upinzani kama ni kweli ,, unauliwa“ kwa makusudi na Raisi wetu? Aidha Watanzania hawajali kuhusu Upinzani au siyo kweli kwamba Raisi wetu...
5 Reactions
130 Replies
9K Views
Rais Magufuli katika utawala wake kwa namna anavyodili na vyama vya upinzani nchini ni dhahiri ameamua kutumia vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha nguvu ya vyama vya upinzani inafifia kama...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Nimeona niliseme hili, kwa kua mzee anapokea mashambulizi makali Sana toka kwa vijana baadhi wa chadema, anakashifiwa, anatukanwa na kuitwa majina Kila aina yasiofaa, kosa ni kuenda ikulu na...
10 Reactions
50 Replies
5K Views
Kusema ukweli sasa hivi vyama vya upinzani kwishney. Yani tunasubiria tu mazishi kuvizika kabisa. Na kilichowaponza ni uwoga wao. Sasa upinzani umma a.k.a Nguvu ya umma inakuja kwa kasi. Hili ni...
70 Reactions
298 Replies
25K Views
Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na...
60 Reactions
2K Replies
158K Views
MHESHIMIWA RAIS, TUNAKUOMBA UTOE KAULI YA KUMKARIBISHA NCHINI MHESHIMIWA TUNDU LISSU NA RAI YA KUWAFUTIA KESI ZA UCHOCHEZI VIONGOZI WA VYAMA VYA UPINZANI. Mpendwa Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe...
27 Reactions
112 Replies
12K Views
Kuna Baadhi ya vijana wa Lumumba ambao wanazunguka na kupiga vigelegele kuwa Mwenyekiti wao Dt John Magufuri anaiua chadema ( upinzani), mpaka imepelekea baadhi ya Madiwani na wabunge kuhofia...
8 Reactions
50 Replies
6K Views
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2005, kifungu na 3(1) kinatamka kuwa nchi hii itakuwa ya mfumo wa vyama vingi Lakini kuna kila dalili kuwa...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Mchambuzi wa Masuala ya Siasa nchini, Dk. Richard Mbunda, UDSM. Wahadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wakiongea na Mwananchi wamevishauri Vyama vya Upinzani nchini kubadilisha...
6 Reactions
93 Replies
14K Views
Tumeshuhudia tokea serikali ya awamu ya tano iingie madarakani, juhudi kubwa ikifanyika kwa ajili ya kuua upinzani ili nchi ibaki kuwa na mfumo wa chama kimoja Tumeshuhudia pia wabunge na...
12 Reactions
109 Replies
7K Views
Hatimae kadri siku zinavyosonga,itafika siku mmoja atasema kilichojiri siku hiyo! Mod's mkiamua kuiondoa hii thread sintawashangaa maana tunaona kazi inayoendelea humu kwa sasa! Ila ujumbe...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Sasa ni dhahiri shahiri kwamba Rais Magufuli na Serikali yake ameamua kwa maksudi kuzika siasa ya Vyama vingi Tanzania. Kwa kutumia hila kubwa bila ya kujali Katiba ya JMT na kwa maelekezo...
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Majina tajwa si mageni, ni majina ya viongozi wakuu wa CCM. Nikiri kusema kila nikiwaona viongozi hao, Tanzania inaona tumaini la uongozi bora si tu ndani ya CCM bali hata serikalini. Ni moja ya...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
TATHMINI YANGU KWA UPINZANI 2015-2020:WAPINZANI MKIPINGA UKWELI MNAFELI,PONGEZENI UTENDAJI KAZI BORA WA RAIS MAGUFULI. Leo 13:15pm,06/06/2019. Zitto Kabwe amekiri utendaji kazi bora wa Rais John...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwaka jana ukame ulikuwa wa kutisha kanda ya kaskazini nzima. Basi linasimama pale Bombo na ukitazama wauza matunda hali ni mbaya ya kile wanachokiuza. Nakumbuka niliuziwa machungwa ya kuvundikwa...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Amani na umoja wa Watanzania, ni sifa ambayo ilijulikana juu ya Watanzania duniani kote. Kwa miaka mingi sana Tanzania ilikuwa haitajwi na vyombo vya habari kama BBC na CNN kwa kuwa hatukuwa na...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nadhani hali si shwari kati ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera na wanasiasa wa Mkoa huo. Maneno ya Mwijage ni kama vile anatupa vijembe kwa mkuu huyo wa Mkoa. Itakumbukwa kwamba wakati akiingia kagera...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom